Search results

 1. K

  Sheria ya taa za sportlight kwenye magari

  Juzi nililazimishwa na askari wa barabarani kufunika taa za ukungu baada ya mabishano ya muda mrefu. Alitaka kunilima notification lakini nikamuwahi kwa hela ya kubrashi viatu. Sasa kwenye hili jukwaa lazima kutakuwa na mdau wa hili. Hii sheria inahusu taa za mwanga mkali ama hata hizi za...
 2. K

  Local channels kuuzwa 55,000/= STARTIMES

  Jana nilienda ofisi za startimes hapa jijini Arusha. Katika maongezi na mto huduma pale nikakuta aina mbili za vingamuzi tofauti yake ni colour strips. Yaani kimoja kinaruhusu free local channels na kingine zinaondoka mara malipo ya kila mwezi yakiisha. Kuhusu vingamuzi vya zamani ili viwe na...
 3. K

  SALE OF USED WASHING MACHINE SPARE PARTS

  I have washing mashine INDESIT WIXL 143s. I have been using it for the past three years;unfortunately recently, some parts including the bearings and pcb (printed circuit board) went wrong! Now, some parts can be used as spare parts for other machines. Therefore if there is a person in need of...
 4. K

  MSAADA

  Kuna mashine ya kufulia aina ya Indesit wixl 143s. Ilipata tatizo la drain pump kuungua pamoja triac husika. Nimepata spare husika na kuziweka. Mashine inafua lakini bado pump haizunguki ikifikia kuondoa maji. Nimejaribu kuunganisha pump direct nje kwenye umeme inafanya kazi. Nimecheki nyaya...
 5. K

  Msaada wa kisheria kuhusu mikopo ya benki.

  Naomba msaada wenu katika jukwaa hili. Hali ya uchumi imekuwa ngumu mno, dhamana za magari,nyumba n.k zinapigw minada sehemu nyingi. Sasa basi, kuna dogo ametumia hati ya mauziano ya kiwanja kukopa benki X na hati ya nyumba benki Y. Baada ya muda benki X yenye hati ya mauziano ya kiwanja imeuza...
 6. K

  Nahitaji Triac Z0607

  Wadau kwenye jukwaa hili natafuta component tajwa. Ni kwa ajili ya drain pump ya Indesit wixl 143s washing machine. Nipo Arusha mjini, nimetafuta kwenye maduka ya electronics bila mafanikio.
 7. K

  Kurudisha channels za startimes baada ya kulipia

  Wadau nilikuwa sijalipia kingamuzi cha startimes muda mrefu. Nimelipia 10,000 Ila hakuna hata channel moja imefufuka. Nawaomba maujuzi.
 8. K

  Mzee Reinfred Masako yu wap?

  Ni muda mrefu huyu mtangazaji wa siku nyingi wa kituo cha I TV hakuonekana akitangaza,hasa kipindi chake cha KIPIMA JOTO. Jamani wapi hii muzee....
 9. K

  Spea ya food processor Kenwood FP370.

  Wadau naomba mnitafutie spea ya mashine tajwa. Spea yenyewe ni "plate shaft" hii inaunganisha mota na disc Kwa ajili ya kukatia matango ama carrots. Napokea hata used spare
 10. K

  Nahitaji pressure switch ya washing machine. Model Indesit WIXL143s

  Natafuta hiyo switch. Nipo Arusha mjini.
 11. K

  Gundi nzuri ya kuziba washing machine drum

  Wadau naomba kujuzwa aina ya gundi, nzuri kwa ajili ya kuziba mashine hii kuzuia kuvuja. Hii ni baada ya kuivunja kwa mzunguko ili kubadili bearing. Nimejaribu silicon za kawaida lakini naona adhesion yake iko poor na siyo heat resistant. Natanguliza shukrani.
 12. K

  Mashine ya kufulia nguo

  Wasalaam members ya jukwaa hili, nina mashine ya kufulia indesit wixl 143, ilikuwa na tatizo la bearing, pamoja na ugumu wa kubadilisha nilifanikiwa. Lakini baada ya zoezi hilo. Ukiweza nguo, washing program led lights, water comes in through the inlets but washing (back and fro) does not start...
 13. K

  Kituo cha afya Themi - Arusha

  Daktari kuchelewa kufika kituoni/kuanza kazi. Jamani nipo hapa kituoni tangu saa 2 asubuhi, mpaka naandika malalamiko haya saa 3.45 hajaja daktari, ama yupo hajaanza kazi. Tunaomba mamlaka husika kufuatilia hili. Imekuwa ni jambo la kawaida tu.
 14. K

  Wenye maduka Arusha wafunga maduka

  Wafanyabiashara wa Jiji la Arusha leo wamefunga maduka yao kushinikiza serikali kuondoa matumizi ya mashine za kielektroniki za kodi. Hata hivyo maduka ya wafanyabiashara wa kiasia yako wazi. Sasa hoja ni hii kwa nini wabongo wagomee na siyo wahindi?
Top Bottom