Search results

 1. M

  Tanzania yaonya kusambaratika EAC

  Masanja, Hiyo ya gradual unification nadhani itafanya kazi vyema zaidi kuliko ya kutaka kufanya mambo yote kwa pupa. Kuanza na ushirikiano wa biashara (labda na kodi) na kisha baadaye kuleta mambo mengine zaidi kwenye muungano itakuwa wazo zuri kuliko kufikiria sasa hivi ni nani atakuwa raisi...
 2. M

  Watanzania wa Dallas wafanya kitu cha kuigwa

  Lunyungu, Asante sana kwa habari ya kuhusu Serengeti - The Hague. Inafurahisha na kutia moyo kuona mambo mazuri kama haya yakifanywa na watanzania. Ni vizuri kupata good news katikati ya wizi na ufisadi unaofanywa na viongozi wa serikali kila siku. Ni vizuri kujua kuwa kuna watanzania wengi...
 3. M

  Watanzania wa Dallas wafanya kitu cha kuigwa

  Mods tafadhali naombeni hii ikae hapa angalau weekend hii ingawa haiusiani na siasa moja kwa moja. Nilikuwa napitia blog ya michuzi na nikaona tangazo la watanzania walioko Dallas ambao wameanzisha restaurant yao na kuiita kijiweni. Tafadhali fuata hii link hapa chini: MICHUZI Kwa kweli...
 4. M

  Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

  Hii tone imekaa kikabila vile.... wachagga na wameru tena wamekosa nini? Unajua mwingine anaweza kusema wakristo au walutheri au wakatoliki wamefurika mahakamani..... ili kuelezea watu waliofika mahakamani. Nadhani hii sio sahihi kuwaita hao watanzania kwa ukabila wao.
 5. M

  Mkapa above the law?: Allegations

  Gembe... hayo maneno ya "tunamtaka Mkapa" ambayo sasa hivi yanatumika kama title ya hii thread sio ambayo Kichuguu alitumia kuanzisha hii thread. Siku hizi hapa JF threads zinahamishwa na kubadilishwa titles zao kama njugu (msemo wa wakenya) kiasi kwamba unaweza kudhani title ya thread ndio...
 6. M

  Mkapa above the law?: Allegations

  Kichuguu.... Inawezekana ikawa vyote.... nguvu ya wafadhili ambao ndio walishinikiza hata uchunguzi wa kwanza ufanyike baada ya serikali kusema kuwa madai ya Dr Slaa ni uzushi na uongo. Kikwete na serikali pia, mimi (binafsi) nawapatia credit kwa kuamua kulichukua hili swala kwa uzito...
 7. M

  Mkapa above the law?: Allegations

  Nyani Ngabu..... miafrika kama mimi ambayo inapiga soga hapa, imekuta hali hiyo hiyo ambayo umeieleza hapo. Na bila kuweka exception, miafrika hiyo imejaa imani kuwa ni muda mchache umesalia kabla Musa na Haruni hawajatokea na kuiongoza hii miafrika toka utumwani. Katika kutafuta nini...
 8. M

  Mkapa above the law?: Allegations

  Kaka Kitila, Hapo kwenye bold ni kitu ambacho wengi kwenye serikali ya Kikwete hadi leo wameshindwa kabisa kukiona. Labda kwa makosa au kwa makusudi, serikali ya Kikwete inaonekana kama vile ni ya mtu mmoja - Kikwete. Mawaziri wote ni kama vile hawapo, haijulikani nani anafanya nini, na nani...
 9. M

  Hii mikakati iliishia

  Nimefikiria kinachoendelea sasa hivi Tanzania - Migomo ya walimu, migomo ya wanafunzi, migomo ya wazee wastaafu, bei juu za vyakula na usafiri, ukosefu wa ajira kwa wahitimu, na mengine mengi...... Kisha nikafikiria majibu yanayotolewa na watendaji wa serikali...... Hakuna mtu anayekubali...
 10. M

  Hii mikakati iliishia

  Ha ha ha ha, Hii forum kwa kweli ina mambo. Mkumbita na mkukubi ni kali ya yote.... Naona karibu watakuja na LAWAKWATA.... Laumu Wananchi (wapinzani?) Kwa kila Tatizo
 11. M

  On Mbowe: Man, Family Life and Politics

  mhhh, kwa vile sijui vipimo unavyotumia kujua nani ni raisi bora, inakuwa vigumu kujua kama Mbowe atakuwa raisi bora au la. Otherwise, asante kwa ufafanuzi
 12. M

  Migomo katika Vyuo Vikuu na serikali ya awamu ya Nne

  serikali ni ya wananchi (inatakiwa kuwa ya wananchi) na hao wanafunzi ni wananchi pia. Kama wao wanaumia, basi wananchi wanaumia na mwisho wa yote serikali itaumia (kama kweli serikali iko kwa niaba na manufaa ya wananchi wake). Ni rahisi sana kunyanyasa wananchi kama inavyofanyika hapa dhidi ya...
 13. M

  On Mbowe: Man, Family Life and Politics

  kwani Mbowe sio mtanzania? je hana sifa zinazotakiwa na katiba yetu za kuwa raisi?
 14. M

  Testesi: Kisa cha serikali kushindwa kudhibiti mauaji ya Maalbino

  ha ha ha ha. Hii imenichekesha sana. Asante Jasusi kwa kutengeza siku yangu iliyokuwa imeanza kupooza.
 15. M

  Migomo katika Vyuo Vikuu na serikali ya awamu ya Nne

  Mhh, ndugu yangu wewe unataka kumtangaza mwenzako hapa kwenye jamvi?
 16. M

  Migomo katika Vyuo Vikuu na serikali ya awamu ya Nne

  Una mapendekezo ya moja ya model ambazo ungependa kuona zinatumika? Nchi nyingi zilizoendelea ziliwekezwa zaidi kwenye elimu (iwe kupitia vyuo vya kiraia au vya kijeshi) zaidi ya kwingine kule. Au wewe unaonaje?
 17. M

  Migomo katika Vyuo Vikuu na serikali ya awamu ya Nne

  ha ha haha... kumbe hukujua uko porisi? wanafunzi wako kwenye hali ngumu sasa hivi. Discipline ya kipolisi inabidi kutumika hapa. Au wewe unasemaje?
 18. M

  Lowasa: Kuvuliwa Madaraka, Kujiuzulu na Kustaafu

  Okay, Hapa nimekuelewa mkuu.
 19. M

  Migomo katika Vyuo Vikuu na serikali ya awamu ya Nne

  mwaka gani? Mwaka ambao "uligoma" kwa vile mitihani ilikuwa imekaribia?!
 20. M

  Migomo katika Vyuo Vikuu na serikali ya awamu ya Nne

  Moja ya posts zako hapa umeandika hivi: Na kisha ukaandika hivi:
Top Bottom