Search results

 1. M

  Gari linahitajika, 4WD, not more than 5 million not less than 4 million

  Gari lenye hali nzuri japo sio jipya (used)...lenye 4WD kwaajili ya kuhimili barabara za vijijini linahitajika....gharama iwe reasonable...about 4mio to 5mio....mwenye nalo awe tayari mnunuzi kulifanyia inspection ya kina...mahali DAR ES SALAAM....Kwa mawasiliano zaidi let's chat in PM...
 2. M

  kwa WIZI/HUJUMA kwa wenye MAGARI---TRA na FAKE FIRE EXTINGUISHER---CCM kukosa kura nyingi 2015!

  Jamani napata tabu kutambua uelewa wa wabunge wetu! kwa kupitisha maamuzi kuwa kila mwaka ukienda kulipia vehicle licence ulipie pia gharama ya fire extinguisher takriban 40,000/= pasipo kupewa hicho chombo chenyewe si dhuluma kwa wananchi huku? Mazingira nliyoyakuta TRA Kinondoni leo...
 3. M

  KUTOKUPATA MISHAHARA KWA WAKATI..Je, kuna anayebisha kuwa Serikali ya JK haijafilisika KIUCHUMI?

  LEO JIONI JAMAA YANGU YUPO WIZARA YA MAGUFULI KANIAMBIA WAMEKUA OMBAOMBA, HAWAJAPATA MISHAHARA YA MWEZI NOVEMBER KITU AMBACHO HAKIJAWAHI TOKEA! nimemwambia pamoja na kutokupata mishahara lakini nawapongeza kwani wanaadhimisha miaka 50 ya uhuru kwa kuwa ombaomba lakini pia hongera zaidi kwani...
 4. M

  Kamati Teule ya kuchunguza Uhujumu Uchumi... Wizara ya Utalii na Maliasili, Mh PAMBA hapana!

  Jana Katibu wa bunge katangaza majina ya Kamati teule ya bunge kuchunguza uuzaji wa wanyama hai / usifisadi katika Wizara ya Maliasili na Utalii. Ndanimo yupo Mbunge wa mafya ccm kama mwenyekiti pia mjumbe mmojawapo ni Mh. SALEHE PAMBA mbunge wa Pangani ccm. Hofu yangu ni kuwa: kumbukumbu...
 5. M

  TBC1 (television ya taifa) wanapotosha taarifa kwa umma... Why?

  Nimebahatika kuangalia taarifa ya habari ya channel ya MLIMANI TV leo jioni, mojawapo ya walozungumzia ni tamko la Jukwaa la Katiba, kwakweli hii tv imeonesha taarifa kwa ukamilifu na kwa mapana hasa, ikiwemo tamko la kuandamana alotoa kibamba, pia kazungumza nkya na mama wa tgnp (lussu)...
 6. M

  CHEDEMA kufutwa, Kibamba, Nkya na Wanaharakati kufungwa; Warema kasema leo Bungeni!

  Wanajamiiforums, Kutokana na kifungu (19) kilichoongezwa katika mswada kama alivyosoma mwanasheria mkuu wa CCM-warema, ni kuwa atakayepinga au kuzungumzia maamuzi ya mswada ulopitishwa bunge la CCM leo, adhabu yake ni miaka mitatu jela au faini milioni tano! Well n' good, wanaharakati wetu na...
 7. M

  IDADI WA WABUNGE wa ccm LEO JIONI MJENGONI--Mahususi ili kupitisha mswada wa sheria ya Katiba!

  Leo asubuhi kulikuwa na mapengo makuba sana ya uwakilishi bungeni, hasa upande wa ccm, ila jioni hii bunge limesheheni karibia viti vyote, na hii si eccidentally but wameitwa ili kupitisha mswada kwa kishindo, hii ndo TANZANIA tuipendayo! tumeweza, tunasonga mbele! HAKIKA MSWADA...
 8. M

  CCM hamkuona zaidi ya WANYIRAMBA? Nnauye, Chiligati na Mwingulu?

  CHILIGATI, MNAUYE, MWIGULU wote wa palepale kwetu singida, je sisiemu nao wana ukanda ktk uongozi?
 9. M

  INAUMA SANA ...kwamba CCM \ NEC ndo walichoma KURA Shinyanga...

  Kuna mdau yupo halmashauri ya mjini shinyanga kasema hela waliyohongwa na ccm\nec sasa imekwisha hivyo wanaona aibu mbele ya jamii. na kasema baada ya kuona mgombea wa chadema keshashinda mkurugenzi kutumwa akasema mgombea wa ccm ndo kashinda kwa kudra za m\mungu akakosea ulimi ukakataa akasema...
 10. M

  Chonde-chonde chadema

  KWA WALE WAHESHIMIWA MTAKAOKWENDA MJENGONI: CHONDECHONDE MWENDE MKIJUA KUWA NGUVU YA UMMA INAWASIKILIZA, NA INATARAJIA MTAKWENDA FANYA NA KUTEKELEZA YALE MLOAHIDI HIVYO ITAPELEKEA UMMA UWAPE NGUVU ZAIDI 2015. (kwani jk atachakachua matokeo ya vijijini ya 2010 na atashinda kwa 52%) Naomba...
 11. M

  Elections 2010 MATOKEO YA MUSOMA MJINI - Taswira ya CCM ilivyochakachua 2005

  HONGERA SANA Mhe. V. K. Nyerere Takwimu za matokeo ya Musoma Mjini zimedhihirisha udhaifu wa kauli ya JK kuwa CCM haiibi kura...! Mwaka 2005 Mathayo alishinda ubunge kwa kura takribani 21elf, wananchi walopiga kura walikuwa takribani 40,000 Mwaka 2010 Nyerere ameshinda ubunge kwa takriban kura...
 12. M

  Joseph Mungai -WAZIRI aliyeua elimu TZ?

  Bado Waziri wa zamani wa Elimu katika awamu ya tatu Joseph Mungai (MB) anakumbukwa kwa jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania! Lakini nyuma ya pazia ni kwamba huyu ni mzaliwa na raia wa KENYA.....! ambaye alikuwa na mission moja tuu..kuikadamiza elimu ya...
 13. M

  UFISADI: Another 105 billions stolen

  Maskini, Tz yetu (si yao)! Pamoja na kuyasikia hayo ya TICTS 'Tiscan' huko bandarini kama yalivyoelezwa na kamati ya bunge miundombinu pia kwenye gazeti la Thisday, KUNA NYINGINE NILIKUTANA NAYO MAJUZI HUKO MKOANI LINDI. Kampuni ya kuwait ya KAFARI inayojenga barabara huko Lindi, ilisaini...
Top Bottom