Search results

 1. H

  Mwalimu wa 'Tuition' kwa wanafunzi wa sekondari au shule ya msingi, muda wa usiku (saa moja jioni mpaka saa nne usiku), ijumaa tatu mpaka ijumaa

  Mimi ni mwalimu wa 'Physics' na 'Chemistry' (kwa sekondari), ninaweza pia kufundisha hisabati na sayansi kwa shule za msingi maana nimeshafundisha kwa miaka miwili), ninafanya kazi na kuishi Dar es salaam. Ninatafuta shule ya sekondari, shule ya msingi au 'Tuition centre' ambayo ina 'program'...
 2. H

  Natafuta shule ya kufundisha somo la Fizikia

  Natafuta shule ya kufundisha physics, Nina shahada ya sayansi katika fizikia (bsc in physics) Nipo jijini Arusha naomba kama kuna mtu anafahamu shule yenye uhitaji, basi anitaarifu. Namba yangu za simu ni 0759641184. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. H

  Namba za simu za Mfanyakazi wa Tanzania medical radiation and imaging council.

  Ndugu, habarini ? Naombeni mwenye namba za simu za Mfanyakazi mmojawapo wa Tanzania medical radiation and imaging council, ainisaidie ili niwasiliane nao.Muwe na mda mwema.
 4. H

  Utaratibu wa kupata leseni kuwa mradiolojia Tanzania.

  Habarini ndugu ? Nilihitimu bsc in physics, niliona tangazo la kazi Muhas walihitaji medical physicist mwaka Jana 2017. Walihitaji medical physicist, aliye na digri ya physics, radiology au medical physicist (ila wenye leseni ya Medical radiation and imaging council of Tanzania).Ninaomba...
 5. H

  Utaratibu wa kupata leseni ya kuwa mradiolojia Tanzania.

  Habarini ndugu ? Nilihitimu bsc in physics, niliona tangazo la kazi Muhas walihitaji medical physicist mwaka Jana 2017. Walihitaji medical physicist, aliye na digri ya physics, radiology au medical physicist (ila wenye leseni ya Medical radiation and imaging council of Tanzania).Ninaomba...
 6. H

  Msaada: Jinsi ya kupata 'past papers' zote za NECTA za masomo yote kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita

  Habarini ndugu ? Kama kichwa cha uzi kilivyo hapo juu, ninaomba anayefahamu jinsi ya kupata karatasi halisi (original) zote za masomo yote, za mitihani iliyopita ya mitihani ya kitaifa Tanzania (NECTA) Kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita; kuanzia 1988 mpaka 2017, naomba anielekeze...
 7. H

  Nahitaji meza ya kawaida ya mbao yenye futi sita

  Wakuu Nahitaji meza ya kawaida ya mbao yenye urefu futi sita, upana futi 2.5 .... 3.5, kimo km futi 3 (ile ambayo mtu akikalia kiti cha kiofisi basi anaweza kuandika au kufanya mambo mengine vzr bila shida).Ninahitaji na benchi mbili zenye urefu Wa futi 6.Nina elfu thelathini tuu, nipo Arusha...
 8. H

  Njia pekee, rahisi na ya uhakika ya kuingia JWTZ

  Habarini Ndg ? Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili badae awe mjeshi JWTZ lakini asiweze kufanikiwa kuwa hivyo wala kwa namna nyingineyo pia, akarudi...
Top Bottom