Search results

 1. B

  Naomba kujua Namna ya kuondoa kutu kwenye tenki la pikipiki

  Msaada kuhusu Kutoa kutu kwenye tenki la pikipiki je nitumie njia gani au Kuna dawa spesho .. . Msaada wandugu
 2. B

  Kusoma kisha kukosa ajira ni kupoteza muda?

  Nimekaa chini nikajiuliza sana hivi ukisoma halafu ukokosa kazi je utakua umepoteza muda wako? Maana kama umetutumia miaka zaidi ya mitano kusoma tena kwa presha za walimu na malecturer halafu hamna chochote unachokipata kupitia hayo mavyeti, then unakuja kuwa machinga, thamani ya elimu yako...
 3. B

  Naomba msaada mtoto kuwa na tumbo kubwa

  Jamani nina shida mtoto wangu anatumbo kubwa kiasi kupita kawaida lakini nimejaribu kuchunguza nimeona sio wa kwangu tu hata watoto wa jirani. Je, ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini. Nawasilisha
 4. B

  Ukitaka kufuta upinzani fanya yafuatayo

  1. Boresha elimu na pia toa elimu bure bila michango kuanzia chekechekea mpaka chuo kikuu. 2. Fanyeni mabadiliko na kutafutaa masoko ya ndani na kimataifa kwa wakulima na wavuvi. 3. Toa mikopo kwa wanafunzi wa chuo kikuuu kwa wakati na siyo kuwanyima mikopo au kuwapatia pungufu. 4. Boresha...
 5. B

  Ifahamu nguvu ya kutokata tamaa kupitia Thomas Edison, mvumbuzi wa balbu za umeme

  Mvumbuzi mkubwa kuliko wote katika historia ya ulimwengu. Ubora wa maisha ya binadamu wa sasa una deni kubwa na kazi ya Edison. Elimu yake ya darasani ilikuwa ndogo, lakini aliweza kujipatia haki miliki (patents) 1,093 za vumbuzi kubwa mbalimbali huko Marekani, zikiwemo zile za balbu ya umeme...
 6. B

  Nani mkali kati ya Porus mfalme wa India na Alexander wa Ugiriki?

  Habari wakuu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada Natumaini wote tumeshasikia mengi sana kuhusu alexander the great ila kuna mambo machache yananitatiza na tusaidiane kujuzana kuhusu mtawala huyu. ALEXANDER NI NANI Alexander III wa Macedonia alizaliwa 20/21 July 356 BC na...
 7. B

  Miaka 57 ya Umoja wa Nchi Huru Afrika: Je, kuna matumaini ya amani, diplomasia na demokrasia Afrika?

  Umoja wa nchi huru za Afrika ndio kimbilio na tegemeo la kutatua changamoto mbalimbali za Afrika ikiwemo vita, ukame, njaa, maradhi na viashilia vya uvunjifu wa amani na ustaraabu wa maisha ya waafrika, kiujumla siasa za kimajumui ni falsafa zenye mawazo ya kuitaka Afrika kuungana pamoja ili...
 8. B

  Mtazamo wa kibiashara na kiuchumi

  Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kupata maendeleo makubwa kiuchumi duniani pasipo kuweka Akiba.Jiulize Mwezi January umeisha, Je! umeweka Akiba kutokana na kipato ulichotengenezaMwezi January kweli? Au ndo imeishia kulipa madeni na kupunguza Changamoto tu. Katika maswala ya uchumi na maendeleo...
 9. B

  Shida za Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Dhamana ya uongozi isiwahukumu viongozi wa DARUSO

  Nimekopi kutoka kwa askofu. Sakata la kusimamishwa masomo kwa viongozi wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) limeugusa sana moyo wangu. Viongozi hao akiwemo Rais wa DARUSO wamesimamishwa masomo yao kwa sababu ya kusimamia na kuwakilisha masuala ya wanafunzi...
 10. B

  Mfahamu Dkt. Zakir Naik

  (MAZINGE WA INDIA) Dr. Zakir Naik Dr. Zakir Naik kwa wale watazamaji wa TV iitwayo Peace Tv inayo endesha vipindi vya dini sio sura ngeni kwa mtaalamu huyu. Dr. Naik ni mwanaharakati wa dini ya Kiislamu nchini India, aliejizolea umaarufu mkubwa sana kwa yeye kuzunguka nchi mbalimbali za bara...
 11. B

  Historia ya mji wa Tabora na upatikanaji wa jina la Tabora

  Tabora ni moja ya mkoa unaopatikana upande wa magharibi mwa nchi ya Tanzania. Ni miongoni mwa mkoa mkubwa nchini Tanzania. Ukiwa mkoani Tabora unaweza kufika kwenye wilaya zenye historia na vivitio vya utalii kama wilaya ya Sikonge, Uyui, Urambo, Nzega, Kaliua, Igunga Na Manispaa Ya Tabora...
 12. B

  Fahamu kuhusu hatimiliki ya shamba au kiwanja

  Salaam ➡ Hati miliki ni nini? Ni document ya kisheria inayoonyesha mmiliki wa kipande cha ardhi. Ikionyesha ramani ya upimaji ya eneo husika, ukubwa wa eneo, na ramani za upimaji za majirani. ➡ Hati miliki inapatikana vipi? Hati miliki inapatikana baada ya eneo husika kuandaliwa ramani ya...
 13. B

  Ijue nchi ya Madagascar

  Jamhuri ya Madagascar ni nchi ya visiwa (island country) vidogo na vikubwa vinavyopatikana katika bahari ya Hindi vikiwa na ukubwa wa square mita 228,900. Madagascar ni nchi ya kisiwa namba mbili kwa ukubwa duniani ikitanguliwa na Indonesia. Huku kisiwa cha Madagascar pekee kikishika namba nne...
 14. B

  Toa utazamwe, fanya utazamwe

  Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mwenyeji wake Donald Trump wa Marekani wamekutana na kuratibu majadiliano ya mkataba wa biashara huru kati ya mataifa hayo mawili. AGOA ni kifupisho cha African Growth and Opportunity Act. Huu ni mkataba baina ya mataifa ya Africa na Marekani ambao huruhusu zaidi...
 15. B

  Tujikumbushe walioishi siku 72 kwa kula maiti baada ya ajali ya ndege

  Utakumbuka kisa cha ajali ya ndege iliyotokea mwaka 1972 iliyoanguka Amerika ya Kusini kwenye milima ya barafu ya Andes iliyo Argentina na Chile, kati ya abiria na waendeshaji 50 wakiwemo wachezaji wa mpira wa Rugby kutoka Uruguay walitoka hai abiria 16 tu ambao walipatikana siku ya 72 tangu...
 16. B

  Shoo ya Kanali Kinana ndio fungakazi

  TUWE na adabu kidogo. Huyu tunayemzungumzia ni mjeda. Kanali wa Jeshi. Abdulrahman Kinana. Wewe unajua vile wanajeshi hufanya wanapoona unaleta dharau. Mitama, mikanda, kurushana vichurachura. Iweke katika unyoofu; Kanali Kanana anajiheshimu sana. Anajiamini. Of course ukiwa unajiheshimu lazima...
 17. B

  Soma hii kijana wa kitanzania

  Akiwa na miaka 5 alifiwa na baba yake. Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4. Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa. Akiwa na miaka kati ya 18-22, alikua msimamizi wa njia za reli lakini alishindwa akafukuzwa. Baadae alijiunga na Jeshi lakini...
 18. B

  Ijue nchi ya Cambodia

  Nchi ya Cambodia inapatikana kusini mashariki mwa bara la Asia. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2019 inaaminika kuwa Cambodia ina raia zaidi ya Million 15. Nchi ya Cambodia kwa upande wa mashariki imepakana na Vietnam, Upande wa kusini magharibi imepakana na Ghuba ya Thailand, upande wa kaskazini...
 19. B

  Black heroes

  The richest person in the history of the earth was Mansa Musa du mali (Black) - The greatest Pop musician was Michael Jackson (Black) -The greatest jazz singer "The famous Aretha Franklin. (Black) - The greatest footballer was Pèle (Noir) - The biggest boxer was Muhammed Ali (Black) - The...
 20. B

  Wajue wamormoni

  Wamormoni ni kundi la watu wanaohusiana na dini ya Mormoni, iliyoanzishwa na Joseph Smith huko New York, Marekani, katika miaka ya 1820 akidai alipata njozi na kuonyeshwa kitabu kitakatifu. Baada ya kifo chake (1844), Wamormoni walimfuata Brigham Younghadi eneo la Utah. Leo wengi wao ni...
Top Bottom