Search results

 1. JamiiForums

  Uchambuzi wa Mabadiliko ya Kanuni za Sheria ya Maudhui ya Mtandao (2021) na Jamii Forums

  Uchambuzi huu unahusisha kanuni zinazotokana na Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010, na unapendekeza kufanyia mabadiliko Kanuni zilizowekwa mwaka 2020.
 2. JamiiForums

  #COVID19 Benki ya Dunia: COVID-19 imewarudisha Watanzania takriban 600,000 chini ya mstari wa umasikini

  Leo Tarehe 29 Julai, 2021 Benki ya Dunia inazindua Toleo la 16 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania, yaani "16th Tanzania Economic Update" Toleo la Hali ya Kiuchumi Tanzania huchapishwa mara mbili kwa mwaka na Benki ya Dunia, likiwa na lengo la kutoa mtazamo wa uchumi wa ndani wakati pia...
 3. JamiiForums

  Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

  Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...
 4. JamiiForums

  Benki ya Dunia: Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania

  Benki ya Dunia inatarajia kufanya uzinduzi wa Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania “Tanzania Economic Update” kesho tarehe 3 Machi, 2021. Ripoti hii ya uchambuzi huru wa Benki ya Dunia inaangazia changamoto, mafanikio ya kiuchumi, hali ya umasikini, vipato, rasilimali watu...
 5. JamiiForums

  Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

  Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kumuuliza maswali Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu Lissu; imebidi apate muda kuyapitia maswali yote (takriban 200) ili kila mmoja ajibiwe. Maswali hapa JF yaliulizwa kupitia > Uchaguzi 2020 - EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT...
 6. JamiiForums

  Uchaguzi 2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

  Salaam, Ndg. Tundu Lissu ni mwanachama wa JamiiForums tangu 2010 akitumia jina halisi. Kwa sasa, Lissu ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA; hivyo akiwa kama mwanachama mkongwe wa JamiiForums na mtumiaji mkubwa mitandao mingine ya kijamii, ameamua kutenga muda...
 7. JamiiForums

  Harambee ya Kuelimisha Jamii na Kuchangia familia zenye watoto wenye Usonji zisizojiweza

  Usonji ni hali inayowapata watoto ya kuwa katika mfumo wa fahamu inayoathiri uwezo wa mtoto kuunda mawasiliano (communication), kuunda mahusiano na jamii inayomzunguka na kuathiri tabia ya mtoto na hisia nyingine mbalimbali. Mpaka sasa duniani kote haijajulikana chanzo chake wala hauna tiba...
 8. JamiiForums

  Dar: Baada ya kudaiwa kuwepo kwa Ugonjwa wa mlipuko wenye dalili kama za Malaria, Serikali yakanusha kuwepo kwa mlipuko wa Ugonjwa huo

  Kupitia Mitandao ya Kijamii, baadhi ya Watu katika maeneo ya Jiji la Dar wamekuwa wakilalamika kupatwa na ugonjwa ambao dalili zake zinaendana na zile za Malaria. Baadhi yao wanasema dalili za ugonjwa huo ambao umewapata watu wengi katika maeneo wanayoishi ni pamoja na Kikohozi, Mafua, Maumivu...
 9. JamiiForums

  JamiiTalks Tutumie taarifa za Rushwa ya Ngono na Unyanyasaji sehemu ulipo, ili Mamlaka za Serikali zizifanyie kazi

  Mkuu, tufanye nini ili utuamini? JamiiForums ni mtandao wa kijamii maarufu zaidi nchini Tanzania ulioanzishwa rasmi mwaka 2006 mwezi Machi ikiwa na waanzilishi wawili, Maxence Melo na Mike Mushi
 10. JamiiForums

  JamiiTalks Tutumie taarifa za Rushwa ya Ngono na Unyanyasaji sehemu ulipo, ili Mamlaka za Serikali zizifanyie kazi

  Hapana mkuu, ndo maana tukaomba tutumiwe sisi JamiiForums. Ni rahisi kifuatilia na kumpa mrejesho mhusika. Mambo yamebadilika. Usiwe na hofu. Sent using Jamii Forums mobile app
 11. JamiiForums

  JamiiTalks Tutumie taarifa za Rushwa ya Ngono na Unyanyasaji sehemu ulipo, ili Mamlaka za Serikali zizifanyie kazi

  Mkuu, Salaam. Watu kama nyie ni muhimu sana katika nchi hii. Tunaomba haya maelezo uyapost kwenye hii thread hapa chini ili yaweze fanyiwa kazi na Serikali kuu. Umefanya vizuri sana kuongelea hili swala. Hapa tunaomba taarifa za Rushwa ya Ngono na unyanyasaji kijinsia. Karibu karibu sana...
 12. JamiiForums

  JamiiTalks Tutumie taarifa za Rushwa ya Ngono na Unyanyasaji sehemu ulipo, ili Mamlaka za Serikali zizifanyie kazi

  Mkuu, unaweza kutusaidie kumfikia huyu mtendewa? Tushikamane kutokomeza rushwa ya ngono na unyanyasaji wa kijinsia. Karibu PM mkuu, Tutashukuru sana.
 13. JamiiForums

  JamiiTalks Tutumie taarifa za Rushwa ya Ngono na Unyanyasaji sehemu ulipo, ili Mamlaka za Serikali zizifanyie kazi

  Asante kwa Taarifa na pole kwa Matatizo. Tunaomba kuwasiliana na wewe ili tupate maelezo ya kina juu ya hili. Ili tujue imefanyika Mwaka gani na Wahusika wote na vielelezo kama unavyo. Tutumie PM au email ili iweze kufanyiwa kazi haraka sana. Asante kwa kupaza sauti.
 14. JamiiForums

  JamiiTalks Tutumie taarifa za Rushwa ya Ngono na Unyanyasaji sehemu ulipo, ili Mamlaka za Serikali zizifanyie kazi

  Wakuu samahani sana kama mlikwazika. Ukweli ni kwamba ule uzi sasa unafanyiwa kazi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) hivyo tutawaletea Mrejesho hapa hapa. Tunamshukuru Mwanachama wa JamiiForums kwa kuamua kuvunja ukimya kupitia Jukwaa hili. Ndio chanzo cha kuanzisha uzi...
 15. JamiiForums

  JamiiTalks Tutumie taarifa za Rushwa ya Ngono na Unyanyasaji sehemu ulipo, ili Mamlaka za Serikali zizifanyie kazi

  Pole sana mkuu, Uzi wako una kichwa cha habari kipi? Tunaomba ututumie maelezo ya kina ili tuweze kuifanyia kazi. Na baada ya kufanyiwa kazi utapewa mrejesho. Karibu sana mkuu.
 16. JamiiForums

  JamiiTalks Tutumie taarifa za Rushwa ya Ngono na Unyanyasaji sehemu ulipo, ili Mamlaka za Serikali zizifanyie kazi

  TUHUMA ZA RUSHWA YA NGONO: TAARIFA ZAIDI ZINAHITAJIKA Habari, Kumekuwa na tuhuma kadhaa ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye Mtandao wa JamiiForums zikielekezwa kwa madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya Wengi wa walioleta tuhuma hizo hawakuleta taarifa za kina ili kusaidia kuwatia hatiani...
 17. JamiiForums

  Wito wa Wananchi: ‪Serikali iongeze muda wa Mchakato wa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria mbali mbali (8) zilizopo bungeni kwa Hati ya Dharura‬

  Tunawasilisha hapa ombi la kuongezewa muda kwa mchakato wa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria mbali mbali uliopelekwa bungeni kwa hati ya dharura. Muswada husika yaani the Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act no.3 (2019) unahusu sheria nane: Sheria ya Makampuni, (Sura ya 212), Sheria ya...
 18. JamiiForums

  Muendelezo wa Kinachojiri Kisutu: Kesi za Jamhuri dhidi ya JamiiForums

  Habari Wakuu, Shukrani za dhati kwa wale wote ambao wamekuwa nasi katika safari hii toka Disemba 2016 hadi sasa. Kuweka wepesi kwa wadau mbali mbali ambao wamekuwa wakifuatilia mienendo ya Kesi zinazowakabili Mkurugenzi Mtendaji, ndugu Maxence Melo na mwanahisa wa Jamii Media ndugu Micke...
 19. JamiiForums

  MJADALA: Uwajibikaji ni nguzo muhimu katika kuzuia Rushwa

  Asante mkuu kwa kuuliza na kushiriki nasi
 20. JamiiForums

  MJADALA: Uwajibikaji ni nguzo muhimu katika kuzuia Rushwa

  Asante kwa kushiriki nasi mkuu..
Top Bottom