Search results

 1. M

  Damu ya Lissu yawakomboa wanasingida dhidi ya shida ya maji

  baada ya damu ya lissu kumwaga na wasiojulikana sasa ni wazi damu yake haikumwagika bure. Kama Vile Damu ya Yesu ilivyomwagwa msalabani ma kuwa sababu ya wokovu wetu, wana singida wamejikuta matatizo yao ya muda mrefu sasa yakitafutiwa ufumbuzi. Mawaziri wawili wako singida wakisimamia miradi...
 2. M

  Baa la Njaa na Ukame: Kanisa Katoliki lawataka waumini kufunga na kuomba mvua

  Kupitia barua ya kichungaji iliyosainiwa na Askofu Ngalelemkutwa ambaye ndiye Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania amewataka waumini kufunga na kuomba mvua. Ameidhinisha kuwa sehemu nyingi za nchi ni kame na zina uhaba wa chakula.
 3. M

  UKAWA kushinda Umeya Dar ni muujiza uliomshinda S. Sitta

  Samweli Sitta yule spika wa bunge maalumu la katiba la mwaka jana ni mtenda muujiza asiyekubali kushindwa. Hata baada ya Jakaya kikwete kutangaza hadharani theluthi mbili kupitishsa rasimu ya chenge, na hata Mwigulu kumtaka sita kuahirisha bunge lile kwa kutokuwa na uhakika na akidi ya theluthi...
 4. M

  Komu kutumia mkopo wa gari kuchimba visima Moshi vijijini

  Mbunge wa Moshi Vijijini ambaye Tangu achaguliwe amekuwa hapa jimboni kuhakikkisha kuwa kila shule jimboni kwake inaachana na aibu ya kukosa choo kwa matumizi ya wanafunzi, sasa ataelekeza nguvu zake zote kuhakikisha kuwa anamaliza tatizo la maji jimboni kwake Baada ya kuzuru vyanzo vyote vya...
 5. M

  Kikwete aitaka ofisi yake kufanikisha mazungumzo kati ya Seif na Mkuu wa majeshi Davis Mwamuyange

  Ametamka leo kupitia taarifa ya ikulu sorce mwamanchi news
 6. M

  Kikwete amteua Dr. Mighanda Manyahi M/kiti Bodi ya TANESCO

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dk.Mighanda Manyahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Kwa taarifa iliyotolewa leo na kwa vyombo vya habari -na kusainiwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini...
 7. M

  Majengo ya CCM Moshi kuchukuliwa na CHADEMA

  Baada ya kushinda vijiji vingi katika jimbo la moshi vijijini changamoto mpya imezuka. Majengo mengi ambayo ofisi za vijiji zipo ni ofisi pia za CCM. Katika vijiji vya Okaseni na Kimanganuni ofisi za vijiji zilijengwa wakati wa chama kimoja, na kwa kuwa CCM ndo walikuwa viongozi wa serikali za...
 8. M

  Kashfa ya ESCROW: Pesa chafu kumkwamisha rais kuwajibisha watuhumiwa

  MPENDWA RAIS WANGU KIKWETE POLE NA KUUGUA Mwenyezi Mungu akusaidie na uugue pole. lakini pamoja na kuugua naomba Mungu akuongoze kuliona hili na kukuepusha na mtego huu mbaya. watuhumiwa mawaziri ambao bunge limeweka azimio uwawajibishe, hasa baada ya wao wenyewe kugoma kujiuzulu wanatumia...
 9. M

  Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

  Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi. Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo...
 10. M

  Waziri Mwinyi alimsadia Matiko Matare(daruso leader) kukwepa kwenda JKT

  WAKUU HUU NI UKWELI NA CHANZO NI MIMI MWENYEWE, UKIPENDA PIA WAULIZE JAMES MBATIA, MOSENA NYAMBABE NA WENGINE WALIOKUWA VIONGOZI DARUSO NA ARISO 1989-1992 Mwaka 1991 katika hali ya kushangaza tulipata habari kuwa Rais wa daruso wakati huo Matiko matare amekamatwa na serikali na kuwa alikuwa...
 11. M

  Rasimu ya katiba, tuwalinganishe watawala wetu na mfalme Nero!

  Wasomaji mnaosoma hapa mtakumbuka kuhusu simulizi katika kitabu kimojawapo katika biblia kiitwacho matendo ya mitume,hasa kinachomtaja mtawala mmoja wa roma wakati huo kaisari Nero watawala wa dola la Roma, dola kubwa kuliko lolote wakati huo, walikiwa na hofu (kama aliyo nayo lukuvi dhidi ya...
 12. M

  Sherehe za miaka 50 JMt, bila kumbkumbu hata ya kupanda mti!

  watanzania walipa kodi bila shaka sasa wanaugulia maumivu ya mabilioni yaliyotumika katika kilele cha sherehe za muungano, ni kweli sherehe zilifanya sana, acha vifaru, jwtz ilirudisha heshima yake kwa kuanika wazi silaha zetu za kivita, tumefaulu kuwapasha wale tunaowaita majirani wenye...
 13. M

  DAWASCO yafilisika rasmi, mtambo wa Ruvu juu wazimwa! 50% dar hawana maji!

  wakuu, labda wewe ni mkazi wa mlandizi, kibaha, kibamba, mbezi kimara, tabata na hujapata maji kwa wiki ya tatu sasa, na tena ugumu wa kukosa maji hujausikia vema kwa kuwa unapata maji ya mvua, lakini mvua zinaisha wiki hii na kiama kinafuata 1 hoja kuwa mafuriko ndo yanasababisha ukosefu wa...
 14. M

  Sitta awasilisha ombi la kuahirisha bunge April 28, kwa JK

  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amewasilisha maombi kwa Rais Jakaya Kikwete, kuomba Bunge hilo liahirishwe Aprili 28, mwaka huu. Kadhalika, Sitta ameomba nyongeza ya muda wa Bunge hilo baada ya siku 70 za kisheria kumalizika. Aliyasema hayo alipozungumza na waandishi wa...
 15. M

  Ule umoja wa falsafa ya Nyerere na Karume bungeni umeishia wapi baada ya hotuba ya Warioba?

  Ndugu wanajamvi, mnamo wiki mbilizilizopita kulikuwa na matangazo bungeni kuhusu kikundi kipya cha wabunge kinachotwa umoja wa wanafalsasfa ya Nyerere na karume, wenye lengo la kudumisha falsafa ya Muungano. kikundi hiki kiliundwa na Dr.Emanuel Nchimbi, livingstone Lusinde na wengine wenye...
 16. M

  Wajumbe bunge la katiba: Mpokeeni Amos Wako kwa tahadhari kubwa

  kama tulivyoelezwa hapa jamvini leo, wale nguli walioalikwa kuja kuwapiga msasa wajumbe wa wa bunge la katiba walikuwa ni pamoja na omar mapuri, msekwa na kutoka nje ya nchi ni amos wako. nimefurahishwa sana kwa jinsi sita alivyopokea mawazo ya wengi na kuwaondoa wanapropaganda akina mapuri na...
 17. M

  Omari Mapuri, Ngwilizi, na Kavishe ndo pekee waliobaki wanaoufahamu Muungano - S.Sitta!

  akizungumza juzi bungeni spika anayejiita kuwa ni spika wa viwango, aliwaambia wajumbe wa bunge kuwa ataawaalika watu watatu muhimu sana waliobaki wanaoufahamu muungano, baadaye imekuja kugundulika kuwa watu hawa si wengine bali ni makada wazoefu wa zamani wa ccm omari mapuri, kavishe na...
 18. M

  Ombi:;wabunge wakataeni akina mapuri kuwahutubia kuhusu muungano

  NImekosa usingizi kabisa usiku huu wa manane baada ya kupata sms news alert kuwa eti wale wageni aliowataja Mh.sita leo bungeni kuwa watakuja kuhutubia bunge kuelimisha kuhusu Muungano ni akina Ramadhani Mapuri, mawaziri wa zamani waliotumika hasa kipindi cha Mkapa na Mwiny,i kwa kuwa eti ni...
 19. M

  Sahihisho: CHADEMA walitumia Tshs 240m kwenye M4C- Pamoja Daima na siyo bilioni

  Yameandikwa mengi kuhusu operesheni pamoja daima, wako walioandika wamepewa pesa nje ya nchi, na wengine eti wametumia zaidi ya bilioni kumshughulikia zito ukweli ni huu 1. Zilitumika chopa tatu, mbili zzilikodiwa toka kenya ambazo zitaipwa taratibu, na moja ya mh. Ndesamburo, gharama za chopa...
 20. M

  Kwaheri Padre Christopher Okoth, kiboko ya nduli Idd Amin

  BURIANI PADRE CHRISTOPHER OKOTH RIP Kwa wanamawela mtamkumbuka FR. christopher okoth, paroko wa zamani wa mawela aliyechukua nafasi ya marehemu FR, kiwera tangu 1982 mpendwa padre wetu alifariki huko huruma hospital tangu alhamis iliyopita, na atazikwa katika makaburi ya mapadre...
Top Bottom