Search results

 1. T

  Hatimaye wa Nigeria warudi makwao

  Ni kitendo kibaya sana nmekereka sana
 2. T

  Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

  Mbona tunaafanya yote haya mamy jmn kama kuna mmoja au wawili hawawajibiki kwenye majukumu au wajibu wao ni hao hao sisi wengine tuko. Vizuri sana
 3. T

  Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

  Vitabu vya Mungu vinakataa mwanamke na mwaume kuwa sawa maana mwanaume ni kichwa cha nyumba kama sio family kama Yesu alivo kichwa kanisa... Mwanamke atakuwa chini ya mwanaume mpaka dunia itapita na hao wanaojihangaisha kupinga maelekezo ya Mungu mwenyewe na kupiga debe haki sawa kwa kila kitu...
 4. T

  Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

  Kashashinda mbona na kuna mkakati wa kumuongeza miaka mingine 10 baada ya 2025[emoji23][emoji23]
 5. T

  Shemeji ana mchepuko ninaoujua, ili aachane nao anataka achepuke na mimi. Anasema ndugu yangu hawezi kazi

  Ila we jamaa unajua kuchekeshaa eti kama sio wale wanaopenda kwa kutumia mboo kwa iyo wengine wanapenda kwa kutumia nn[emoji23][emoji23][emoji23]
 6. T

  Shemeji ana mchepuko ninaoujua, ili aachane nao anataka achepuke na mimi. Anasema ndugu yangu hawezi kazi

  Nipe namba ya shemej yako nikudaidie kazi ni kwelii kabisaa kuweka alipoweka ndugu yako wa damu sio poa nmekichek pm mkuu
 7. T

  Made in PRC ni sawasawa na made in China

  Ndio mkuu Kirefu chake ni made in People Republic of China [emoji3581][emoji3581]
 8. T

  Made in PRC ni sawasawa na made in China

  Ndiyo maaNa yake mkuu pigia mistar
 9. T

  Wanawake wa Kihaya & Kijita waongoza kwa vigezo zaidi nchini

  Hongera kwa kuwapigia debe dada zako tutaanza kuwatafuta tuwale
 10. T

  Historia ya neno Msela na Baharia

  Baharia ni mwanaume mjanja, makini mwenye uwezo wa hali ya juu kihudumia familia yake na kila kitu anachohitaji mwanamke kama kihondomola nk.
 11. T

  Utumwa mpya ndani ya Kanisa

  Ndio maana mimi niliamua kuacha kwenda kanisani kwa ajili ya mambo kama. Haya niliona sisi washirika ndo mitaji ya wachungaji mitume na manabii.. Kanisa ni mimi mwenyewe hekalu ni roho yangu na. Mwili wangu baaada ya Yesu kunifia msalabani aliondoa kiambaza au ukuta uliokuwepo umezuia...
 12. T

  Nani Mkali wa Voice Over?

  Anaitwa nani mtajeni nasi tumjue anatangaza kipindi gani hapo tv1
 13. T

  Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

  Qumamake vyura wakigoma kuvaa red watolewe ligi kuu wacheze daraja la 4 huko watuache na ushamba wao mbona elf10 wanaitumia na wanajua kabisa ni msimbazi ina red mwnzo mwisho!!??? Akili za matikiti fc ni hovyo mambulura wa kiwango cha rami
 14. T

  SIM ZINAZOUZWA MTANDAONI NITATIZO

  Kama anakuuzia mtu cm iliyotumika muandikishane mbele ya mjumbe wa mtaa au ofic za serkal ya mtaa na isainiwe na mmzaji na mununuaji pia na mhuri wa mjumbe au serkal za mtaa muuzaji awe na kitambulisho cha taifa au kupiga kura au lesen ya udereva ama cheti cha kuzaliwa kitolewe kopi mkiwa...
 15. T

  Mimba hugundulika baada ya muda gani?

  Baada ya miezi 1 kutoona hedhi
 16. T

  Soda zinazeesha

  Sawa sawa
Top Bottom