Search results

 1. Llio 002

  Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

  Lile hitaji langu la kununua mziki kwa matumizi ya ndani bado sijafanikiwa,najaribu kuzurura zurura mitandaoni kukusanya taharifa leo nimejaribu kuingia Amazon nikakutana na Home theatre moja nimeweka picha yake hapo chini Bei yake ni Tshs 781,000/= hadi inanifikia mikononi mwangu. Je...
 2. Llio 002

  Ushauri: kati ya LG Hifi system na LG Home theatre ipi nzuri kwa matumizi ya nyumbani?

  Naombeni ushauri wataalamu... nina machaguo mawili nataka kununua Lg x boom sound system ya watts 950 au Lg home theatre ya watts 1000 kati ya option hizo mbili mnanishauri nichukuwe ipi kwa matumizi ya nyumbani tu? Lg x boom sound system ni Tshs 900,000 na Lg home theatre ni Tshs 850,000 Bei...
 3. Llio 002

  Oppo Reno 5 wadau mna mtazamo gani juu ya hii simu.

  Wataalamu wa technologia kuna simu inaitwa Oppo Reno 5 ninetokea kuipenda sana japo.sijawahi kutumia simu za aina ya Oppo. Kwa muda huu natumia Samsung galaxy a50 lengo langu nataka nipate simu itakayokuwa bora zaidi ya hii nnayo itumia ndio nikatokea kuiona hiyo Oppo. Naombeni mnisaidia jee...
 4. Llio 002

  Phone4Sale Samsung Galaxy A50 inauzwa

  Nauza Samsung galaxy A50 bei Tshs. 450,000 picha sina maana ndio simu nnayoitumia hapa. Ukihitaji mawasiliano: 0689 150 968 watsapp 0625 576 082 ipo na charger yake original
 5. Llio 002

  Hii ndio maana ya wanawake wanaojielewa

  Tunaposema "WANAWAKE WANAOJIELEWA" hua tunamaanisha wale wadada ambao wameajiriwa ama wamejiajiri wanajilipia bills na kuendesha maisha yao wenyewe.. Sio nyie watoza ushuru.[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 6. Llio 002

  Hebu tuangalie ubora wa samsung galaxy A72 dhidi ya Iphone 11

  Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nataka kununua simu moja wapo kati ya Samsung galaxy a72 na Iphone 11 so nahitaji mnipe ushauri kati ya hizo mbili nichukuwe ipi ambayo itakuwa ni bora kuliko nyingine? Nakaribisha maoni yenu wadau.
 7. Llio 002

  Gharama za kujenga hili jengo ni kiasi gani? Msaada kwa mafundi wa ujenzi

  Nahitaji kufahamu gharama inaweza kucost kiasi gani? Nataka nilifanye kama ofisi yangu
 8. Llio 002

  Uliza lolote unalohitaji kufahamu kuhusu masuala ya uchimbaji wa Visima

  Nitakuwa hapa kujibu baadhi ya maswali yatakayoulizwa kuhusu uchimbaji wa visima. Pia ni fursa kwa yeyote atakayekuwa anajuwa pia anaruhusuiwa kujibu sio lazima hadi nijibu mimi tu. Kama una swali uliza hapo chini kwa kutumia lugha nzuri na itakayokuwa rahisi kueleweka Karibuni sana...
 9. Llio 002

  Hii aibu sitokuja kuisahau

  Habari za mchana wana JF, Kuna siku tulikuwa darasani tunapiga kelele kinoma tena mm ndio nikiwa kiongozi wa hayo makelele tena nikiwa nimekaa dawati la mbele kabisa. Wakati huo nipo kidato cha nne ndipo mwalimu wa hesabu akingia baada ya kusikia ya makelele na kunikuta nikijiachia akaamuwa...
 10. Llio 002

  Tv Star X smart Tv inanitia ushamba naombeni msaada

  Habari wana jukwaa juzi nimenunua Tv aina ya Star X inch 50 smart Tv 4k UHD. Wakati nainunua hii Tv waliniwekea baadhi ya video kutoka Youtube na zikawa zinaonesha clear sana hadi nilipenda kwa kweli na jamaa alini setia pale resolution nadhani akaniwekea 1080i@50Hz... Nilivyokuja nyumbani...
 11. Llio 002

  Kesi inayoongoza kwa kusikilizwa na kuisha kwa muda mfupi

  Kuna kesi moja ilikwenda Mahakama ya Mwanzo huko Tanga. Kijana wa miaka 20 alikuwa anataka kupewa mgao wake wa mali za marehemu baba yake. Ni kweli alikuwa na mgao wake, ila mjane wa marehemu alikuwa anamuona bado mdogo kuweza kumiliki mali. Marehemu alikuwa ameacha magari na nyumba kadhaa...
 12. Llio 002

  Maswali 10 ya kujiuliza kuhusu Uhusiano wako

  Katika maisha ya kila siku hakuna kitu muhimu kwa binadamu kama mahusiano yawe ya kimapenzi au rafiki au ndugu. Sasa ili kujenga mahusiano mazuri na watu wako wa karibu kuna baadhi ya maswali ya kujiuliza kuhusu mahusiao yako hasa mahusiano dhidi ya watu ambao unahisi kwako ni wa "muhimu" zaidi...
 13. Llio 002

  Dada shtuka umri unakutupa mkono, usije ukaja kujuta hapo baadaye

  DADA SHTUKA UMRI UNAKUTUPA MKONO Tupo kwenye mwendokasi tunatoka magomeni kuelekea k/koo gerezani. Pembeni yangu kuna dada anajitahidi kuongea kwa sauti ya chini na utulivu, ilhali kwa muonekano wake hayupo katika utulivu: "Calvin am too old to be dumped, kwanini unanifanyia hivi?" Kimoyo...
 14. Llio 002

  Uzi Maalumu kwa ajili ya kuuza vyombo vipya sio used vya ndani kwa bei nafuu

  Habari wana Jf, nimefungua huu uzi wangu ni maalumu kwa ajili ya kufanyia mauzo ya vyombo vya ndani Vipya,ni vyombo tofauti tofauti kuanzia hotpot,Oven,blenders,sahani,mabakuli,glass na vyombo vingine. Duka lipo Mbezi beach kituo cha shule karibu na bar ya Paradise. Pia tunaweza kumpelekea...
 15. Llio 002

  Huu ndio umuhimu wa Lugha katika maendeleo

  Nchi nyingi zilizoendelea Elimu zao hutowa kwa kutumia Lugha mama ya kwao, Mfano Urusi Vyuo vingi wanatumia kufundishia kwa Kirusi. Hii ina maana ya kuwa Lugha ni nyenzo muhimu kwenye kukuza maendeleo. Tutumieni Lugha yetu vizuri.
 16. Llio 002

  Tunakodisha Magari kwa ghalama nafuu kabisa

  Habari wana Jf sisi ni kampuni ya ukodishaji wa magari aina tofauti, na huwa tunawakodishia makampuni kwa muda kuanzia miezi sita hadi mwaka na sio chini ya hapo. Bei ya ukodishaji wa gari moja ni Tshs 200,000 kwa siku moja na muda wa kukodi gari ni kuanzia miezi sita hadi mwaka Tupo Dodoma...
 17. Llio 002

  Nataka nifungue biashara ya Mapochi ya kike ya mtumba naomba kujua zinapopatikana

  Habari wana Jf, nina mpenz wangu ambaye hana shughuli yoyote ya kumpatia kipato na kawa tegemezi sana sasa nina taka kumfungulia biashara ya kuuza pochi za kike za mtumba, tatizo sina connection sijuwi wapi nitapata hizo pochi na bei zake huwa wanauzaje mitumbani kwa mwenye uelewa na ufahami juu...
 18. Llio 002

  Mshumaa: Ngoma mpya ya Ali Kiba ni fire

  Guys, yule mfalme wa Bongo Fleva anayejulikana kama The king Him self Ally Salehe Kiba ametowa goma lake jipya linalokwenda kwa jina la Mshumaa sio siri ngoma ni ya moto sana haichoshi kusikiliza sijajuwa mpaka sasa Audio ame copy kwa nani na video ame copy kwa nani he is the ni goma kali sana...
 19. Llio 002

  Makosa ambayo wengi tunafanya bila kujua :

  Habari wana jf, haya ni baadhi ya makosa tunayoyafanya sisi bila ya kujuwa 1-Kula Ugali usiku kitaalam usiku umegenyo wa chakula huwa ni 0.7 pekee hivyo Kama utatumia ugali usiku upo uwezekano mkubwa kuwa na shida ya kupata choo na Kama utakuwa hutoi nje choo kinacho athiliwa ni pancreas ambayo...
 20. Llio 002

  Unajuwa kimeo?

  Kimeo ni kiungo kipo sehemu ya mwisho kabisa ya kinywa na karibu kabisa na sehemu ya juu ya koo. Na kazi ya kimeo ni kutoa mate mepesi hasa wakati wa kumeza kitu na pia kazi nyingine ya kimeo ni kuziba kwenye njia ya hewa wakati ukiwa unameza kitu either chakula au kitu kingine chochote ili...
Top Bottom