Search results

 1. B

  Naomba ufafanuzi kuhusu Walinzi wa Hayati Rais Magufuli

  Ningependa kufahamu weledi wa hawa walinzi wawili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli. Naona huyu mlinzi mweusi na huyo mwenye sigjda wamekuwa wakipokea sifa kemkemu kutoka kwa Watanzania kwenye mitandao ya kijamii. Mwenye kujua chochote kuhusu taaluma yao atujuze.
 2. B

  HAKI YA KUACHISHWA KAZI-Redundancy

  Wanajamvini naomba kufahamu haki za mfanyakazi anayeachishwa kazi na muajiri (ridandasi). Ni haki zipi za kisheria anapaswa kupatiwa. Pamoja sana.
 3. B

  Gazeti la serikali ni nini na linauzwa wapi?

  Naomba anayejua maana ya gazeti la serikali ni nini. Naskia skia tu gazeti la serikali lakini sifahamu ni gazeti la HabariLeo au Daily News au ni lipi hilo?Msaada pls.
 4. B

  Regina Mwalekwa au Regina Mziwanda?

  Leo nimemsikia Regina Mwalekwa katika amka na BBC lakini naskia anajiita Regina Mziwanda. Sijajua kwa nn baada ya kujiunga na BBC Swahili anajiita Regina Mziwanda
 5. B

  Benki ya FBME yafungiwa na BOT

  Nimesikia TBc kuwa BOT imeifungia Benki ya FBME kwa kudaiwa kuhusishwa na utakatishaji wa fedha chafu (money laundering)
 6. B

  Viongozi CHADEMA na uhusiano wa BOT

  Kuna uhusiano gani wa viongozi wakuu wa CDM na kuwahi kufanya kazi BOT? 1. Mzee Mtei alipata kuwa Gavana wa BOT 2. Marehemu Bob Makani alipata kuwa Naibu Gavana wa BOT 3. Freeman Mbowe alipata kuwa Ofisa wa BOT NB: Kunanini BOT na kuja kuwa kiongozi wa CDM?
 7. B

  Bajeti ya 2014/2015 ya kidigitali

  Kwa ninavyowajua waandishi wa habari wa TZ (makanjanja) na baadhi ya wabunge wa chama cha kijani, badala ya kuchangia hotuba ya bajeti basi wao watapongeza kusomwa kwa bajeti kwa kutumia Ipad. Nasubiria na magazeti ya siku inayofuata watakavyopamba Ipad badala ya hotuba.
 8. B

  Waziri, Mbunge, RC au DC mwanamke mwenye mimba

  Wadau sina kumbukumbu ya waziri au mbunge au RC au DC au kiongozi yoyote mwandamizi ambaye ni mwanamke anabeba mimba na kujifungua akiwa kazini. Inamaa hufunga kizazi au hawana wenza au hukaa mbali na wenza wao? Mwenye kumbukumbu atujuze
 9. B

  Abubakar Asenga

  Jamani naomba anayejumjua huyu kijana anisaidie. Ana cheo gani ndani ya CCM na serikali yake. Maana amekuwa akizungumza mambo mengi kuhusu CCM na baadhi ya viongozi wake hususani katika mitandao ya kijamii.
 10. B

  Matumizi ya dawa za kulevya

  Wadau naomba kufahamishwa matumizi halisi ya haya madawa ya kulevya hasa cocaine na heroin. Maana nachelea kuamini kuwa hawa mateja wa mkwajuni,kigamboni,Nyerere square au Raskazone ndio hii bidhaa iwe ghali kiasi hiki. Nataka kufahamu matumizi mengine ya dawa za kulevya yanayoifanya bidhAa hii...
 11. B

  UDSM yapandisha ADA 100% kwa Masters 2013

  Wadau inasikitisha sana kwa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)kupandisha ada ghafla kwa masters 2013. Mpaka watu wanatuma maombi ada iliyotangazwa ilikuwa Tsh 3,700,000/-kwa College of Arts and Social Sciences (CASS). Mabadiliko yanaonekana katika Admission letter ambapo ADA imepanda hadi Tsh...
 12. B

  UTUMISHI wanarudia kutangaza nafasi hizo hizo

  Wadau nawashangaa hawa Sekretarieti ya ajira ktk Utumishi wa umma kwa kitendo cha kurudia kutangaza nafasi hizo hizo bila kuita watu kufanya interview na kuwapangia vituo vya kazi. Mfano ktk tangazo lao la kazi la 16/4/2013 walitangaza nafasi kama Director of Planning II,Librarian II na...
 13. B

  Ajira Mwalimu Nyerere Memorial Academy

  Jamani nimeona tangazo la nafasi za kazi Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kupitia ----------------. Nafasi za assistant lecturers na tutorial assistant. Mara ya mwisho mwaka jana nafasi kama hz zilitangazwa na Tume ya ajira. Sasa hii imetolewa na chuo chenyewe. Anayejua mkanganyiko huu...
 14. B

  CCM Yashinda udiwani kata ya Mianzini-Mbagala

  Taarifa. CCM yatetea kiti cha udiwani ktk uchaguzi mdogo wa kata ya Mianzini Mbagala. CCM 1200 CUF 494 CHADEMA 315 NCCR 1 Source:Mgombea wa CDM ndg. Cuthbert Ngwatta Saulo
Top Bottom