Search results

 1. Lyampinga

  Ucheleshwaji wa kupata passport, nini kinaendelea Uhamiaji?

  Nimekuwa nafuatilia passport tangu mwezi wa saba mwaka huu, kila siku napigwa kalenda. Passport ilitakiwa kuchukuliwa mwezi wa nane lakini mpaka leo bado. Ukifuatilia unaambiwa nenda makao makuu, kule napo wana majibu ya rejareja kweli, unaambiwa passport yako bado, bila kuambiwa iko hatua gani...
 2. Lyampinga

  Jamani NMB ni uozo, balaa...

  Muajiri wangu alitaka wafanyakazi wote tukafungue account NMB house pale azikiwe hili tuweze kuchukulia mishahara kwenye account zetu, lakini leo ni mwezi wa pili, napigwa danadana kuhusu kadi yangu ya kuchukulia hela kwenye ATM. Na mwezi wa kwanza nikaambiwa picha yangu haipo kwenye system...
 3. Lyampinga

  Elections 2010 Walichokisema Observers wa EU

  Ndugu zangu nimeambatanisha report ya waangalizi wa Ulaya kwenye uchaguzi wetu, jamaa wangu mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi nao kaniambia jamaa walikuwa disappointed sana na mambo mengi kwenye uchaguzi wetu.
 4. Lyampinga

  Mhindi amfanya mama wa kitanzania kama mtumwa Uingereza

  A retired doctor held a slave in her suburban home for four years, a court was told yesterday. Saeeda Khan, 68, is accused of making Mwanahanisi Mruke work up to 24 hours a day cleaning, cooking and gardening. She fed her scraps of bread and made her sleep on a thin mattress on the kitchen floor...
 5. Lyampinga

  Kumbe Michuzi Photopoint sio ya kwake!!!

  Ndugu yetu amekuwa akisema yeye ni mmoja wa wamiliki wa zile sehemu za kupigia picha na mpaka gari lake lina "poster za photo point" inasemekana yeye wala hausiki kabisa na photopoint, yeye ni kama deiwaka vile. Kama yumo humu atueleze basi
Top Bottom