Search results

 1. Kibajajitz

  Watani wa jadi wakitimiza ahadi

  Matani sio mazurii...hichi ndicho kinaendelea uswahilini kwetu
 2. Kibajajitz

  Nina samsung A70 nahitaji wa kubadilishana na A9 pro 2016

  Wakuu kama tangazo linavyosema nahitaji simu hiyo hapo juu. Hii simu yangu haina tatizo lolote ni yangu nina kila kitu chake hadi stakabadhi niliponunulia utapata. kwanini A9 pro 2016 hii simu nilishawahi tumia nikaibiwa. Nilijaribu zunguka madukani nikaikosa mwenye interest aje pm tuyajenge...
 3. Kibajajitz

  Tucheke ki corona

  Mjini shuleee
 4. Kibajajitz

  Msaada nyumba ina mauzauza

  zamani nilikuwa najua ni story za kutungwa tu au chai lakini hii nimeshuhudia mwenyewe,ni hivi mzee aliamua kujenga kibanda ( nyumba) katika wilaya moja ya pwani nyumba ilijengwa kwa madhumuni kama tukitaka kwenda tuwe na mahali pakufikia bahati mbaya ile nyumba toka ijengwe hatujawahi kwenda...
 5. Kibajajitz

  Huawei mate 8 nxt l29

  Nahitaji display ya simu tajwa hapo juu iwe mpya au hata used very agent.asante
 6. Kibajajitz

  HABARI NZURI KWA WAPENZI WA SIMU ZA XIAOMI

  wanakuletea mwonekano mpya wa simu ambayo camera yake ipo chini ya kioo .... fungua link kwa maelezo zaidi [Xiaomi Weekly News #10] Xiaomi Under-display Camera Technology Coming, Mi Band 4 and More! http://c.mi.com/thread-2220513-1-0.html
 7. Kibajajitz

  Kioo cha samsung note 3 9005

  Natafuta kioo cha samsung note 3 used tajwa hapo juu. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Kibajajitz

  Kadi ya gari yenye jina David Joel Dadi. No ya gari T520DBY toyota corolla imeokotwa

  yenye jina David joel dadi. No ya gari T520DBY toyota corolla. awasiliane na potalvin3@gmail.com
 9. Kibajajitz

  karibuni kwa huduma za internet na web

  Unlimited Data: GebTech compony ni kampuni ambayo inafanya kazi virtually , Kwasasa inatoa huduma zifuatazo: Kuunda blog (buree) Kubadili blog kwenda app 20,000. Kubadili blog kutoka blogspot.com kwenda _.com kwa sh.30000. .tk .cf .mg .ga nk kwa sh.10,000 tu. Mfano blog yako inaitwa...
 10. Kibajajitz

  Leo wakazi wa Kigamboni tumekomeshwa, Kivuko kimoja tu kinafanya kazi

  Leo tarehe 18.1.2018 wakazi wa Kigamboni tumeisoma number kwa kirumi ni baada ya usafiri wa pantoni kusumbua.hapa ferry kuna pantoni tatu lakini kwa siku ya leo inayofanya kazi ni moja tuu.tena ile ndogo imezidiwa kwa kweli watu ni wengiii imebidi iwe inachukua abiria tu na kuwavusha huku wenye...
 11. Kibajajitz

  Msaada jinsi ya kuweka setting sim message kwenye ttcl.

  Husika na kichwa hapo juu naomba kuelekezwa nataka nijaze manual setting sim message center kwenye modem yangu ya ttcl
 12. Kibajajitz

  Happy birthday kwangu

  Nijitakie heri ya kuzaliwa.Mungu ni mwema nimepitia mengi ila nazidi kumshukuru kwa yote.
 13. Kibajajitz

  Msaada wa hii simu imenishinda

  Jamani ni mda tu natumia simu aina ya samsung note 3.jana nimepatwa na tatizo la screen kutumika nusu namaanisha icon zimekuwa ndogo, kila nikiset font hakuna msbadiliko naombeni msaada.viandishi vimekuwa vidogo hadi macho yananiuma. Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Kibajajitz

  Mtandao wa Tigo acheni hizi

  Wahusika wa huu mtandao naomba mjirekebishe kwa kweli mnatuumiza sasa wananchi wenye vipato vya chini. Tatizo lenyewe ni huu wizi wa kuwaunganisha wateja wenu vifurushi bila wahusika kujiunga yaani mkiona tu mteja amebakiza salio kwenye simu yake mtafanya kila njia muichukue. karibia miezi...
 15. Kibajajitz

  Jihadharini na utapeli huu

  Mida ya asubuhi leo napokea sms hii kutoka kwa babu(mganga).hivi hawa matapeli number zetu huwa wanatoa wapii?? Nimejifanya kumwambia babu umekosea number ila na mimi nataka huo utajiri ili nimdake.kanipigia sijapokea simu ilikuwa silent.
 16. Kibajajitz

  AJALI: Basi la Princess Muro lapata ajali maeneo ya Kimara, Dar

  Kuna ajali imetokea mida hii saa 11.00 usiku maeneo ya kimara baruti.basi limeingia kwenye kitoa cha mabasi ya mwendo kasi. Updates: Abiria wote wametoka salama.konda pekee ndio aliyepata majeraha kidogo.
 17. Kibajajitz

  Samsung s4 i 9500 inauzwa

  Simu tajwa yauzwa laki tatu na ishirini .hii simu ni original ina ukubwa wa gb 32 Ukubwa wa ram 2gb Camera 13megapix Ipo kitikat 4.4.2 but unaweza upgrade kwenda lol pop 5.0.imetumika miez kadha haina tatizo wala michubuko.pm kama upo interest
 18. Kibajajitz

  Nina 150,000/= natafuta simu

  Natafuta simu ya bei hiyo hapo juu
 19. Kibajajitz

  Msaada:Samsung GT -8190 imestuck baada ya kushindwa update

  Wataalamu simu tajwa hapo juu inaandika firmware upgrade encountered an issue.please recovery mode in kies & try again but nimejaribu mwenyewe kurecovery through kies imeshindikana msaada plz simu irudi kwenye uhai
 20. Kibajajitz

  Natafuta dish used la satalite liwe futi 6

  please husika na kichwa hapo juu kwa mtu yoyote aliyopo dar es salaam ani pm tuwasiliane
Top Bottom