Search results

 1. W

  Kwenu wana JamiiForums na wengine wote

  Kutokana na ukweli kuwa , mmekuwa mnatuletea habari zile ambazo ni "Mahususi" au kwa jina jingine "CLASIFIED". Kwa mantiki hiyo tunaomba mtujuze haya; 1. NANI NI MMILIKI HALISI WA SIMBA TRUST MBIA WA PAP? 2. TUNAOMBA LISTI AU MAJINA YA WALIOCHUKUA PESA ZA UMMA PALE STANBIC BANK. Tunaomba...
 2. W

  Wabunge mnakwama wapi??

  Ndugu zetu Wabunge na Spika akiwemo,mbona mnaonekana kupatwa na kigugumizi kutoa maamuzi ya mjadala wa ESCROW? Hembu angalie facts hizi tatu hapa chini; 1. Nyote mmekubali kuwa Kamati ya PAC ni wawakilishi wa Bunge Zima, 2. Nyote mmekubali kuwa yaliyoletwa na PAC ni mapendekezo yanayowakilisha...
 3. W

  Bomu la tatu tanzania lalipuka

  Wana jamvi, nimekuwa nafuatilia kwa makini sana siasa za nchi yetu na hasa mwenendo wa Serikali ambayo ndiyo kimbilio la wanyonge na watanzania waliowengi, lakini matokeo yake imekuwa ni kupigwa mabomu tu, kama yanavyojieleza hapa chini. 1. BOMU LA 1 - Tumeona Serikali yetu ikipoteza...
 4. W

  Kama ningekuwa kiongozi muadilifu ningelisign

  Wana Jamvi, Kwa viongozi wetu waliopo madarakani, hasa wale wa Kisiasa na wa Kuteuliwa. Kwa jinsi hali ya utendaji wa Serikali ulivyo kwa sasa, sina shaka kabisa kuwa imepoteza muelekeo, na kupoteza imani kwa wananchi walio wengi. Kwa mantiki hiyo basi, kiongozi muadilifu, narudia, kiongozi...
 5. W

  IGP - Mtandao huu ni hatari - Part I

  Mheshimiwa Kamanda Mwema - IGP, Nadhani utakuwa na taarifa na kama huna taarifa basi tunaomba uanze kuifanyia kazi taarifa hii: Kuna Genge moja la Kitapeli ambalo limezuka hapa jijini na kufanya utapeli wa kuvamia viwanja vya watu na kujifanya ni vya kwao. Genge hili linafanya kazi zake zaidi...
 6. W

  Yu wapi Prof. Paramagamba Kabudi?

  Wana Jamvi, suala la muswada wa katiba, limefika patamu, kwa pumba kujulikana pumba na mchele kujulikana mchele. Nakumbuka kabla ya hoja hii kufikishwa Bungeni Prof. Paramagamba Kabudi, alipelekwa pale dodoma kuwapiga msasa wabunge kuhusu hili hasa akiwa na mlengo wa Ki CCM zaidi. sasa mambo...
 7. W

  Saa imetimia - madaktari waonyesha njia

  Huko nyuma nilisha wahi kusema, siku ambayo watanzania walalahoi watakapoamua kuingia barabarani, sijui watawala hawa watakimbilia wapi kujificha. Sasa wakati umefika, na wakati wenyewe ni leo Jumatatu tarehe 30/1/2012. Siku ambayo Serikali iliyochaguliwa na Wananchi wake wenyewe, imewageuka na...
 8. W

  Kwa Watumishi wa Serikali na Wanasiasa wote Tanzania

  Wana Jamvi, Kwa takribani ni miaka 20 sasa tangu baadhi ya watumishi Serikalini na Wanasiasa hapa Tanzania, kuamua kutumia nafasi zao Serikalini au nafasi zao Kisiasa kwa manufaa yao binafsi, familia zao na marafiki zao. Napenda kutoa angalizo na tahadhari kwa wahusika wote kuwa, muda si mrefu...
 9. W

  A fast tracking Hoja

  Wana JF, Yanayoendelea kujuzwa humu jamvini kuhusu mustakabari wa nchi yetu Kisiasa na Kiuchumi, yanachosha na kutia kinyaa. Nina hoja moja tu. Hivi hakuna vijana huko jeshini wachukue hii nchi na kutandika watu viboko tuwe na nidhamu? Nina ona tunazidi kupoteza muda wa maendeleo. Hembu nyie...
 10. W

  Nipeni majibu wanajamii - hili linapaswa lifahamike

  Wana jamii naomba mnipe majibu kwa haya yafuatayo baada ya paragraph ifuatayo: Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana kwa muda mrefu sasa utendaji wa kazi wa vyombo vya usalama vya nchi hii, na hasa Jeshi la Polisi, ambalo ndilo lipo karibu au ndilo lenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao...
 11. W

  " Hili nalo jambo: 3/4 ya Wafanyakazi wa Serikali hawawajibiki"

  Wanajamii, Baadhi ya magazeti ya leo tarehe 21/6/2011, yameripoti kuwa Waziri Mkuu, jana amesema kuwa 3/4 ya wafanyakazi wa Serikali hawawajibiki ipasavyo na ndiyo chanzo kikubwa cha ufanisi mdogo serikalini. 1. Ikiwa kama hizo statistics ni kweli, basi kuondoa umasikini wa watanzania ni ndoto...
 12. W

  Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

  Wana jamii, Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana na kwa miaka kadhaa sasa Makala za Generali Ulimwengu, na katika upembuzi wangu wa mambo japo kwa upeo nilio nao, nimejiridhisha kuwa, kwa hali halisi ya Tanzania ilipofika sasa, General Ulimwengu ndiye Binadamu anayetufaa Watanzania Kuichukua...
 13. W

  Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

  Naomba kuuliza swali hili kwa wote waliohusika kusababisha Mauaji ya Arusha Jana. Je Familia zenu na jamaa zenu wapo salama?? My Take: Kwa hasira ya Watanzania walio wengi, kitendo cha mauaji ya raia wema Arusha, kinaleta hali tete sana kwa familia za wahusika waliosababisha hayo yote; -...
 14. W

  Elections 2010 JWTZ waanza mazoezi ya machafuko

  Ndugu wanzegu wa JF na watanzania wote kwa ujumla wenu, yale yaliyosemwa sana kwamba JWTZ wanawekwa chonjo ktk uchaguzi huu, ni ya kweli tu. Nimeshuhudia kwa macho yangu pale Lugalo jeshini mida hii ya saa saba na nusu mchana, wanajeshi wa JWTZ walikuwa wanajifua pale ktk viwanja vyao. Nimesema...
 15. W

  Elections 2010 Nasubiri kwa hamu kusikia tamko la Dr Asha Rose Migiro

  Ningefurahi sana, na natamani sana kusikia tamko la Mama yetu aliyebeba Bendera ya Tanzania ktk Umoja wa mataifa, Dr Asha Rose Migiro, kuhusiana na uchaguzi unaotukabili wiki chache zijazo. Nasema hivyo kwa sababu kuu 2; 1. Kwa kutumia nafasi yake kama Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa...
 16. W

  Elections 2010 Jimboni Mtera

  Ktk kipindi cha Jahazi cha Radio Clouds jioni hii, kuna hili limeripotiwa na producer Semalenga wakati wa kampeni za CCM, kuwa JK amesema vitu viwili vifuatavyo akiwa anamnadi mgombe wa jimbo hilo Bwana Lusinde. 1. JK anasema kuna wagombea wengine wameanza kazi ya hata kabla hawajaapishwa...
 17. W

  Elections 2010 JF ni kwa Watanzania wote

  JF na wote, Nimekuwa tafuatilia kwa makini sana mambo yanayojitokeza ktk JF. Ukweli kabisa ni mambo ambayo Watanzania wote, bila kujali chama, dini, kabila au rangi, waweze kufahamu. Tatizo kubwa ninaloliona ni suala zima la mawasiliano kwa mamilioni ya watanzania walioko vijijini. Je Kama...
Top Bottom