Search results

 1. M

  Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

  B wassa ...............Lwassa kazi kweli kweli vita kubwa
 2. M

  Gazeti la Uhuru Vipi Tena?

  Siyo kwamba ukweli ufichwe kwani nani hajui kuwa watu wengi wamedhurika, na si lazima utangazie watu wote hata wapita njia , zingewekwa basi hata ndani siyo front page!!!!!!!!
 3. M

  Gazeti la Uhuru Vipi Tena?

  watu wa mbagala wamechoshwa na mabomu, kuwaweka kwenye picha ndugu zao inawaongezea machungu,
 4. M

  Gazeti la Uhuru Vipi Tena?

  Gazeti hili limetoa picha za majeruhi wa mabomu Mbagala ukurasa wa mbele wakiwa wamelazwa chini wawili wawili kwenye godoro moja. Binafsi sijafurahishwa na picha hizo likiwa ni gazeti la chama tawala lisingeonyesha picha hizo. Wengine mnasemaje?
 5. M

  utwana hutaishi tanzania

  Pamoja na nchi hii kupata uhuru wake miaka zaidi ya 40 sasa bado kuna watu wanatumikisha na mabwana makubwa na kunyanyashwe na pia kudharauliwa. wakati wa ukoloni mababu zetu walitumikisha na kuitwa makabwela. watu wasio na kitu. lakini hadi sasa watu ni maskini wa kutupwa. cha kushangaza...
 6. M

  Nini Nimejifunza kutoka Ze Utamu na RM/RA Saga

  MIMI najiuliza mbona Shigongo na magazeti yake ambayo hayana tofauti kwanini hafungiwi?. Lazima kuna kitu
 7. M

  Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

  Wakuu tuleteeni picha ya lile kasri la BM kule LUSHOTO
 8. M

  Mengi VS Rostam: Where is the Government?

  Ndugu tabia ya kukopi kwenye magazeti inakera? ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 9. M

  Jengo la washirika lumumba kulikoni?

  mkuu unashangaa nini hii ndio nchi ya mafisadi , akina ra wameona hakuna dili hapo.jengo la walala hoi , wao wanaingia ubia kama jengo la vijana ambako wanaona ulaji wa nje nje. Pia nenda mikoani majengo choka mbaya , we bora ujirudie huku huku majuu tu usije ukashagaa mwisho ukawa...
 10. M

  TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

  Tbc1 inastahili kulaumiwa kwa nguvu zote,kwa kuwa ni chombo cha serikali na kinatumia kodi za wananchi. RA anatuhuma za UFISADI asingepatwa kutumia chombo hicho kumsafisha .Picha hapa ni kwamba serikali inatetea mafisadi , RA ni Mbunge asinge weza kulumbana kwenye vyombo vya habari badala yake...
 11. M

  Mh Masilingi vs Prince Bagenda

  Hapo umenena , Tiba naye akijaribu ataanguka kama ilivyo kuwa jimbo la Mbeya Vijijini na akiendelea kuwa pamoja na huyu kuwadi atakuwa amejimaliza mwenyewe.
 12. M

  Mh Masilingi vs Prince Bagenda

  Wakuu hivi kwa nini wanasiasa wa Tanzania wanapenda sana kupakana matope? Badala ya kuweka kipaumbele cha kuleta maendeleo kwa wananchi wake wao kazi kusemana tu. Ndio maana hutuendelei, sasa hivi wanafikiria uchaguzi wa 2010 hakuna cha ahadi walizotoa 2005. Kusema kweli huyu mtu anitwa...
 13. M

  Je kamati za Bunge kupewa posho na MASHIRIKA ni kosa?

  Kamati ya bunge kulipwa posho na shirika au wizara au Idara ya serilkali ni makosa kwa kuwa shughuli zote za kamati za bunge huratibiwana ofisi ya bunge kwa maana kwamba wanapokwenda kutembelea ofisi zingine tayari huwa wamakwisha lipwa posho zote na ofisi yao .Hivyo kulipwa kwenye vikoa hivyo...
 14. M

  Na hii ya viongozi wa UWT je?

  Usisahau na Katibu Mkuu wa UWT ni HUSNA MWILIMA. , Mwenyekiti wa vijana JE , NA wa wazazi je . na NGAZI YA JUU ya CCM JE, WENGI HAWA NI DINI MMOJA NA SIKU SWALA LA OIC NA KADHI MKUU LITAKAPO PELETWA VIKOA VYA CCM MATOKEO YAKE TUTAYAONA. WA KWANZA KUUNGA MKONO ZITAKUWA HIZO TAASISI ZAKE .YETU MACHO
 15. M

  Na hii ya viongozi wa UWT je?

  mwenyekti wa uwt Sofia Simba ametangaza safu ya viongozi (wajumbe) wanzake 5 watakao fanyakazi nao ni:- Hawa ghasia shamsha mwangunga zakia megheji zainabu shomari thureya abdala kamati ya utekelezaji pamoja nahao hapo juu ni lucy mayenga fatuma toufiq...
 16. M

  Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

  Jamani mchungaji ni binadamu kama walivyo wengine , udhaifu upo kwa kila mtu , kinachotakiwa ni kuyashinda majaribu ya ibilisi shetani. Huyu mchungaji kadanganywa na shetani na kujitumbukiza kwenye maovu. Kwa kuwa siku ya mwisho watu wote waliohai na wafu watakuwa kizimbani nawote watahumumiwa...
 17. M

  Museveni amteua Mke wake kuwa Waziri!

  Huyu mama hata fanya majukumu yake ipasavyo kwani kila wakati ataambatana na mzee ,labda sasa m7 ana second lady. Maana loo kazi ipo
 18. M

  Mapozi mengine bana!!!

  Kwa kweli watu wamejaa sijui nisema kasumba hivi kuona sehemu fulani haifai na sehemu ingine ndio inafaa. Tazama sasa ,kila kitu mbagala mbagala , - kujazana kwenye madaladala mbagala - kurukia kwenye madirisha mbagala -kunuka vikwapa mbagala -foleni ndefu mbagala -wanaoondaka mapema...
 19. M

  uchambuzi wa magazeti

  Nakubaliana nawe, kwa hiyo hii iwe changamoto kwao wasipoteze muda mwingi kusoma habari za watu walioziandika. utakuta mtu ananza kusoma ukurasa kwanza hadi wa mwisho .kuwa creative ni muhimu, watu hawatanunua magazeti wakisubiri kifike kipindi cha magezeti.
 20. M

  uchambuzi wa magazeti

  Nina omba kueleweshwa hivi ni sawa redio kutumia takribani saa nzima inachambua magazeti mawili tu tena ya jioni ? Hapo biashara ipo kweli kama hata barua za wasomaji inasomwa.Kuna sheria yeyote inayohusiana na hili. Mwenye uelewa atueleweshe.
Top Bottom