Search results

 1. G

  Nafasi za field Tpdc

  Samahani nilikuwa nauliza kama ninaweza pata nafasi ya kufanya field tpdc Nasomea electrical engineering diploma
 2. G

  Wataalamu wa martial arts specifically karate

  Samahani wataalamu wa karate nilikuwa naomba ufafanuzi wa style gani ya karate au aina ipi ya karate ni nzuri zaidi kwa self defence. shotokan au ipi ni nzuri zaidi. Asanteni
 3. G

  Ni maeneo ya kujifunzia martial arts jijini Dodoma?

  WanaJF nilikuwa naomba kujuzwa maeneo mbali mbali ninapoweza kujifunza martial arts yoyote ile (karate, kickbox, boxing, kungfu ) pamoja na gharama zao. Asanteni wakuu
 4. G

  Karate vs boxing

  Wakuu samahani nilikuwa naomba kujuzwa ni mchezo Upi kati ya karate na boxing mzuri kujifunza tukianzia kwenye urahisi wa kujifunza , mitindo ya kuicheza ,mazoezi na kwny self defence upi ni mzuri zaidi . Asanteni
 5. G

  Fursa za kibiashara katika fani ya Uhandisi wa Umeme (Electrical engineering)

  Samahani wanaJF, Nilikuwa naomba mnisaidie na mawazo au labda uzoefu kwa namna Moja au nyingine kutokana na fursa zinazopatikana baada ya kupata cheti cha kuanzia Diploma ya Uhandisi wa umeme (Electrical engineering) katika jamii zetu za Kitanzania. Asanteni sana
 6. G

  Naomba kujuzwa Careers za Electrical engineering

  Samahani wakuu nilikuwa naomba msaada wa kujuzwa kuhusu careers ambazo zinatokana na Electrical engineering kwa ngazi kuanzia certificate hadi PhD?
 7. G

  Naomba kujuzwa mishahara ya Diploma Holder TANESCO

  Samahani wakuu, nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu mishahara ya Electrical engineers wenye kiwango cha elimu diploma TANESCO pamoja na majukumu yao.
 8. G

  Naomba kujuzwa mshahara wa Electrical engineers?

  Samahani wana JF nilikuwa naomba kwa wanaofahamu kuhusu mishahara wanaolipwa wahandisi wa umeme (Electrical engineers) kwa graduate wa kuanzia diploma, degree na masters pamoja na careers wanazoweza zifanya. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom