Search results

 1. M

  Meremeta & TANGOLD Revealed!

  Mambo ya kuvamiwa yanahusiana vipi na mikataba? Au ndio yale yale ya kuandika chochote ili uonekane umechangia. Nani anavamia nchi ya Tanzania? Hata hivyo sikushangai sana maana muda mfupi uliopita ulianza kumlaumu Raisi mstaafu kuwa aliruhusu watu kula vyura na kitimoto kwenye hii thread...
 2. M

  Meremeta & TANGOLD Revealed!

  Angalau sasa hivi hauongelei mambo ya Mwinyi kuruhusu watanzania kula vyura na kitimoto, baba una mambo wewe yaani sikuwezi kabisa. Na hao wanaotaka kuvamia nchi na kuzima umeme ili kuleta giza ni kina nani?
 3. M

  CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

  Ungeweka ushahidi usingekuwa na sababu ya kuandika kitabu kizima. Watu hapa wakiona ushahidi huwa wanakubali. Sasa wewe unaeleza mengi lakini ushahidi hakuna na ndio maana bado watu wanakuuliza ushahidi wa madai yako hapa.
 4. M

  CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

  mimi bado naamini ukileta uthibitisho watu watakuelewa zaidi kuliko story zote hizi mwenzangu. Leta kadi namba au vinginevyo ili kuthibitisha usemi wako.
 5. M

  CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

  CCM hakuna tabia ya kutimuana kama wapinzani. Kikwete inabidi amrudishe Lowasa. Haya ya ugomvi wa ndani ya vyama yaishie kwa wapinzani huko huko
 6. M

  CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

  Nataka ule ushahidi uliosema kuwa utanipatia kwenye email uuweke hapa. Si unaona bado Kitila anakataa kuwa hajawahi kuwa NCCR, wala TLP?
 7. M

  CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

  hawa hawawezi kuchukua nchi.... sisi ccm hatuna cha kutimuana wala nini. Kwanza hata Lowasa kuna habari kuwa alionewa na inabidi arudishwe kwenye U-PM tu. kidumu chama cha mapinduzi.
 8. M

  Meremeta & TANGOLD Revealed!

  kwi kwi kwi, Haya sasa, je zitto una la kujibu hapa? kwa nini mwinyi alitaka watu wale nguruwe?
 9. M

  Meremeta & TANGOLD Revealed!

  Hii inahusiana vipi na kinachoendelea? Una hakika kuwa Mwinyi ndiye aliruhusu watu kula nguruwe?
 10. M

  CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

  Mkuu weka ushahidi kukata mzizi wa fitina. Maneno tu watu watakubishia sana hapa.
 11. M

  Kikwete Ampongeza Mugabe na Wananchi wa Zimbabwe

  kama mimi nikiwa schizo sasa wewe utakuwa nani? umeishiwa hoja?
 12. M

  CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

  weka tu mambo hapa, JF hakuna kificho mwenzangu
 13. M

  CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

  leta uthibitisho mwenzangu, nakuaminia na ninasubiria uthibitisho wako kwenye hili.
 14. M

  Kikwete Ampongeza Mugabe na Wananchi wa Zimbabwe

  Mbona wanajeshi wanamlinda Kikwete na serikali yake kila siku bila tatizo kabisa. Na sasa vijana walipokusikia unataka kwenda msituni wameongeza siku za mazoezi ili wakuchafue huko msituni hadi ukimbie. kwi kwi kwi
 15. M

  Meremeta & TANGOLD Revealed!

  wewe si umeona wapinzani wanavurugana na kukimbizana wenyewe. Hiki chama ndio mwanzo kinajiandaa kukamata hatamu zote toka Kigoma hadi pemba.
 16. M

  CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

  Mwenzangu unajua mengi, haya umeyapata lini?
 17. M

  Meremeta & TANGOLD Revealed!

  Yote haya yanashughulukiwa mama wewe tulia tu uone Kikwete akifanya kazi aliyotumwa na wananchi.
 18. M

  Meremeta & TANGOLD Revealed!

  Naona sasa wewe unataka Dr Slaa na Zitto wakamatwe kama alivyosema Marmo. Kweli kabisa, Dr Slaa na Zitto watueleze waliipata vipi hiyo mikataba na hizo siri za serikali.
 19. M

  Meremeta & TANGOLD Revealed!

  Mama, miye sina mpango wa kwenda bungeni. Ningekuwa na huo mpango ningesema. Kukiwa na kitu cha kufanyika, mimi namwambia Mwenyekiti wangu Kikwete na yeye anashughulikia mara moja. Kwa mfano, ile issue ya uwanja wa fisi inashughulikiwa hata hivi sasa tunavyojadili hapa. Asante
 20. M

  Kikwete Ampongeza Mugabe na Wananchi wa Zimbabwe

  Safi sana Kikwete kwa kazi nzuri. Afrika inahitaji viongozi wazalendo kama Mugabe na sasa Tanzania nako ccm inajipanga vizuri kuendeleza nchi yetu.
Top Bottom