Search results

 1. M

  Tanzania inayonifanya niwaombe msamaha wana JF

  Nimesoma ile habari ya michuzi kuhusu ziara ya Kelly Rowland uwanja wa fisi, kufuatilia comments za watu nikakuta link kwenda youtube kuona documentary kuhusu maisha ya uwanja wa fisi - inaitwa hyena square. Kwa dakika 30 zilizopita nimekuwa naona hii picha huku machozi yakinitoka pwacha...
 2. M

  Dr Hussein Mwinyi awe rais wa Tanzania 2015

  Kwa vile Zitto ameonekana kuwa ana nia ya kugombea uraisi mwaka 2015 baada ya muda wa maendeleo ya uhakika yanayoletwa na Kikwete kuisha. Ni vyema sasa ikaangaliwa kwa upande wa ccm ni kina nani wenye uwezo wa kugalagaza wapinzani kwenye uchaguzi. Ni ukweli kuwa ccm itashinda tena kwa kishindo...
 3. M

  Propaganda za wapinzani zimepungua JF

  Naona sasa watoa propaganda wa chadema na wapinzani wengine wametulia na kupunguza propaganda zao hapa jf. Inaonekana members wenye kazi ya propaganda na uzushi wameishiwa. kazi inayofanywa na ccm wakiongozwa na kamanda wao Kikwete imeonekana kushika kasi hasa baada ya bajeti mpya kutoka na sasa...
 4. M

  Tanzania kupata billion 24

  Kutoka daily news: Serikali ya Tanzania itapata dola zisizopungua milioni 24 za Marekani (zaidi ya Sh bilioni 24) katika miaka mitatu ijayo kwa kuwa bandari ya Dar es Salaam itatumika kusafirisha salfa inayopelekwa katika migodi ya shaba Zambia. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Grindrod...
 5. M

  Kikwete azungumza na Dirk Kempthorne

  Daily News; Wednesday,June 04, 2008 @00:03 Rais Jakaya Kikwete jana alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Marekani, Dirk Kempthorne kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Arusha (AICC) mjini Arusha. Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu, katika mazungumzo hayo, Rais...
 6. M

  Mheshimiwa Kikwete usisikilize kelele za wapinzani

  Kama kawaida yao wapinzani wanakosoa tu kila kitu ccm inachofanya. Badala ya kujenga vyama vyao vya kikabila kama chadema, tlp, na nccr mageuzi na kile cha kidini cha cuf, wao wanajazana kwenye mitandao ya internet kuleta udaku tu kuchafua ccm. Mheshimiwa Raisi usiwasikilize hawa wapinzani na...
Top Bottom