Search results

 1. Kagosi DJ

  Chungu na tamu za bajeti yetu 2021/22

  Dr wa uchumi hatakiwi kutiliwa mashaka hata kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]
 2. Kagosi DJ

  Story of Change Magonjwa ya akili yanatibika, vunja ukimya

  Mgonjwa wa akili ninngumu kujitambua inatakiwa Elimu yakutosha itolewe vinginevyo waathiliwa Ni wengi Sana.
 3. Kagosi DJ

  Chungu na tamu za bajeti yetu 2021/22

  Habari wana JF, Ni matumaini yangu tu, wazima wa afya tele, ashukuliwe MUNGU kwa kutupa hii nafasi. Naomba leo tuongee kuhusu BAJETI yetu ya mwaka 2021/22. Ambayo ndio kwanza haijamaliza siku 30 tangu utekelezaji wake uanze. Makadirio ya mapato na mipango ya matumizi ya mapato yatakayo...
 4. Kagosi DJ

  Watanzania wote tunaelewa kilicho mpata Lissu na tunamuombea

  Hakuna asiyefahamu kile kilicho mpata mgombea urais kupitia CHADEMA na wote tumeguswa Wakati huu tayali umeaminiwa wewe kuwa mgombea urais hivyo upo kwenye nafas nzuri ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Sasa tunatamani saana kusikia utatufanyia nini? Utatumia njia gani kuyafanya hayo na ni yapi...
 5. Kagosi DJ

  Jambo la muhimu kwa watanzania wote ni kuendelea kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na Serikali pamoja na wataalam wa afya kuhusu Corona

  HUU SIO USHAURI NI UCHONGANISHI Kwa wakati huu taifa linahangaiaka kupambana na janga la corona lililo ikumba dunia. Watanzania waliowengi wanaelewa mambo ya msingi kuhusu ugonjwa huu hatari na hili haswa ndio jambo la msingi kwa wakati huu. Lakini tusijisahaulishe hali yetu halisi kwamba...
Top Bottom