Search results

 1. kiboboso

  Computer inawaka na kuzima

  Wakuu msaada wenu hapa. Nina laptop yangu niliiacha kama miezi nane bila kuitumia baada ya kununua nyingine, sasa leo nimeiwasha ikawa ianawasha tuu taa zake na kuzima, pia haileti hata mwanga wowowte kwenye screen. Wazee wa tech msaada wenu hapa tatizo linaweza kuwa ni nini?
 2. kiboboso

  Naomba ushauri, nimeharibu mahali

  Wakuu naomba mnishauri kwa hili tafadhalini sana, nipo chini ya miguu yenu. Ni hivi kuna binti nimetoka kufanya nae mapenzi asubuhi hii nikajikuta natoa boko bila kujua na binti yupo kwenye siku za hatari. Ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu. [emoji120][emoji120]
 3. kiboboso

  Naomba msaada wenu wa haraka kuhusu NMB App

  Nilidownload app ya Nmb mobile account na nikafungua account bila kwenda bank, pesa nikawa naweka kama kawaida. Yaani nilikuwa nafanya kuhamisha hela zilizoko mpesa naweka NMB mobile account. Sasa leo asubuhi nikapita kwa wakala wa nmb ili nitoe tsh 200,000. Nimefanya huo muamala lakini maajabu...
 4. kiboboso

  Wakuu msaada wenu kuhusu hii laptop yangu

  Nina laptop yangu Hp jana ilizima gafla kuiwasha inawaka ila haitoi mwanga kwenye screen pia feni inazunguka kwa kasi sana. Msaada tatizo linaweza kuwa ni nini?
 5. kiboboso

  Msaada wakuu Window 10 Product key

  Msaada wakuu product keys za window 10 Enterprise Evaluation please
 6. kiboboso

  Kwa hii hela nitapata simu gani nzuri?

  Habari za muda huu wakuu? Mdogo wangu wa kike ananisumbua anataka nimnunulie smart phone. Nimemuahidi nitamnunulia, ila naomba mnishauri ni smart phone gani nzuri nzuri naweza nikamnunulia dogo kwa Tsh 250,000.?
 7. kiboboso

  Ajira za ualimu zimetoka?

  Vipi wakuu? Eti ajira za ualimu zimetoka? Na vipi kama hazija toka hivi mkulu ana malengo gani na vijana waliozagaa mitaani wakisubiria ajira tokea mwaka juzi? Au ndio mdogo mdogo ndio tunatengeneza genge la majambazi wasomi?
 8. kiboboso

  Msaada wakuu

  Msaada wakuu! nataka kujua waliochaguliwa kujiunga jkt kwa awamu ya pili iliyotoka Jana. Nimezunguka kwenye ma-web sites sijaambulia chochote.
 9. kiboboso

  Nimeshindwa kujiunga Meridian Bet

  Wakuu naomba msaada wenu maana nimejaribu kujiunga mara nyingi ila nimeshindwa. Inaniandikia hivi
Top Bottom