Search results

 1. MK254

  Mauzo ya magari yanayotengenezwa Kenya yavunja rekodi

  Hehehe!! Usiteseke bro, natumai pia umepitia hayo mahesabu hapo au mwoga pia wa kusoma namba, tuko vizuri sana kwa kweli, hii nchi inanifurahisha sana.
 2. MK254

  Mauzo ya magari yanayotengenezwa Kenya yavunja rekodi

  Yaani hadi raha....hii nchi tunapaa The share of new vehicles assembled locally rose to a record 70.9 percent in the eight months ended August, signalling increased demand for models put together at plants such as Isuzu East Africa and Kenya Vehicle Manufacturers (KVM). Data from the Kenya...
 3. MK254

  Programming language to learn for Web Applications

  Sijaelewa unamaanisha nini hapa, mimi nimemshukuru huyo mdau hapo kwa kumrahishia mwenzie hii safari kwa kueleza vizuri sana, nafahamu ni safari ngumu na inahitaji kujitolea, mimi hapa nina uzoefu wa software development karibu miaka kumi sasa na kila siku haipiti bila kujifunza.
 4. MK254

  Mapato ya SGR yazidi kupaa, yaongezeka zaidi kwa asilimia %

  Wapi uliambiwa China hatalipwa, huo ulikua mkopo ambao tumekua tukilipa na tutaulipa na mpaka sasa SGR yetu inafanya vizuri na inazidi kunoga, miaka yote hii sio mara ya kwanza kwenu nyie kukurupuka baada ya kusoma magazeti ya umbea kwamba China anataka kuchukua bandari ya Mombasa, huo umbea...
 5. MK254

  Mapato ya SGR yazidi kupaa, yaongezeka zaidi kwa asilimia %

  Jamaa inawauma sana SGR yetu imepiga hela muda wote huu wakati wao hata kasafu ka Dar-Moro waliahidiwa kuwa tayari miaka kadhaa sasa bado ni hadithi za alfu ulela.
 6. MK254

  Programming language to learn for Web Applications

  Huu ni upendo wa dhati, hongera sana bro kwa kuchukua muda wako na kumuandalia jamaa njia ya kufuata, natumai atafaidika.
 7. MK254

  Mapato ya SGR yazidi kupaa, yaongezeka zaidi kwa asilimia %

  Ngoma inazidi kunoga.... Revenue generated from the standard gauge railway (SGR) rose 25 percent in the seven months to July, driven by increased imports. Latest data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows that revenues rose to Sh9.08 billion from Sh7.2 billion in similar...
 8. MK254

  Natafuta Marketing Officer

  Poa, you will get several dedicated and result oriented.
 9. MK254

  Afghanistan: Wavulana na Walimu wa kiume ndio waruhusiwa kurudi Shule za Sekondari

  Mnawakosesha shule kwa kulazimisha pumba za dini kwa watu, vaa makanzu yako na mindevu lakini usilazimishe watu.
 10. MK254

  Afghanistan: Wavulana na Walimu wa kiume ndio waruhusiwa kurudi Shule za Sekondari

  Hayanihusu maana ni mambo ya wanaume kunyanduana kwa maamuzi yao, lakini huo ujinga wenu wa kulazimisha watu waabudu pumba zenu ndio sipendi. Wewe vaa kanzu yako na kulea mindevu na kupayuka kwenye ibada zenu, ila usitulazimishie upumbavu wako.
 11. MK254

  Asanteni Wazanzibari kwa kuleta biashara Lamu port

  Nawahakikishieni uwepo wa mama kwenye usukani mambo yataenda vizuri sana maana ana asili ya Zanzibar, kule nawafahamu sana huwa hawana majungu yasiyokua na sababu. Alipochukua hatamu alikuja Kenya moja kwa moja kuweka sawa...... Kuna watu hujagombana nao lakini unashangaa wamebeba chuki na...
 12. MK254

  Afghanistan: Wavulana na Walimu wa kiume ndio waruhusiwa kurudi Shule za Sekondari

  Hamna sehemu nimeshabikia au kulaani wanaume kunyanduana maana hayo ni mahusiano yao hayanihusu, hivyo nishabikie au nilaani havinihusu, wakijifungia chumbani wafanye yao hiyo ni shida yao. Kero yangu ni ujinga wa kulazimisha watu kwenye mambo ya dini za kijinga kwa upanga au mabomu. Kila mtu...
 13. MK254

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Hayo macho na sura tunafanana sana, nilimtuma dukani akapotea njia, mniache na mwanangu turudi home.
 14. MK254

  Afghanistan: Wavulana na Walimu wa kiume ndio waruhusiwa kurudi Shule za Sekondari

  Huwa sina ujinga wa kushabikia dini yoyote, ni upumbavu sana mtu na akili zako unashabikia ujinga wa watu kujlipua kisa imani za kidini, sijui ni mafundisho gani hayo huwa yanawachanganya mnakua na akili za kizombi.
 15. MK254

  Wakulima wa chai huko India wanalia kwamba chai kutoka Kenya ina bei ndogo kwa hivyo inawafanya kukosa biashara

  Hehehe!!! Sikutegemea itafika siku tugeuze meza kwa style hii, na watakoma.
 16. MK254

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Kha.. siwezi nikafurahia maana hapo kutakua kuna mtego wa kiaina, haiwezekani na hainingii akilini.....
 17. MK254

  Afghanistan: Wavulana na Walimu wa kiume ndio waruhusiwa kurudi Shule za Sekondari

  Ni ukichaa kufuata mafundisho ya hiyo dini, mkiachiwa matasababisha dunia yote tuwe mazombi, huwa hamueleweki mnachokitaka, mara mjilipue mabomu kwenye kandamnasi, mara mchinje wasio wa dini yenu kwa kuwakata vichwa, mara muwazuie wanawake wastoke bila ndugu wa kiume. Halafu unakuta mtu mweusi...
 18. MK254

  Kenyan exports to EAC countries rise by $160m

  Sisi hatuji kutawala tunakuja kujichukulia kama wafanyavyo Wahindi, Wasouth na Wachina huko, vitalu..... Mlipiga makelele ooohhh makinikia ooh sijui vitu gani, leo bado mahesabu ni yale yale mnaliwa tu, ukuta sijui Merelani...nyie ni wale wale poleni.
 19. MK254

  Kenyan exports to EAC countries rise by $160m

  Na nyie ni koloni letu sio? Kwenu hapo kila mtu anajichukulia....Wasouth, Wahindi, Wachina, Waarabu n.k. Mna madini ya kumwaga lakini mpo maskni wa kutupwa, shamba la bibi mumeachia linachumwa na wote.
 20. MK254

  Kenyan exports to EAC countries rise by $160m

  Kenya’s exports to the East African Community increased from Ksh140.4 billion ($1.28 billion) in 2019 to Ksh158.3 billion ($1.44 billion) in 2020. This accounted for 64.3 percent of the country’s total exports to Africa, data from the Kenya National Bureau of Statistics’ Economic Survey 2021...
Top Bottom