Search results

 1. hashycool

  Hata Beach Soccer Tunadundwa tu..

  Tanzania bado tumeendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu katika michezo mbalimbali. Hivi karibuni timu ya mpira wa miguu wa ufukweni (beach soccer) ilikwenda misri katika michuano hiyo ngazi ya Africa ambako nako timu yetu hiyo imeendelea kuwa jamvi la wageni kwa kupigwa karibu kila mechi...
 2. hashycool

  Confirmed: Ni Simba SC vs Nkana Red devils

  Binafsi sioni Nkana ikiizuia Simba ya Cletous Chama... vs
 3. hashycool

  Naomba kujua ratiba ya treni Dar - Tabora

  Hawayuni wanajamvi! Naomba kuulizia kwa yeyote mwenye ratiba ya treni kutoka dar kwenda tabora anijuze tafadhali! Je kesho ipo?
 4. hashycool

  Old Trafford inaungua moto muda huu

  Habari za muda huu ni kuwa uwanja unaotumiwa na timu ya Manchester united unaungua moto. Moto huo umeanzia katika majukwaa ya Sir Bobby Charton na fire fighters wako tayari katika eneo la tukio. A fire broke out at Old Trafford on Monday morning. Crews were called to Manchester United's...
 5. hashycool

  Samtex consultants ni magumashi?

  Hawa jamaa wanahusika na recruitment kwa ajili ya kazi, kuna ndugu yangu mmoja wamemuita kwa ajili ya interview ila wanataka kwanza alipe sh 20000/= kabla ya interview. Kwa anayewafahamu hawa ni kweli wako genuine au magumashi?
 6. hashycool

  papa na mic...

  papa aliposhika mic kama rappa...
 7. hashycool

  Dream team

  unakikumbuka hiki kikosi? nitajie majina yao
 8. hashycool

  Ulipitia hii?

 9. hashycool

  Hii kali

  HEBU PATISHIA HUYU ANAWEZA KUWA ANATOKEA MKOA GANI HUMU TANZANIA
 10. hashycool

  Aaaaah! Nassari

  imekaaje hii?
 11. hashycool

  He! Kumbe nimezaliwa leo?

  Hivi nyie siku mlizozaliwa mnafanyaga nini?....... damn! siku zinakwenda aisee mvi zisha anza kutoka happy b day mimi!
 12. hashycool

  Free zanzibar from mkoloni mweusi! Mh

 13. hashycool

  Michelle obsession.....

  The subject of my obsession doesn’t have a clue She’s probably somewhere now, not knowing what I’m going through Every breath that comes in me carries her scent Every breath coming out has her in it too Simple flashbacks of us together, Send a burning rush through me Cuz every memory is...
 14. hashycool

  Michelle.....

  Don’t talk to me of love. I’ve had an earful And I get tearful when I’ve downed a drink or two. I’m one of your talking wounded. I’m a hostage. I’m maroonded. But I’m in JF with you. Yes, I’m angry at the way I’ve been bamboozled And resentful at the mess that I’ve been through. I admit I’m on...
 15. hashycool

  Mkutano wa wawekezaji - Rukwa

  Mkutano wa fursa za uwekezaji katika ukanda wa ziwa tanganyika live kutoka rukwa sasa TBC1.... Rais kikwete,waziri mkuu,mabalozi na wawekezaji...
 16. hashycool

  Live..mdahalo shivji,kingunge...itv

  Shivj, kingunge ndani ya mdahalo live ITV maadhimisho ya kumbukumbu ya nyerere...
 17. hashycool

  Hela ya radar yarejeshwa

  Jana Membe kasema BA systems wameomba account ya TZ ili waweke pesa ya watanzania pesa kutumiwa kununua vitabu milioni nne,nyumba za walimu mia hamsini na madawati laki mbili my take:je waliokula rushwa kuwajibishwa?
 18. hashycool

  Msaada kwenye tuta

  Ni vipi ninaweza kupata matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2006 mtandaoni? Natanguliza shukurani...
 19. hashycool

  Riddle for the day

  A riddle for the day Arnold Schwarzenegger has a big one. John Komba has a small one. Madonna doesn't have one. The Pope has one but doesn't use it. Kikwete uses his all the time. Zitto has an unusual one. Sheikh Simba never used his on women. Makamba is very, very proud...
 20. hashycool

  Manchester united vs marseille

  Manchester United itaendeleza mbio zake za kuwania Champions League title leo kwa kuifuata Marseille kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Stade Velodrome. Kama tujuavyo tunategemea utamu wa mashetani wekundu leo,lakini kwa upande mwingine wanakibarua kigumu leo cha kukabiliana na marseille ambao...
Top Bottom