Search results

 1. M

  Ukaguzi wa magari Mbeya umeanza kuleta kero

  Kufuatia agizo la IGP la ukaguzi wa magari nchi nzima ambayo ni nia njema tu limegeuka kero kwa wasafiri mbalimbali hapa mkoani Mbeya. Sijajua mikoa mingine lakini hili zoezi ni kama halikuandaliwa mazingira mazuri ya kukagua ili kutoathili usafiri. Mfano, abiria wameshapanda ndani ya gari...
 2. M

  Kitu gani kimefanya Vodacom wadharau agizo la Serikali kuhusu bei za bando?

  Ni siku ya kumi sasa tangu vodacom wapandishe bei za vifurushi vya matumizi ya simu. Baada ya malalamiko ya wateja, serikali kupitia TCRA walitoa tamko la kutaka makampuni yote yarudishe bei za zamani wakati suala hilo likishughulikiwa. Pia na rais Samia S Hassan naye akakazia kwa kutaka suala...
 3. M

  Hizi ziara za rais nani anapanga? Au ndio ile dhana ya sipangiwi?

  Leo rais wetu yupo mkoani singida baada ya jana kuzindua barabara kule shinyanga akitokea Geita ambako alikuwa kwa mapumnziko. Akiwa huko kkwao alizindua benki ya CRDB tawi la Chato na pia jana akiwa wilayani kahama amesikika akisema wananchi waliovamia eneo la wizara ya elimu wasiondolewe...
 4. M

  Aliyeshtakiwa kwa kosa la kutoa lugha ya matusi dhidi ya polisi, Kashinda kesi Mtwara

  Mtuhumiwa Adolph Msafiri aliyekuwa akishtakiwa kwa kosa la kutoa lugha ya kuudhi dhidi ya Jeshi la Polisi ameachiwa huru na mahakama ya Mwanzo huko mkoani Mtwara baada ya kuonekana hana kesi ya kujibu. Mtuhumiwa huyo alikamatwa kwa kuweka ktk ukurasa wake wa Facebook, picha ya Askari Polisi...
 5. M

  Rais wetu kama umeamua kutumia Kiswahili basi tumia Kiswahili na sio Kiswanglish

  Ni kawaida kwa Rais wetu anapokuwa kwenye mikutano ya kimataifa aliyohudhuria hadi sasa anapenda sana kutumia Kiswahili. Ni jambo zuri maana anasaidia kukitangaza zaidi hasa kwa kuwa ni mtu mwenye wadhifa mkubwa kitaifa na kimataifa. Kinachonisikitisha ni pale anapochomekeachomekea vimaneno...
Top Bottom