Search results

 1. H

  Vijana mnaopenda kujiunga na Jeshi la Wananchi (JWTZ), nawashauri msome kozi hizi ili mpate nafasi kwa urahisi

  Kozi ya udereva wa magari, uopareta wa mitambo pia ni nzuri. Bila kusahau ufundi umeme, ufundi magari au umakenika, ufundi ujenzi na fani nyingine pia, ila kama mchangiaji joseph1989 , alivyosema usidhani kuwa na fani au taaluma kubwa kwamba ndio kupata vyeo jeshini,siku hizi mambo yamebadilika...
 2. H

  Mwalimu wa 'Tuition' kwa wanafunzi wa sekondari au shule ya msingi, muda wa usiku (saa moja jioni mpaka saa nne usiku), ijumaa tatu mpaka ijumaa

  Sihitaji kufanya nao ujinga, niko kwa ajiri ya kazi ndugu. Mimi hata kukesha nao ninaweza. Nna mke wangu mrembo sana nnamependa sana ananitosha. Nimeokoka hayo mambo ya ajabu sifanyi. Napenda kumtumikia Mungu. Kama wataona shida nafanya na wakiume tuu ni vyema pia.
 3. H

  Mwalimu wa 'Tuition' kwa wanafunzi wa sekondari au shule ya msingi, muda wa usiku (saa moja jioni mpaka saa nne usiku), ijumaa tatu mpaka ijumaa

  Sawa, naomba unipatie mawasiliano yako (au email) Pm ili niwaulize wenzangu, ili mwalimu akipatikana basi nikutumie nambari yake ya simu muwasiliane.
 4. H

  Mwalimu wa 'Tuition' kwa wanafunzi wa sekondari au shule ya msingi, muda wa usiku (saa moja jioni mpaka saa nne usiku), ijumaa tatu mpaka ijumaa

  Mimi ni mwalimu wa 'Physics' na 'Chemistry' (kwa sekondari), ninaweza pia kufundisha hisabati na sayansi kwa shule za msingi maana nimeshafundisha kwa miaka miwili), ninafanya kazi na kuishi Dar es salaam. Ninatafuta shule ya sekondari, shule ya msingi au 'Tuition centre' ambayo ina 'program'...
 5. H

  JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2020 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

  Mwaka 2020 kwa hawa madogo, kambi gani kuruti wanaopenda kuendelea na jeshi wataruhusiwa kuandika majina na kusubiri kuitwa ili waje kuendelea na jeshi ? Mwenye info atoe wakuu.
 6. H

  Vijana maelfu warejea nyumbani kutoka JKT 2019

  Mmmmmmh unafahamu kabisa mwenye masters aliyerudi bila kuajiriwa JWTZ
 7. H

  NATAMANI SANA KUWA MJEDA WAPI PAKUANZIA

  Haiwezekani nilidhani Msata rts ipo huko k um be co
 8. H

  NATAMANI SANA KUWA MJEDA WAPI PAKUANZIA

  Labda Anaenda kozi ya jw siyo JKT. HII AWAMU TAABU TUPU
 9. H

  Tetesi: Bila kitambulisho cha taifa hauruhisiwi kuchukua cheti UDOM

  Nenda kwa dean Wa school yako akupe karatasi ujaze tarifa zako uchukue gamba weweee... Sent using Jamii Forums mobile app
 10. H

  Gharama Ya Kuwa Mwanajeshi

  Nenda tuu. Kwa jinsia yako na kama umejaaliwa sura nzuri, lazima ufanikiwe kuwa mwanajeshi. Sent using Jamii Forums mobile app
 11. H

  Rais Magufuli atishia kuteua Mkuu wa Magereza kutoka JWTZ

  Kuna maafisa wa JKT wamepandishwa vyeo siku chache zilizopita. Huenda kanali Mbuge ameshakuwa Brigedia jenerali Sent using Jamii Forums mobile app
 12. H

  Nafasi za kazi JWTZ zatangazwa

  Walishaanza kozi ? Sent using Jamii Forums mobile app
 13. H

  Ifahamu Ndege ya Pan american iliyopotea na kuonekana baada ya miaka 37 Abiria wake wakiwa hai

  Mungu anathibitisha ujiniazi Wa Prof.Albert Einstein (He lives on √ co R.I.P X) Wa kugundua Theory of relativity. Nadhani Mungu ataendelea kuthibitisha physics kwa kufanya Hiyo ndege itue tena kwa miaka ijayo abiria wake wakiwa na umri uleule hata km imepita miaka 50. Sent using Jamii Forums...
 14. H

  Je, kuna taratibu zozote za kufuata ili kumuoa afisa wa Jeshi?

  Hiyo sare kaigoogle na kuidownload, hakuna brigedia mwenye umri huo Sent using Jamii Forums mobile app
 15. H

  Nafasi za JKT zinatoka lini?

  Ahaaaah, Sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
 16. H

  Nafasi za JKT zinatoka lini?

  kifurugobe, uwe unaacha uongo kwenye habari "sensitive" kama hii. Siyo vizuri ndugu. Sent using Jamii Forums mobile app
 17. H

  Nafasi za JKT zinatoka lini?

  Kwa namna hii nadhani kwa mwaka huu 2019 hakuna nafasi za kujitolea JKT Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom