Search results

 1. W

  Ulinzi wa Rais Samia

  Nani kakuambia Raisi anahitaji clearance kupiga picha na Raisi mwingine?
 2. W

  Yanga iachane na Propaganda

  Kusema kweli inatia aibu klabu kubwa kama Yanga kuwekeza muda na rasilimali kubwa kwenye propaganda za mitandaoni. Yanga inawatumia wale wanaojulikana kama wachambuzi kusambaza hizo propaganda. Badala ya kutumia fedha nyingi kwa hawa wachambuzi kuwasifia GSM wajikite kwenye kuweka mambo sawa...
 3. W

  Ulinzi wa Rais Samia

  Mange Kimambi ni mtanzania anayeishi Marekani. Alijizolewa umaarafu kwa kupinga wazi wazi sera za Hayati JPM. Alishangalia kifo cha JPM na kuweka mitandaoni. Bila kujadili kama alikua sahihi kumpinga JPM kulikua na ulazima kwa wanausalama kumruhusu kupiga picha na Raisi Samia. Kulikua na...
 4. W

  Mjadala wa kujaza uwanja ufungwe rasmi

  Wewe Topolo Sikia Simba ni taasisi na hakuna kibaya kutumia event management company kufanya mambo yetu kiueledi zaidi. Tuliza mshono Topolo
 5. W

  Mjadala wa kujaza uwanja ufungwe rasmi

  Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja. Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki. Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena. Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza...
 6. W

  Peter Drury huyu jamaa anajua kutangaza

  Hii introduction ilinisisimua sana
 7. W

  Peter Drury huyu jamaa anajua kutangaza

  Daaah nakumbuka mashairi haya Barca akifa mbele ya Roma
 8. W

  Ubashiri: Rivers United vs Yanga

  Acha kufananisha Simba na vitu vya hovyo hovyo
 9. W

  Ubashiri: Rivers United vs Yanga

  Rivers United Vs Yanga Mchezo utapigwa kesho mida ya saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki. Hii ni mechi marudiano baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa hapa Dar es Salaam. Utopolo walilala kwa goli moja bila majibu uwanjani Nyumbani. Tupia ubashiri wako hapa chini. Wangu Ni...
 10. W

  Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

  Utopolo Bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
 11. W

  Yanga kutangaza utalii kwenye jezi yao kimataifa

  Sasa itakuaje wakitolewa [emoji23]
 12. W

  Amsha Amsha Simba Day mwaka huu si Mchezo

  Leo nilikua natembea mitaa mbali mbali ya jiji la Dar. Kusema ukweli mwaka huu amsha amsha huku mtaani si mchezo. Hongera kwa uongozi wa Simba kwa kujipanga safari hii maana Simba Day ni tamasha kubwa nchini. Kila Kona ni Simba Day. Natamani ifike hiyo tarehe 19 tukuburudike wana msimbazi...
 13. W

  Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

  Duuuh sasa hao wahabeshi si wanaenda Sauzi? Inakuuma nini mkuu
 14. W

  Predictions: Yanga Vs Rivers United

  Kwa timu gani umfunge mtu 6?
 15. W

  Predictions: Yanga Vs Rivers United

  Umetisha Mkuu
 16. W

  Predictions: Yanga Vs Rivers United

  Haya sasa ile siku imefika tupia utabiri wako hapa. Utabiri Wangu Huu Hapa Yanga 0 Rivers United 2 Tiririka Mdau
 17. W

  Mashabiki wa Yanga nani kawaroga?

  Simba imezindua jezi kuelekea msimu mpya. Tuseme basi jezi za Yanga ni bora zaidi ya Simba. Halafu? Kwa miaka kadhaa Yanga wamekua wakijanasibu kuwa na jezi bora. Sasa tujiulize maswali, mbona matokeo ya uwanjani ni tofauti? Achana na hiyo, Simba anavuta Tzs 1 Bilioni kwa Mwaka kutoka kwa...
 18. W

  Maajabu ya Yanga SC

  Mechi inayokuja wacheze na ile kombaini ya wachambuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 19. W

  Maajabu ya Yanga SC

  Unaweka kambi Morocco bila mipango, unarudi nyumbani unacheza na Freinds Rangers kujifua na mechi ya ligi ya mabingwa. Hivi Nani kawaroga Utopolo? Anayewauzia hizi bangi viongozi wa Yanga, Mungu anawaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Top Bottom