Search results

 1. Mwagito84

  Manusura Wa UKIMWI...

  Kuna jambo utajifunza hapa, Kisa cha kweli 2015 Ilikuwa niko kikazi kwenye kazi iliyobidi niwe mbali na nyumbani kama km 80 hivi vijijini huko mishe za TASAF. Tukiwa site na michakati ya kikazi ikiendelea shughuri tulikuwa tunazifanyia kwenye ofisi za Kijiji opposite na shule ya msingi...
 2. Mwagito84

  Nahisi jamaa yangu anatoka na mwanafunzi, nimeshangaa sana

  Juzi kati jamaa yangu akanipigia, Mshkaji nilisoma naye High school. Tulipotezana kitambo ila hamadi tukakutana town tukabadilishana namba fresh. Kwa sasa nimehamia kwenye kakibanda kangu ambapo jamaa since naanza ujenzi alikuwa hajawahi kuja though mimi kwake nimewahi kwenda kumtembelea, Jamaa...
 3. Mwagito84

  Jinsi Jirani alivyoliwa Mkewe na Jank wa Field

  Ndugu yangu anaishi mkoa mmoja km karibu 700 toka yalipo makazi yake huku anafanua kazi. Huku kamuacha mkewe, Kwa kuwa ananyumba kumbwa na nyingine za kuzunguka amepangisha wapangaji kadhaa. Mmoja wa wapangaji miezi kama 3 iliyopita alimleta mpwa wake ili afanue Field katika taasisi anayofanyia...
 4. Mwagito84

  Natafuta mke (25yrs - 30yrs)

  Nina miaka 35 mkristu wa madhehebu ya RC. Nina mtoto mmoja wa kike 7 aged na naishi IRINGA. Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo . Awe mkristo wa dhehebu lolote ila kama ni islamic asiadhiri maisha yangu kwa imani yake . Awe na akili, mbunifu na mtu anayependa kufanya kazi na kujituma kwenye...
 5. Mwagito84

  Ni mkasa gani wa mapenzi umewahi kukuumiza moyo na ni kama umekutia ulemavu moyoni?

  Binafsi mkasa mbashara kabisa wa kimapenzi ambao unaishi na mimi na kamwe siwezi kuusahau kwani Moyo bado unavuja damu. Ilikiwa April 17 mvua za vuli zikielekea kukoma huko Iringa basi kuna manzi mmoja moto wa kuotea mbali nilikuwa nampenda kinyama. Nikawa nampigia misele kimyakimya na sikutaka...
 6. Mwagito84

  JAMA JAMA.....HII HATARI

  Ndugu yangu mmoja ambaye amepata kuhudu katika bank kwa miaka karibu 10 hivi nilikiwa napiga naye stori za hapa na pale. Katika mazungumzo yetu mimi nilichombeza kwamba kiukweli binafsi natamani kuwa na mke banker kwani bank zinawabana sana watumishi wao kiasi kwamba kuibiwa mke ni kazi sana...
 7. Mwagito84

  Ukiambiwa uwasafirishe wote uliowahi date nao.

  Hivi utatumia usafiri gani ukiambiwa uwasafirishe wate uliowahi piga nao mzigo kwa mkupuo mmoja bila kumuacha hata mmoja. Utatumia usafiri gani. Sema ukweli Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Mwagito84

  Kauli ipi hakika hukukonga moyo ukiachana na hizi?

  1. Kafunge mlango kwanza..... 2. Nifungue zipu mgongoni..... 3. Navua mwenyewe..... 4. Nimeaga nalala kwa shangazi..... 5. Nimeshuka kituoni muelekeze bodaboda...... TIRIRIKA Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Mwagito84

  Amesema ana mtu wake ila ananiomba hela

  Kuna bidada yupo chuo mwaka wa mwisho hapa kitaani. Binti ana sura ya kawaida tu kama lastborn wa Babangida, Ila kajaaliwa Nundu hiyo chini ya mgongo hatari. Huku na huku nikasakanya namba tuyajenge akanambia ana mtu wake hivyo haiwezekani. Nikamwambia niwe tyre spare akasema poa ila niwe...
 10. Mwagito84

  Kafumania na kapewa mkong'oto

  Jamaa yetu kitaa amevimba uso, hana hamu tena na mke kachapiwa. Ilikuwaje! ungana nami. Kwa muda jamaa aliskia kiwa kuna afande mmoja anamla mkewe. Jamaa kwa mwendo wa kobe akaanza kufuatilia. Sasa bwana juzi kati kabonyezwa mkeo yuko room namba x afande anatandika mitindo huru. Jamaa...
 11. Mwagito84

  Amefanya ngono na mpenzi wa zamani wiki moja kabla ya ndoa na ni Mjamzito

  Wanagenzi mpo!. Mapenzi na ndoa sio jambo la utani, Ukiamua kuingia ujipange vilivyo. Jamaa yangu ambaye tayari ameoa ana mchepuko wake wa muda mrefu, na katika mahusiano yao walikubaliana kabisa kuwa bidada akipata mtu wa kumuoa basi jamaa hana hiyana atamruhusu aolewe. Huku na huko binti...
 12. Mwagito84

  Iringa 2019, nikipata mchumba ndo nimefika mazima

  Nataka niishi Iringa, watu wake wako poa sana, Kwa mwezi niliokuwa hapa, nabaki. kiubaridi flani hivi cha kula blanket na sweta. Wa Iringa mjini tufahamiane ili ikiwezekana na mke nipate hapa hapa aisee [emoji6] Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Mwagito84

  Zile dakika5 baada ya kuibiwa kitu cha thamani

  Umewahi ibiwa ukachoka kiasi cha kuishiwa nguvu, kukaa chini na kumwaga machozi kindezi, huelewi hata imeibiwaje licha ya tahadhari kibao ulizo jiwekea. Binafsi nimewahi ibiwa simu kwa namna ya ajabu, simu ilikuwa na siku 5 tu mpyaaaa. Samsung J7 pro ya 660k. Nikilia kiukweli. Tafuta tafutana...
 14. Mwagito84

  Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

  Umewahi kutwa na tukio la aibu kiasi cha kukufedhehesha sana ila sasa huna namna ndo lishatokea. Vip bado linakutesa kihisia hadi leo, hebu tupe mkasa ilikuaje. Mi niliwahi pata tukio la aibu baada ya chupi aina ya VIP kukatika pale kwenye kiungo sasa tulikuwa tunacheza mpira, sina hili wala...
 15. Mwagito84

  KUWA MKWELI 2018 UTOKA NA WANGAPI

  Ukiweka kando unafiki, be honestly. Mwaka huu tangua uanze na tunaelekea mwishoni ni wanawake wangapi umepiga/ na kwa mwanamke umepita na wangapi. Vip kuna jipya au ni yaleyale. Mwaka unaisha hima tufunge hesabu tujiandae na mwakani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binafsi 10/=
 16. Mwagito84

  Je, umeshawahi kupata kipigo ambacho rekodi yake haijawahi kuvunjwa?

  Maisha yana mambo mengi sana, ila moja ya visa vinavyoumiza akili kando na mapenzi basi ni kipigo. Kiadhibiwa iwe umeonewa au ni kweli umekosea. Ni kipigo gani unahisi hata ukiingia mbinguni lazima umsimlie Sir God jinsi ilivyoteseka na kipigo hicho. Ilikuje ukaingia kingi! Vip umrbadilika...
 17. Mwagito84

  Watu wengi wamejikuta kwenye mapenzi ya aibu na huwezi mwambia mtu inabaki kuwa siri yake

  Unawezabisha ila ndo ukweli, kwenye haya maisha ua mahusiano watu wana historia na mapito mengi ila kuna yule uliye wahi shiriki naye kufanya mapenzi na imebaki kuwa siri yako binafsi kwani huwezi msimulia mtu kutokana na aibu, hata uwe kidomodomo vipi hapo breki hiyo siri umedumu nayo na...
 18. Mwagito84

  Umewahi piga/pigwa chabo katika faragha

  Maisha yana mambo mengi, vyovyote unavyoweza sema. Kupigwa chabo hasa ukingonoka faragha bila ridhaa huwa ni jambo la fedheha kubwa na agharabu likakupeleka katika msongo wa mawazo. Wengine wamedondokea katika urahibu huu wa kupiga chabo. Hebu tubadiloshane uzoefu vip umewahi piga chabo...
 19. Mwagito84

  UKIBAHATIKA MWENZA WAKO HAVUTIWI NA SMARTPHONE MSHUKURU MUNGU

  Hizi smartphone kiukweli zinaua kwa kasi mahusiano na ndoa nyingi zimefikia tamati kisa simu hasa smartphone. Watu waliopotezana wanakutanishwa kiurahisi mno
 20. Mwagito84

  JE UMEPOTEZANA NA NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI NA UNGETAMANI MUONANE?

  Kama umepotezana na ndugu,jamaa na marafiki na ungependa muonane kama sio kuwasiliana basi we kazana kutafuta fedha, yaani kuwa na mpunga tu wa kutosha. Suala la namba watajua wao watakako itoa [emoji16]
Top Bottom