Search results

 1. Ki Mun

  Gado cartoons: Ajionavyo jiona JPMni tofauti na tunavyomwona sisi raia

  JPM katika FIKRA zake anajiona mtu TOFAUTI kabisa na tumwonavyo sisi raia wake...hii ni kwa mujibu wa Mchora Katuni maarufu Mtanzania, GADO...
 2. Ki Mun

  Rais akishamaliza hotuba yake sisi tutabaki Uwanjani kuendelea na sherehe za Muungano

  Tarehe 26 April ni siku muhimu sana kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...tutasherehekea sherehe za Muungano like never before.. Rais wetu mpendwa akishamaliza kusema ya kwake pale Uwanja wa Uhuru na kuondoka na viongozi wenzake kwenda kula ubwabwa na mvinyo laini Ikulu...sisi raia wengine kwa...
 3. Ki Mun

  Ujenzi wa Viwanda washika kasi nchini - hakika tuko kwenye 'right track' kama anavyosema Rais wetu mpendwa

  Hakika tuko kwenye 'right track( or 'lait tlack - wareva) kama asemavyo mheshimiwa Rais wetu mpendwa, Dr. Magufuli...tuongeze bidii kwenye kazi zetu za uzalishaji kila mtu kwenye sehemu yake...tutatoboa tu, haha! Maandamano ya nini Tenaaa???( In Mzee Tupatupa's voice).
 4. Ki Mun

  Shyrose Bhanji awapongeza Mama Janeth Magufuli na VP Samia kwa "Moyo wa Uvumilivu"

  Kada wa CCM Bi Shyrose Bhanji leo katika kusherehekea Siku ya Wanawake duniani amewatumia pongezi za kipekee Mama Janeth Magufuli na Mama Samia kwa MOYO WA UVUMILIVU...nafikiri ameacha tu kusema yeye yangemshinda..
 5. Ki Mun

  Hivi Rais Magufuli au wasaidizi wake huwa wanatafakari kabla ya kuposti Twitter? Au ni bora liende

  Tweets za Rais Magufuli zimekuwa zikiibua utata mkubwa kutokana na watu kuamini kuwa anachokiandika huwa hakitoki moyoni kwa sababu maandishi yake kwa kiasi kikubwa ni tofauti sana na kauli ama matendo yake...leo tena kaposti kuwatakia Wanawake heri ya siku yao, kinyume kabisa na dhamira yake ya...
 6. Ki Mun

  Yaounde Cameroon: Tanzania Church backs school ban for pregnant students

  Last year, President John Magufuli announced that schoolgirls who get pregnant will not be allowed to go back to school after giving birth. “As long as I am president … no pregnant student will be allowed to return to school … After getting pregnant, you are done,” the president said. Read...
 7. Ki Mun

  Kwa wale mnaofurahia kuitwa "Bae"

  Have a wonderful weekend!
 8. Ki Mun

  Nimeupenda ujumbe wa Khamisi Kagasheki kwa Zitto, Maria Sarungi na Evarist Chahali

  Difficult roads always lead to beautiful destinations... Hakika Rais yuko peke yake.. Watu wakiamua kukinukisha hakuna nguvu itakayowazuia... Dola iko na bidii kutengeneza maadui hata ambao hawakuwa maadui!
 9. Ki Mun

  Tanzania ya Viwanda is dead and dusted

  Hata siamini mjue, Mwijage is no where to be heard, Sizonje is at a loss.. Sasa ni kusumbua wafanyabiashara, kuwatisha na kuwanyang'anya mali na fedha zao...nyumba, mashamba, viwanja, magari nk. Bombardier zimeyeyuka...elimu bure uongo mtupu, mimi kila mwezi nalipa michango inayozidi...
 10. Ki Mun

  New Zimbabwe: Tanzania police kill University student

  TANZANIA'S main opposition party on Saturday accused police of shooting dead a female university student and seriously injuring at least four other people while trying to disperse a peaceful demonstration in the country's commercial capital Dar es Salaam. The local police have admitted a person...
 11. Ki Mun

  Tusikate tamaa, Zimbabwe, South Africa na Ethiopia wametufanyia njia

  Nawasihi wale tunaoonewa sasa, tunaopigwa, kutekwa, kuuawa na kusingiziwa kesi tusikate tamaa...hizi dhulma zimefanyika mno hasa Zimbabwe na Ethiopia lkn tawala za kidhalimu na kifedhuli huko zimekoma mbona...tusikate tamaa, huu uchokozi wa makusudi unaofanywa na watawala kwa raia wapole...
 12. Ki Mun

  Nawakumbusha Sirro na Mwigulu: Dereva wa Lissu hakwenda Belgium, mnakwepa nini kumhoji sasa?

  IGP Sirro pamoja na Waziri Mwigulu kila wakati walipotakiwa kueleza hatua iliyofikiwa na jeshi la Polisi katika kupeleleza tukio ovu la kujaribu kuuawa kwa kipenzi chetu Tundu Lissu walikuwa wakijibanza kwenye kona na kisingizio dhaifu kuwa Upelelezi huo umekwamishwa na Dereva wa Tundu Lissu...
 13. Ki Mun

  Upikaji Takwimu za serikali: hakuna wagonjwa wa malaria sasa katika hospitali za serikali

  Natabiri muda si mrefu tutatangaziwa kuwa Tanzania imefanikiwa KUTOKOMEZA ugonjwa wa Malaria... Sasa hivi kama unatafuta tiba ya malaria katika hospitali na vituo vya afya vinavyomilikiwa na serikali subiri tu kufa muda si mrefu...vipimo vyao havioneshi tena vimelea vya malaria katika mwili...
 14. Ki Mun

  Tunataka Ujasiri kama wa Durtete wa Phillipines

  Wapo Marais katika nchi zetu hizi maskini - shithole countries kwa mujibu wa Trump, and rightly so - ambao wanapotuhumiwa kuwa wamekuwa na tabia za kidikteta ama wana makusudi ya kubadili katiba za nchi zao ili watawale milele huishia tu kujitetea kwa kutoa majibu ya juu juu...kwa mfano...
 15. Ki Mun

  Rais mbona anakuwa na wivu sana na maisha binafsi ya sisi raia anaotuongoza?

  Mimi nahoji tu, hivi mbona Rais wetu mpendwa anakuwa na mwelekeo wa kuwa na wivu na hila sana na maisha binafsi ya raia wa nchi hii? Kwani ni lazima kuwasimanga watu kila wakati kwa vyakula wanavyokula, nguo wanazovaa na fedha na mali wanazomiliki, au mwelekeo wao itikadi za kisiasa...
 16. Ki Mun

  Quartz: The list of bans imposed by Tanzania's populist president just keeps growing

  I SAY NO! Ikiwemo kuzuia wasichana waliopata ujauzito kuendelea na shule, kufungia vyombo vya habari na kuzuia shughuli za vyama vya siasa... Read the full article here: By Abdi Latif Dahir The list of bans imposed by Tanzania’s populist president just keeps growing
 17. Ki Mun

  Wanawake mna haki ya kuvaa, kula na kunywa mnachotaka

  Wanawake wa Tanzania TAFADHALINI...AMKENI na fanyeni kile walichokifanya wenzenu wa Kenya tarehe 13/11/2014...waliwakatalia wapuuzi wachache katika nchi hiyo waliotaka kuwachagulia aina ya nguo za kuvaa...wakaandamana katika kampeni waliyoiita MY DRESS MY CHOICE...kwamba usiruhusu mtu...
 18. Ki Mun

  Quartz: Watanzania wanafikiri rushwa imepungua nchini kwao, lakini hali ni tofauti sana

  Haya tena, yule mpinga takwimu kazi kwake: >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> In brief: "A May 2017 survey (pdf) by Afrobarometer, a research network, shows that over 70% of Tanzanians believe corruption in the country had decreased “somewhat” or “a lot” in the previous year. This is in stark...
 19. Ki Mun

  Propaganda hizi za TBC ni za kipuuzi, za hovyo

  TBC kwa sasa wanafanya propaganda za kipuuzi na za hovyo mno - sijui lengo lao ni lipi pale wanapoonesha vipande vya picha za vita na mauaji katika nchi mbalimbali hasa Rwanda katika taarifa yao ya habari. Kwa udadisi tu nilitaka kuangalia taarifa yao ya habari usiku wa leo kuona...
 20. Ki Mun

  Disemba ndo hiyo inakwisha, sioni dalili ya Bombardier kutua nchini kama alivyoahidi Magufuli

  Jamani ee...baada ya aibu ya Bombardier kukamatwa na wadeni wake Canada, kwanza Rais Magufuli alinyamaza, kisha akaamua "kumshughulikia" Lissu kabla kuzungumza kwa majigambo makubwa akiwa ziarani Mwanza kwamba si tu Bombardier iliyokuwa imeshikiliwa ingetua nchini, bali pia ndege zingine 3...
Top Bottom