Search results

 1. EMMANUEL JASIRI

  Kama wewe ni jeuri, mkorofi, usiende kuishi Sumbawanga

  Sumbawanga ni tofauti, Wanapenda wageni Ni wapole Ni wakarimu Hawana roho ya kwanini Sio wachokozi Hawana mambo ya kurogana rogana hovyo japo uchawi wanaujua vizuri Walio bahatika kumjua MUNGU wana msimamo katika imani ya dini Ila kama wewe ni mchokozi,mkorofi sumbawanga haikufai Watu...
 2. EMMANUEL JASIRI

  Hii shida kwenye baadhi ya VICOBA , itaisha lini?

  Nimekuwa nikishuhudiwa kuhusu mafanikio makubwa, Waliyopata, Kutokana na huu mfumo wa kifedha,maarufu kama VICOBA Lakini hata hivyo, Wengine mfumo huu umesababisha maumivu makali kwao, Na kuwaacha wakilia, Mfano, nimekuwa nikipata taarifa toka kwa watu wangu wa karibu, ambao...
 3. EMMANUEL JASIRI

  Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

  Nimekuwa mpenzi wa kutumia usafiri wa basi la Shabiby mimi na familia yangu kwa miaka zaidi ya mitano Dar, Dodoma, Dodoma Arusha. Ila leo kwa yaliyo nikuta kupitia dereva huyu, imeniuma sana Tulikata tiketi siti namba 4 kwa ajili ya mke wangu kusafiri toka Arusha kuelekea Dodoma ni katika...
 4. EMMANUEL JASIRI

  Raisi samia Suluhu Hassan tumwache aifanye kazi yake kwa amani, vinginevyo tutajikwamisha kwa namna hii

  Sasa hivi katika mitandao ya kijamii Kuna kundi ambalo linaweka mijadala mingi ya kumlinganisha Raisi huyu utendaji wa Marehemu Magufuli Hili kundi linaongozwa na Veronica France Ni kama kundi hili lipo kinyume,halijaridhika kuona Samia Suluhu akiwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
 5. EMMANUEL JASIRI

  Fanya haya ili biashara unayoianzisha isife

  1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo. 2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo. 3. Amua kujenga mahusiano...
 6. EMMANUEL JASIRI

  Nani umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa?

  Habari wadau wa jamiiforums Habari zenu, Naomba kujuzwa Kama umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa. Napenda kuomba kujua ulikusaidiaje kiafya? Au una uonaje? Tafadhali wadau nisaidieni.
 7. EMMANUEL JASIRI

  Kama umewahi kupona maumivu ya misuli, mishipa, magoti na kiuno kwa njia asilia, naomba msaada

  Tafadhali naomba unijuze Ili kupona ulitumia mimea ipi Kwa kiasi kipi Na matokeo ya kupona hilo tatizo yalitokea ndani ya siku ngapi? Na huo mmea unapatikana mkoa upi,wilaya ipi,au maeneo yepi?
 8. EMMANUEL JASIRI

  Jamani naomba msaada kuhusu maana ya majina haya kwa kiswahili

  Hii mimea kwa kiingereza 1.Unaitwa -chamomile 2.Unaitwa-nutmeg nimejaribu kutafuta maana yake kwa kiswahili mpaka sasa sijafanikiwa. Tafadhali yeyote unaye fahamu jina la mimea hii kwa kiswahili,nakuomba unisaidie hapa tafadhali.
 9. EMMANUEL JASIRI

  TRA tafadhali angakieni upya huu utaratibu wa kitambulisho cha machinga

  Mimi ni mjasiliamali mdogo mdogo,nayajua maumivu tunayo yapitia sisi wajasilia mali wadogo.Natambua uwepo wa wafanya biashara weye mitaji mikubwa ambao wamejigeuza kuwa machinga kwa lengo la kukwepa ulipaji kodi. Hata hivyo wapo wengi ambo ni machinga halisi,pia wapo pia ambao hapo awali...
 10. EMMANUEL JASIRI

  BRELA na NIDA niwekeni wazi nielewe

  Wakati wa mabadiliko ya mfumo wa BRELA wa usajili online mahali pa vitambulisho,mnataka kitambulisho cha taifa,wengine havija toka bado,nimeenda NIDA nikapewa namba ya kitambulisho changu cha taifa. Changamoto,kila nikiweka namba majina hayaji,nawapigia BRELA wanasema nilirudi tena NIDA sasa...
 11. EMMANUEL JASIRI

  Jinsi machine ya kuangamiza mbu ilivyonisaidia

  Nakumbuka nikiwa Dar es Salaam, maeneo ya karakata jirani na uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere, chumba nilicho kuwa naishi kilikuwa na utitiri wa mbu ambao walikuwa wana shambulia sana, umekaa popote hawakuachi mpaka wakudunge sindano yao. Siku moja nikapita Kariakoo nikakuta kuna mashine...
 12. EMMANUEL JASIRI

  Usajili mpya wa Brella: Husajiliwi kama huna kitambulisho cha Taifa, NIDA nao wanachelewa kutoa kitambulisho

  Brella mmetutangazia mfumo mpya wa usajili, sisi ambao tulijisajili tumetakiwa kuweka kwa upya taarifa zetu,. Wengine wetu hasa mimi binafsi niliweka namba ya leseni yangu ya udereva hapo awali, sasa napoenda kujaza upya taarifa zangu nadaiwa Kitambulisho cha Taifa ambacho wengi wetu hatuja...
 13. EMMANUEL JASIRI

  Changamoto zinazorudisha nyuma maendeleo ya baadhi ya wajasiriamali Tanzania

  1.Mfumo wa kutokupeda kujifunza,sio wengi wetu wanao penda kujifunza wengi wetu tunapeda kufanya mambo bila hata kufikiria namna ya kupata maarifa ya kutosha kuhusiana nalo. Tanzania tunayo Bahati kubwa vijana wetu wengi ambao wamepitia taarifa mbalimbali na kujisomea vitabu vya ujasilia mali...
 14. EMMANUEL JASIRI

  Natafuta rafiki wa kike mcha mungu

  NATAFUTA RAFIKI WA KIKE MCHAMUNGU MRISTO ANAYEPENDA KUJIFUNZA BIBLIA,UJASILIA MALI,IBADA NA MAOMBI ILI TUBADILISHANE MAWAZO YA KIMAISHA KWA MAWASILIANO 0686081871
 15. EMMANUEL JASIRI

  Nahitaji Brenda inayosaga vitu vikavu kama mbegu za kahawa na tangawizi

  BRENDA INAYO SAGA,BRENDA INAYO SAGA,BRENDA IMARA YENYE UWEZO WA KUSAGA VIUNGO VIKAVU KAMA TANGAWIZI KAHAWA NINA HITAJI KUAZIMWA KWA MAKUBALIANO YA MALIPO MAALUM KAMA KWA KILA WIKI AU KILA MWEZI,KUNA BIDHAA NINATAKA KUTENGENEZEA KWA SABABU NDIO NAANZA MRADI NADHANI MWENYE MOYO WA KUNIWEZESHA KWA...
Top Bottom