Search results

 1. hiram

  kiingereza hiki cha mtangazaji Kotinyo

  Mtangazaji huyu sijui mchambuzi aliweka nukuu ya kiingereza na tafsiri yake lakini mimi naona kama tafsiri hii ina shida hivi
 2. hiram

  Edo Kumwembe amchambua Haji Manara kisomi

  JICHO LA MWEWE: Haji Manara ni ‘Malaika au Shetani’? By Edo Kumwembe HAJI Manara anaingia katika rekodi ya aina yake nchini. Rekodi ambayo unaweza kuiweka katika kitabu cha rekodi ya maajabu ya dunia cha Guiness. Anakuwa kiongozi wa kwanza kukatisha boda baina ya klabu mbili kubwa nchini...
 3. hiram

  Manara atabiri jezi mpya ya Simba itakavyokuwa

 4. hiram

  Simba kama Majimaji mwaka 1999

  Mwaka 1999 timu ya Majimaji ya songea ilishiriki klabu bingwa na bila kuanzia raundi ya awali, walianzia mmoja kwa moja raundi ya kwanzakwa kucheza na Al Ahly kama ambavyo simba wataanza mwaka huu. hii ilitokana na mafanikio ya kinchi yaliyoletwa na DAR YOUNG AFRICANS mwaka wa nyuma yake 1998...
 5. hiram

  Huu hapa uongo wa Manara kuhusu pesa za Bakhresa

  MANARA anadai eti bilioni 223 za mkataba wa Azam na TFF zinaweza kupanga elfu kumi kumi zikafika brazil na kurudi umbali wa kutoka dar es salaam hadi brazil ni kama kilometa 9000 na kurudi ni karibu kilometa 18000 Noti moja ya shilinigi elfu kumi ina urefu wa sentimita 14 unahitaji noti za...
 6. hiram

  Picha: Mashabiki wa PSG waiiga Yanga, wampokea Messi Airport

 7. hiram

  Kumbe Simba mil 380 kwa mwaka Yanga bilioni 40

  Manara kaua leo kwamba kumbe wataniz etu walishaingia nkataba na Azam TV wa pesa kiduchu mil 380 kwa mwaka halafu wanajishaua kuuponda nkataba wa Yanga Afrika na Azam
 8. hiram

  Mdogo wangu ana Division ONE HKL anataka kuchukua Journalism nimpe ushauri gani?

  Mdogo wangu amepata matokeo hayo je journalism inalipa?
 9. hiram

  ELIMU YA HISA: Simba wakipata bil40 za Azam basi 49% ni za Mo Dewji

  Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa. Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara...
 10. hiram

  Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba

  Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba
 11. hiram

  Hatari: Foward ya Yanga Mechi mbili goli 6

  Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu.
 12. hiram

  Tulinganishe: Mgawo wa fedha kwa kila timu ligi kuu uingereza 2019/2020

  Huku tukiendelea kutafakari Nkataba wa Azam tupate inputs mbali mbali ufuatao ni mgawanyo wa fedha kwa epl 2019/20 Bingwa yaani liver pool alipata euro milioni 174 sawa na bilioni 573 za madafu (573,931,663,578.00 tshs) na aliyeshika mkia yaani Norwich City alipata euro 94.5m sawa na bilioni...
 13. hiram

  New York Times walivyoripoti kutekwa Air Tanzania mwaka 1982

  4 TANZANIAN HIJACKERS SURRENDER; 90 HOSTAGES ARE FREED IN BRITAIN By R.w. Apple Jr., Special To the New York Times March 1, 1982 March 1, 1982, Section A, Page 3 BISHOP'S STORTFORD, England, Feb. 28 - A 48-hour hijacking drama that began in East Africa ended tonight at an airport 25 miles...
 14. hiram

  Je Wajua? Mwaka ambapo Tanzania iliingia kwenye CAF RANKING kwa mara ya kwanza

  KUHUSU RANKING Afrika ina nchi 54 lakini ni nchi 32 tu zipo kwenye CAF RANKING na TANZANIA ikiwemo, hii ina maana kwamba mataifa 22 ya Afrika hayamo na ni kwasababu timu za nchi hizo hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya CAF. Tanzania iliingia kwa mara ya kwanza kwenye CAF RANKING mwaka 2017...
 15. hiram

  Jinsi Yanga ilivyodhulumiwa nusu fainali ya CAF Champions League

  Mwaka 1968 Yanga walichukua Ubingwa wa Ligi na kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa barani afrika 1969. Yanga walienda nchini Romania kufanya pre season ya mwezi mzima kitu kilichowafanya kufanya vizuri sana kwenye mashindano Hatua ya awali. Yanga wakakutana na fitarikandro ya Madagascar...
 16. hiram

  Babu Tale, Comming 2 America ipi tena jamani?

  Meneja wa Daimond Platnumz Babu Tale ameandika kwenye ukurasa wake kwamba wimbo wa Haleluya wa msanii huyo japo ulikataliwa na basata lakini umetumika kwenye filamu ya Coming to America 2 Hata hivyo filamu hiyo nimeiangalia sijaona popote ambapo wimbo huo umetumika na hii ni orodha ya soundtrack...
 17. hiram

  Simba wamenikumbusha miaka saba iliyopita

  NDIYO terehe 1 machi 2014 Yanga alimuua Al Ahly 1 - 0 goli la Canavaro dakika ya 82.
 18. hiram

  Mtanzania Mrisho Halfani Ngassa ndiye mchezaji aliyefunga hat trick nyingi kwenye mashindano ya CAF

  Mtanzania Mrisho Halfani Ngassa ndiye mchezaji aliyefunga hat trick nyingi kwenye mashindano ya CAF Champions league tembelea African Cup of Champions Clubs and CAF Champions League records and statistics - Wikipedia upate rekodi hizi maridhawa.
 19. hiram

  Msaada: Nabonyeza wapi? Kukata rufaa ya mkopo bodi

  Nipo hapa najaribu kukata rufaa lakini sijui unabonyeza wapi hebu nisaidieni.
 20. hiram

  Batman vs Popobawa

  ilikuwaje hadi mzungu akaja na wazo la popo mtu anayeokoa watu "BATMAN" na waswahili tukaja na popo mtu anayelawiti watu "POPO BAWA"
Top Bottom