Search results

 1. Imphuvyi

  Natafuta kazi ya upishi kwenye Hotel au Mgahawa

  Hiyo sasa ni binafsi yake, pia anadai kilichomkatisha tamaa zaidi, huho bwana alimuunganisha na hiyo kazi ni dalali, hivyo akawa anamsumbua pia anataka malipo yake ya mwezi 400k, na ukizingatia kazi aliyoitiwa ikawa tofauti na makubalino, akaona mambo ni yamekuwa mengi. Nadhani hiyo pia...
 2. Imphuvyi

  Natafuta kazi ya upishi kwenye Hotel au Mgahawa

  Alisema makubaliano awali ilikuwa 400k, alikini alipofika akamwambia atakuwa anamlipa kwa kila siku 13000=390k, kwa maelezo yake anasema hilo kwake halikuwa tatizo, tatizo limekuja kwenye makubaliano ya mahala pa kulala, muda masaa ya kazi na hizo hudumu nyingine za matibabu. Pia anasema ya...
 3. Imphuvyi

  Natafuta kazi ya upishi kwenye Hotel au Mgahawa

  Mawasiliano uliyonipatia nilimpa, akasema amepatana na bwana mmoja yupo mwanza, juzi akaenda Kabla hajaenda aliniambia kuwa wamepatana ya kwamba atamlipa kiasi walichokubaliana, atampati mahala pa kulala, na ghalama za matibu yatukuwa kwa mwajiri, Lakini jana tu nimepata malamiko kuwa, huyo...
 4. Imphuvyi

  Natafuta Manager wa kuendesha bar

  Kuendesha bar ya mhaya!
 5. Imphuvyi

  Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza lawafuturisha waislamu!

  Napendekeza kwa modarators huu uzi ufungwe.
 6. Imphuvyi

  Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza lawafuturisha waislamu!

  Sema wakristo mungu kawatunuku hekima sana, mara nyingi kwenye mijadala kama unakuta waislamu wanaonesha chuki ya waziwazi, hata huko mitaani waislamu wale washika dini haswa, unakuta wanaonesha chuki ya wazi wazi, na mara nyingi hua hawachangamani na wakristo, na hilo nimeloshuhudia sana hata...
 7. Imphuvyi

  Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza lawafuturisha waislamu!

  Hicho ulichoandika ni kirumi ama?
 8. Imphuvyi

  Natafuta kazi ya upishi kwenye Hotel au Mgahawa

  Wakati nawakilisha ombi hapa, alikuwa dodoma Lakini kwa sasa yupo dar na ndipo anapoishi? Ndio maana uzi nimeuhariri!!
 9. Imphuvyi

  Naomba hifadhi Dodoma

  Hatufokeani dada yangu ktk kristo, naribu kukuelewesha, ni huyali yako kuelewa or not! Kiuhalisia wewe bado unaonesha misingi ya ki Adventist haujaijua vyema. Tafadhali endelea kujigunza.
 10. Imphuvyi

  Naomba hifadhi Dodoma

  Hapo nimeelewa. Maana yake wewe bado haujawa msabato hai. Hivyo usilaumu. Ubarikiwe.
 11. Imphuvyi

  Naomba hifadhi Dodoma

  Ukweli ni kwamba, hakuna msabato ambae ana ushirika hai kanisani anaepata shida popote aendako duniani kote! Ili mradi uwe umesafiri kimkakati. Barua yako ikuelezee wewe ni nani, na huko unakoenda unaenda kufanya nini, kwa muda gani! Hata uende marekani watakusaidia utakula, utakunywa, utalala...
 12. Imphuvyi

  Naomba hifadhi Dodoma

  Umeona sasa hata usivyojielewa, unasali vili sehemu ambapo ushirika wako haupo!? Na umepokelewa vipi bila barua ya uhamisho!? msidanganye watu. Kanisa la kisabato sio kikundi! Bali ni taasisi!
 13. Imphuvyi

  Naomba hifadhi Dodoma

  Ndio iko hivyo kuepuka matapeli na wezi kama hao wanaojiita wasabato kulitukanisha kanisa huku hata mlango wa kanisa hawaujui. Pia kwa muumini hai wa kanisa lolote hizo sio nyalaka ngumu. Maana kama cheti cha ubatizo unakuwa nacho mwenyewe tangu kubatizwa kwako. Hiyo barua unaenda kuchukua tu...
 14. Imphuvyi

  Naomba hifadhi Dodoma

  Ushahidi unaoutoa kumbuka Mungu anakuona! Umesema unapoishi mmeanzisha kanisa! Kanisa la kisabato halianzishi na mtu binafsi[emoji23][emoji23][emoji23], na mchungaji wa kisabato hajipangii safari ya kikanisa[emoji28][emoji28]. Makongamano yote ya ki Adventist yanakuwa undercontrol misheni...
 15. Imphuvyi

  Naomba hifadhi Dodoma

  Hakuna msabato hapo!
 16. Imphuvyi

  Naomba hifadhi Dodoma

  Huyo hapo nadhani atakuwa msabato jina Kama anaijua kanuni ya wasabato wala asingejianika humu Wasabato tuna utaratibu wa kusaidiana kiroho na kimwili kwa mgeni kutoka kona yoyote ya dunia Cha msingi, awe na barua ya utambulisho kutoka kanisa lake mahalia, awe na cheti chake cha ubatizo...
Top Bottom