Search results

 1. JOHNGERVAS

  Story of Change Suluhisho kupunguza utapeli unaofanywa na madalali

  Salaam Wakuu. Kwanza kabisa kila mmoja anafahamu Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku. NAMNA WANAVYOFANYA KAZI Mara nyingi kazi za madali hawa hazina formula maalum...
 2. JOHNGERVAS

  Elisaria Pallangyo ni nani? Je, anafaa kuwa DC wa Arumeru?

  Habari Wakuu, Watu wa Arusha inaonekana bado wanamhitaji sana Jerry Muro. Nimepitia Kwenye blog moja hivi kuna habari nimesoma watu wa Arusha wanaomba Jerry Muro arudi Arusha awe Mkuu wa Mkoa. Lakin I piia nimeona Nina LA MTU mmoja anayefahamika kwa jina LA Elisaria Pallngyo ambaye watu Wa...
 3. JOHNGERVAS

  Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

  Habari wakuu, Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas. Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye...
 4. JOHNGERVAS

  Tasnia ya habari imejaa wafanyakazi wasio na weledi

  Hello Wakuu, Leo katika pita pita zangu Nimepita katika Page ya Kituo kimoja cha Radio huko mtwara. Nimekutana na hii Habari iliyoandikwa na kupostiwa kwenye page yao kama nilivyo ambatabisha picha hapo chini. Kwa kweli Uandishi wa aina hii ni Aibu kwa tasnia ya Habari.
 5. JOHNGERVAS

  Biashara ya Magazeti

  Wakuu habari za Leo. Nahitaji kununua magazeti Returns yaan Yale mabaki. Ninahitaji kuanzia kg 500 na kuendelea had tani 5. Kwa mwenye nayo please tufanye biashara. Namba yangu 0718378427
 6. JOHNGERVAS

  WIMBO MAALUMU WA IJUMAA KUU

 7. JOHNGERVAS

  Bunge la Ndugai limeuza madaraka yake mamlaka yake Ikulu

  Hivi karibuni niliandika makala nikijadili utendaji wa Spika wa Bunge, Job Ndugai. Nilisema katika makala hayo na naendelea kusisitiza kuwa Spika huyu ama ameshindwa kuyatambua mamlaka ya Bunge analoliongoza au anaogopa kuyatumia na kuishia kuiachia Serikali anayotakiwa kuisimamia. Madaraka ya...
 8. JOHNGERVAS

  Prince Galaxie, msanii chipukizi anayeiwakilisha vyema Kilimanjaro

  John Kimario maarufu kama Prince Galaxie ni msanii chipukizi kutoka kata ya Kirongo Samanga Usseri wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ameanza game tangu 2014 lakini sasa amekuja na ngoma yake mpya inayoitwa 'ananibambaga' ambayo inafanya vizuri katika vituo mbalimbali vya Radio hususani kule...
 9. JOHNGERVAS

  Rombo: Diwani CHADEMA mahakamani kwa wizi

  ROMBO: Diwani wa kata ya Mengwe Romana lyakurwa(chadema),mwenyekiti wa kijiji cha mengqwe chini Regina lyakurwa(CHADEMA) pamoja na makzi mmoja wa kiji hicho aliyefahamika kwa jina la August Mrema wamepandishwa kizimabani katika Mahakam ya wilaya ya Rombo kwa wakikabiliwa na kosa la wizi Akisoma...
 10. JOHNGERVAS

  Siku ya kuweza kushika mimba

  mm ni miongoni mwa watu wanaosaka mtoto kwa muda wa zaid ya miezi sita,leo nakuja kwenu nauliza mke wangu mzunguko wake ni wa siku 30 na mwez huu wa nne smeblid tarehe 26 je siku yake anayoweza kushika mimba ni siku gan/tarehe gan/au baada ya siku ngapi? karibuni kwa majibu
 11. JOHNGERVAS

  Kesi ya uchaguzi Rombo, vigogo Halmashauri mtegoni

  Wakati kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Rombo ikiendelea; Habari za uhakika ni kwamba, watumishi watatu wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo wanashikiliwa na polisi tangu jana tarehe 12/4/2016 kwa tuhuma za kuiba jalada la uchaguzi. Wizi huo ulifanyika jana jioni kwa dhamira ya kutaka...
 12. JOHNGERVAS

  Tahadhari ugonjwa wa Kimeta kwa wakazi wa Rombo

  Kila mmoja achukue tahadhari ya ugonjwa wa kimeta ambao umezuka hivi karibuni hapa Rombo
Top Bottom