Search results

 1. D

  Mheshimiwa Sumaye - Nabii halisi anayeishi

  WanaJf. Napenda kumtangaza Mh.Sumaye( waziri Mkuu mstaafu) kuwa ni nabii anayeishi katika kile alichosema wakati wa kinyang'anyiro cha kugombea urais mwaka 2005 hasa hasa kwa haya yanayoendelea hapa nchini.
 2. D

  Sera za CCM ziliua agoa?

  Wana JF kila kinachoanzishwa na Serikali iliyona umiliki na CCM kimekuwa kama kina laana. HIvi AGOA ilikufakufaje huku wenzetu Kenya, Nigeria, Ghana,Angola, Zambia wanaendelea kupata manufaa makubwa??
 3. D

  Tumeshindwa kila mahala

  Ndg.WanaJF takribani miaka hamsini baada ya uhuru tumeshindwa hata kimojawapo kati ya haya: Kiuchumi, Kisiasa na kijamii(kiutamaduni). Kiuchumi: Mwalimu Nyerere (R.I.P) alijitahidi kukuza uchumi katika hali ya shida kubwa pale ambapo hakuwa na wataalamu wa kutosha. Alifungua viwanda sehemu...
 4. D

  Hoja 18 kesi ya lema tutegemee nini??

  WanaJF hapa chini ni baadhi tu ya hoja zilizowasilishwa kama rufaa kupinga kilichofanywa na jaji katika kumvua ubunge. Je, tutegemee nini hasa. " Monday, 07 May 2012 10:00 Lema awasilisha rufaa ya kurasa 985 Peter Saramba, Arusha ....................Pamoja na hoja za rufaa, kitabu hicho...
 5. D

  STAMP DUTY : nahoji

  WanaJf nahitaji kujua ni kwa nini Stamp duty zinazotumika Katika nchi hii zina jina TANGANYIKA na hii ni tangia enzi hizo? Please sababu ni nini?
 6. D

  Tetesi: Zoezi la sensa vs vitambulisho

  Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa wale watakaosimamia zoezi la sensa ya watu na makazi ndo hao hao watakaoshiriki katika kutoa vitambulisho. SAsa wale jamaa sugu wa kukataa kuhesabiwa hoja yao kwisha habari!!
 7. D

  MARTIN LUTHER KING, Jr NA UKOLONI

  Wapendwa wanaJF hapa chini nakuu baadhi tu ya maneno ya Mzalendo wa kweli Doctor Martin Luther King, Jr juu ya ugandamizaji wa watawala wa kipindi hicho. “To our most bitter opponents we say: We will match your capacity to inflict suffering by our capacity to endure suffering. We shall meet...
 8. D

  Hotpot nalo sanduku la kura?

  Ndugu wana Jf tumeshuhudia maneno mengi toka kwa wapinzani wakati wa kampeni na baada ya kupiga kura juu ya mbinu chafu zinazofanywa na CCM kwa kuingia katika vyumba vya kupigia kura na ma hotpot ya vyakula kwa kisingizio cha kuwapelekea mawakala wao vyakula. Hii ilikuja thibitika kuwa huwa sio...
 9. D

  Maombi na mafungo ya Lema yajibiwa

  Ndugu wanaJf kama mnakumbuka baada ya sakata la kuvuliwa ubunge na mahakama katika hali ya mizengwe Mh.Lema alisema nafunga kwa siku saba. Na kama mnavyoona mkanganyiko ulioko Arusha ndani ya CCM ni dhahiri kuwa Mungu anajibu mapema. Naona tusubiri mengine mengi tu!!
 10. D

  Ushindi mtamu

  Mwanza siku ya ushindi wa kiti cha udiwani
 11. D

  Asali asali asali

  WanaJF nina asali ya kutosha na iko sokoni. Natafuta soko la jumla kama Lita 400. Pls.
 12. D

  Nyarugusu kimewaka na kinaendelea kuwaka

  Kuna taarifa kuwa muda huu kuna mapambano kati ya polisi na wachimbaji wadogowadogo wa dhahabu. Jamaa mmoja amekuwa mjanja na kupata licence kwenye eneo lililokuwa linachimbwa na hao small scale minors. Hilo eneo limegundulika kuwa na deposit kubwa ya dhahabu kwa takribani mwezi mmoja kwa sasa...
 13. D

  Leo Lwekamwa yuko wapi?

  Wanajamii kama mnakumbuka kuna jamaa alisimangwa na kushitakiwa kwa kosa la KUSIGINA KATIBA. Jamaa huyu anaitwa nani na yuko wapi? Kulingana na katiba hii tuliyonayo na uelewa huu wa wananchi juu ya vipandevipande vya katiba; jamii ya leo ingemuona vipi na kitendo hicho?
 14. D

  Kuweka au kuondoa shillingi- bungeni

  Bunge limekuwa likiburuzwa na wingi wa wabunge wa CCM kwa mambo yasioyo na tija.Wana JF ule utaratibu wa kuondoa shilingi bungeni uliokuwa ukitumika miaka ya zamani hauwezi tumika na wapinzani? Tatizo ni nini? au hiyo sheria ilishafutwa? Nieleweshe tafadhali!
 15. D

  Ni kweli ufisadi ni ajali ya kisiasa

  Ansbert Ngurumo WIKI hii, kuna mtu amejitambulisha kwangu kama msomaji mwaminifu wa safu hii; na amenitania akisema: "Mzee wa Maswali Magumu… naona umekuwa kiongozi wa uasi dhidi ya kauli za wakubwa. Matunda ya kazi yako na wengine tumeanza kuyaona. Endelea… nchi yetu inahitaji...
 16. D

  Richmond > DOWANS > Symbion = Money laundering acts

  Ndg. Wana JF tumekuwa tukishuhudia jinsi sakata hili la kuhalalisha ununuzi wa mitambo hii ambayo ilipelekea Ndg. Lowasa na wengineo kujiuzuru madaraka waliyokuwa nayo. Kumekuwa na juhudi za nguvu na za makusudi kuuza mitambo hiyo kwa kampuni ya Tanesco ingawaje Bunge lililomaliza muda wake 2010...
 17. D

  Soko la dagaa waliosagwa dar likoje kwa kilo?

  Nimekuwa nikiuza dagaa waliosagwa kwa mashine mikoa tofauti na Dar. Je naweza pata soko kwa DAR? kwa bei gani?. Pls wana JF. nawasilisha.
Top Bottom