Search results

 1. M

  Napinga hoja ya RC Makalla ya kulazimisha Mabasi yote ya Mikoani kupakia na kushusha abiria Stendi ya Magufuli pekee

  Hii kero pia iende kwa mikoa mingine mfano Iringa na Dodoma. Pale iringa stend kuu iko karibu kilometer 20 kutoka iringa mjini na mabasi yanalazimishwa kushusha abiria wote stend kisha yanaenda mjini yakiwa tupu na abiria wanalazimika kupanda dala dala kwenda mjini huko huko ambako mabasi yanaenda.
 2. M

  Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

  Hili jukwaa kama huijui nguvu yake tuache tunaojua. Jamii forum ni zaidi ya huyo HR
 3. M

  Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

  Mimi pia wamekata ila deni lipo pale pale halijapungua. Mwezi Mei ilibaki 2,125,000 na June pamoja na kukata imebaki hiyo hiyo. Sijui Shida ni nini
 4. M

  TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

  Neno wilaya lisikuchanganye. Hiyo inaitwa halmashauli ya wilaya ya Chalinze. Hapo ina maana ni ofisi za mkurugenzi wa hiyo halmashauli ya wilaya ila DC ni mmoja ambapo wilaya ni Bagamoyo District. Bagamoyo district has two councils i.e. chalinze district council and bagamoyo district council...
 5. M

  TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

  Rungwe ina Rungwe na Busokelo, momba ina momba na Tunduma mji, nk
 6. M

  TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

  Hapo ni ofisi halmashauli. Kama huamini ebu leta picha za ofisi ya DC wa chalinze?
 7. M

  Ukaguzi wa magari Mbeya umeanza kuleta kero

  Kufuatia agizo la IGP la ukaguzi wa magari nchi nzima ambayo ni nia njema tu limegeuka kero kwa wasafiri mbalimbali hapa mkoani Mbeya. Sijajua mikoa mingine lakini hili zoezi ni kama halikuandaliwa mazingira mazuri ya kukagua ili kutoathili usafiri. Mfano, abiria wameshapanda ndani ya gari...
 8. M

  Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

  Tume ni ccm, polis ni ccm afu utegemee ushindi? CHADEMA walipokuonya ulidhani wanatania
 9. M

  Nitaishangaa sana ofisi ya Spika kama haitomjibu Nape! Anasema inakandamiza demokrasia!

  Hakuna bunge hapo ila kijiwe cha wauza kashata kilichojivisha ubunge wa ukoka
 10. M

  Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

  Pole sana mkuu kwa hali hiyo. Mimi nilisumbuliwa na hali hiyo kwa muda wa zaidi ya miaka kumi. Ilikuja kuacha baada ya kuanza kuoga maji ya uvuguvugu na kuacha kujisugua na vitu kama dodoki au jiwe isipokuwa miguuni tu. Pia nikioga nahakikisha nakuwa sehemu yenye joto la kutosha. Aisee hiyo hali...
 11. M

  Kitu gani kimefanya Vodacom wadharau agizo la Serikali kuhusu bei za bando?

  Ni siku ya kumi sasa tangu vodacom wapandishe bei za vifurushi vya matumizi ya simu. Baada ya malalamiko ya wateja, serikali kupitia TCRA walitoa tamko la kutaka makampuni yote yarudishe bei za zamani wakati suala hilo likishughulikiwa. Pia na rais Samia S Hassan naye akakazia kwa kutaka suala...
 12. M

  Rais Samia katuthibitishia matumizi ya Kiswahili hayakuwa kukikuza bali kuna mtu lugha ya Kimataifa hakuiweza

  Kufahamu lugha za kimataifa kuna faida kubwa kuliko kuwa na kiswahili tu. Acheni kujificha kwenye kichaka hicho cha sijui utumwa. Unafikiri kwanini elimu yetu sekondari na kuendelea tunatumia kiingereza?
 13. M

  Moja ya sifa za Spika wa Bunge popote Duniani ni kuweza kuunganisha Wabunge kuwa kitu kimoja

  Na wabunge wa ccm nao wanasifia kila kitu kinachofanywa na serikali. Je kazi ya mbunge ndiyo hiyo ya kusifia kila kitu? Bunge mfu kabisa hili.
 14. M

  Moja ya sifa za Spika wa Bunge popote Duniani ni kuweza kuunganisha Wabunge kuwa kitu kimoja

  Binafsi pia ninafuatilia sana mabunge mbalimbali duniani hasa Kenya, India, India, USA nk. Shida ya maspika toka Tanzania ni kujivika uccm Zaidi kuliko kuwa kama kiongozi wa wabunge wote. Ndugai ndiye amekuja kuonekana ni dhaifu Zaidi labda pengine kutokana na utawala uliopo madarakani kuonekana...
 15. M

  Dotto Bulendu: Rekodi yetu ya mapambano yetu dhidi ya Janga la Korona

  Big up sana Bulendu. Wapumbavu wataona kama unatumika na mabeberu.
 16. M

  Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

  Hakika JPM leo ukiitazama ile hotuba yake utagundua jinsi alivyo na wasiwasi. Anajifanya haogopi corona na kuponda viongozi wa dini waliofunga makanisa pamoja na chadema kutoingia bungeni. Halafu anajifanya ni mcha Mungu tena na inaovyoonesha Chato hatoki leo wala kesho. "Tuna rais wa ajabu...
 17. M

  Robert Alai: Tanzania is Burying Covid-19 Victims at Night

  Mbona misiba mingine ya wananchi hawasemi watu wasiozidi 10? NI special kwa baadhi tu?
 18. M

  Mama Anna Makinda, Jipime kama NHIF ikiwa chini yako imekidhi matarajio ya wengi?

  Katika taasisi za kinyonyaji kwa watanzania hasa watumishi wa umma hapa nchini ni NHIF na HESLB. Vitu hivi vinamnyonya sana mtumishi kwa sasa na hao wanaojidai eti wapo kwa maslahi ya wanyonge Utadhani hawasikii haya malalamiko. Hiki kitendo cha kuyaondoa baadhi ya magonjwa eti kwamba nhif...
 19. M

  Sauli Luxury Bus njia ya Mbeya naona ndio mfalme mpya Newforce hoi

  Happy Nation walijaribu hiyo ligi ya kuwahi kufika mbeya ama dar naona walishasarenda.
Top Bottom