Search results

 1. Kingo

  Kiwanja kinauzwa Lukobe-Morogoro 1242m²

  Kiwanja chenye ukubwa wa 1242m² kinauzwa maeneo ya Lukobe Morogoro Manispaa, kipo jirani na barabara kimepimwa na kulipiwa ada zote. Bei Tsh 6,000 000. Piga +255754202507 kwa maelezo zaidi
 2. Kingo

  Bei na soko la madini ya Ruby

  Wakuu, naomba kufahamishwa soko na bei ya madini aina ya ruby kwa Dar es Salaam na Morogoro
 3. Kingo

  Marketing Officer

  Looking for an experienced marketing officer for an aggregate mining company based in Morogoro. Forward your resume asap.
 4. Kingo

  Qualified and Experienced Medical Doctor Required

  An experienced and qualified MD is needed to head a working health center in Morogoro municipal. Come inbox for details.
 5. Kingo

  Msaada: NDDN-W56 DISC MAP YA REDIO

  Wakuu mwenye cd au iso file ya kurest redio ya gari "please insert correct disc map" anisaidie. Namba ni kama hapo juu.
 6. Kingo

  Toyota Raum 2004 inauzwa

  Toyota Raum 2004 inauzwa bei 8.7m NEGOTIABLE. Milage 128,000, inatembea, haina tatizo lolote, mifumo yote inafanya kazi, kiyoyozi kipo sawa, vibali vyote vimelipiwa. Lipo Morogoro Manispaa. Kwa maelezo au picha zaidi pm au call/text 0715822249 (PICHA ZINASHINDWA KU-UPLOAD)
 7. Kingo

  Toyota Cresta au Mark II Gx 100 inahitajika

  Rejea kichwa cha habari. Gari tajwa iliyotumika lakini ipo katika hali nzuri inatakiwa kwa bei ya 3m. Namba na rangi yoyote. Pm kwa taarifa.
 8. Kingo

  Toyota Raum new model inatakiwa

  Inatakiwa Toyota Raum new model, budget shilling 7 million. Kama unayo tuwasiliane kwa sifa na taarifa zaidi.
 9. Kingo

  Toyota Spacio 2002 for sale

  Y.O.M: 2002, Milage: 137,011 PRICE: 8,500,000/ TZS NEGOATIABLE All taxes paid, comprehensive insurance Well maintained, running, single user (lady), within MOROGORO​ Municipality. CASH AND DRIVE Just call 0715822249 / 0713566009 SOLD, THANKS ALL!
 10. Kingo

  Shabiki wa Young Africans kutoka Dar wazua vurugu Moro

  Baadhi ya shabiki wa Young Africans kutoka Dar baada ya mechi wakiwa njiani kurudi makwao walizua tafrani njia panda Bigwa, barabara ya zamani ya Dar na kusababisha usumbufu na uharibifu kwa raia na mali zao. Kadhia hiyo ilitokea baada ya shabiki hao kushuka kwenye magari yao na kuanza vurugu...
 11. Kingo

  Mauaji Maliti (Kibaigwa) katiya wakulima na wafugaji

  Wanajamii, nilipita maeneo ya Maliti vijijini baada ya Kibaigwa na kukuta hali sio nzuri. Hali iliyopo kati ya wakulima na wafugaji sio nzuri kwani kuna mauaji ya kutisha yanaendelea. Watu wanauawa kwa Kupigwa mishale, wakulima wamekimbia makazi yao kwa hofu ya kuuawa. Pia inadaiwa ng'ombe wengi...
 12. Kingo

  Plot for sale near Kunduchi Beach Hotel

  Kiwanja ni nusu heka, kuna frem tatu mbele za maduka, kuna msingi wa fremu tatu pembeni mbele, kuna banda nyuma lenye vyumba viwili limeishia kwenye linta, kuna kiwanja kinabaki kinaweza kujenga nyumba kubwa moja au mbili, kipo barabarani karibu na Kunduchi Beach Hotel, pembeni imepakana na...
 13. Kingo

  Msaada tafadhali

  Wanajamii naomba mwenye kujua bei (market value) ya viwanja, kama nusu ekari maeneo ya Kunduchi karibu na Kunduchi Beach Hotel anijuze tafadhali. Niko mbali kidogo kupata Land valuer. Asanteni.
 14. Kingo

  Nafasi za Kazi PDB

  Kama unakidhi vigezo usichelewe. Bofya hizo links tatu kuona unapofit. HManager-Legl Services Section, Manager-Information and Communication Technology Section, Manager Ministerial Delivery Units, Senior Analyst, Analyst, Executive Assistant to Chief Axecutive Officer, Personal Assistant...
 15. Kingo

  Foleni kubwa kuelekea/kutoka Kibaha mizani

  Kuna gari limeharibika mizani Kibaha na kuziba njia ya kuja/kutoka Dar. Ambao mnapanga kuelekea njia hii mnashauriwa kuchukua tahadhari. Sahihisho: foleni imetokana na dreva wa malori kugoma kupandishiwa ushuru wa kupima - mizani, wakaamua kuzima magari yao na kuyaacha/ kuyatelekeza barabarani.
 16. Kingo

  Mabomu ya machozi G/mboto

  Mabomu ya machozi yanapigwa hapa G/mboto, baada ya wanafunzi wa shule ya msingi kufunga barabara wakishinikiza kuwekwa tuta, kwa madai ya kugongwa mwenzao. Bomu la kulipuka halipigwi picha!
 17. Kingo

  Msaada: 076-360-0200

  Wanabodi, naomba kujuzwa mwenye kufahamu hiyo namba ya simu hapo juu ni ya "owner" gani, maana nakuta 'missed calls' na nikiita simu ina-hang up baada ya tone ya kuinganishwa! so cannot call back. Shukran.
 18. Kingo

  Nyumba inapangishwa - Morogoro

  Nyumba ya vyumba 4 inapangishwa maeneo ha Kigurunyembe. Ina vyumba self c 2, jiko, sebule, dining hall, etc. umeme na maji vipo. Bei 200,000 tsh. kwa mwezi x miezi 6. pm kwa maelezo zaidi.
 19. Kingo

  Toyota Chaser Avante (GX 105) inahitajika

  Wanabodi, Gari tajwa hapo juu linahitajika asap, milage: <80'000 km budget: 8-9m color: preferably NOT white be in good condition Tuma PM kwa mawasiliano zaidi.
 20. Kingo

  Natafuta kazi Katavi

  Wanabodi, natamani sana kufanya kazi mkoa wa Katavi. Mwenye links za huko anihabarishe. Kuhusu aina ya kazi, various - education, administration, banking, research, etc. A pm will be ideal.
Top Bottom