Search results

 1. N

  Tumia njia hii kuhakiki data zako za kupiga kura

  Nimeona post nyingi zikiulizia kuhusu uhakiki wa data za mpiga kura! Mimi nilitumia njia ya online juzi nikafanikiwa kuona data zangu zikiwa sahihi! Inaonekana bado wanaendelea kuload data hivyo kuna baadhi ya watu mnaweza kuta bado data hazipo, ila baada ya muda zinakuwepo! Ingia tu...
 2. N

  Documentary ya umasikini mkoani Dodoma

  Wakuu ninaangalia kipindi Star TV kinachoonyesha maisha ya watu wa vijijini huko dodoma. Inaumiza sana maana watu wamekata tamaa na maisha maana ardhi imechoka na uzalishaji ni mdogo sana. Watoto wanaenda shule nusu mwaka wakati kukiwa na chakula tu kikiisha wanaanza kwenda porini kuhemea...
 3. N

  Je CCM wako tayari kufanya kama Rais banda wa Zambia 2015i?

  FAREWELL SPEECH BY HIS EXCELLENCY, MR RUPIAH BWEZANI BANDA, FOURTH PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF ZAMBIA, ON FRIDAY, 23RD SEPTEMBER, 2011 "I HAVE CALLED THIS PRESS CONFERENCE TO SAY A FEW WORDS. THE ELECTION CAMPAIGN OF 2011 IS OVER. THE PEOPLE OF ZAMBIA HAVE SPOKEN AND WE MUST ALL...
 4. N

  Elections 2010 Swali kwa Dr. Slaa

  Dr Slaa, kulikuwa na kasumba iliyozoeleka huko nyuma kuwa jimbo likichukuliwa na upinzani, huwa kuna visasi vinavyofanywa na serikali ya chama tawala vya kutotekelezwa kwa mipango ya maendeleo katika jimbo hilo kwa makusudi ili kuwakomoa wananchi wale. Kwa mfano kuna tetesi kuwa mgao wa umeme...
 5. N

  Kauli mbiu mpya ya maandamano ya cdm-tanzania kujivua gamba la ccm

  Wakuu, Nadhani kila mtu anaona jinsi watanzania wenzetu wananvyo danganywa na wanamagamba eti wanajivua gamba kwa kuwaomba baadhi ya watu kuachia vyeo ili kukisafisha chama. Magamba wanatumia mafisadi kama RACHAEL kuwa ndo watakaokifanya chama kiwe safi kama wataweza kuwashawishi kuachia...
 6. N

  social networks ndiyo iliyofanikisha kumng'oa dikteta wa tunisia

  Ndugu zangu nilko home leo nimebahatika kuangalia mjadala katika Aljazira TV, walikuwa waki discuss namna ambavyo social media zilivyo fanikisha mabadiliko huko tunisia. Jamaa mmoja kutoka tunisia alisema social media ndo zilifanikisha kwa sababu magroup mengine ya kawadi ya kijamii huwa yana...
 7. N

  baada ya ngumi za pua ccm yakimbilia mawe

  Nakumbuka enzi za utoto wetu ilikuwa lazima upigane ili kuonyesha na wewe umekuwa na hutaki mtu akuonee. Ishara ya kujua kuwa umeshinda ni lazima umtoe damu ya pua adui yako. Katika ugomnvi ule mtu akipokee kipigo cha kutokwa damu ya pua kitu kilichokuwa kinalinda heshima ya aliyepigwa ni...
 8. N

  Elections 2010 Voting without Fraud: Cheki hii presentation

  Watch this video:David Bismark: E-voting without fraud | Video on TED.com Tunataka uchaguzi wa kutumia system kama hizi ili kuondoa marumbano
 9. N

  Report on agricultural performance rejected by Mapunjo

  Source: Daily News of 19 Nov 2010 THE government has rejected the findings of a report showing continuous drop of the country's performance in agribusiness. Dubbed 'Policy, Regulatory and Institutional Environment for Doing Agribusiness', the report projected a further slump next year...
 10. N

  Elections 2010 Watanzania watapeliwa na Dalali wapangishiwa nyumba isiyokuwa na choo

  Msemo wa wajinga ndiyo waliwao umetimia tena kwa walala PUUUUU wa kitanzania. Kuna msemo waswahili husema "Nyumba isiyokuwa na choo haimzuii dalali kupangisha" Ujinga na umbumbu wa watanzania wametapeliwa tena na dalali(CCM) wamepangishiwa nyumba isyokuwa na choo, sasa wataanza kuhaha...
 11. N

  Elections 2010 Kipimo cha ushindi wetu(chadema) 2015 utatokana na ushindi wa serikali za mitaa 2014

  Wapendwa wanajamvi la JF, napenda kuwapongezeni kwa kazi nzuri tuliyoifanya ya kukifikisha chama chetu na Rais wetu Dr. Slaa hapa tulipo hii Leo. Ni ukweli usiofichika kwamba CHADEMA tumemefanya kazi nzuri naimewakuna wengi wapenda maendeleo na wanaochukia dhuluma wanayofanyiwa watanzania na...
 12. N

  Elections 2010 Ninani atazirudisha pesa za wahindi na matajiri wa kiswahili wanaoichangia CCM?

  Juzi niliingia duka la mhindi mmoja nikiwa natafuta kitu fulani. Nilishangaa kuona nguo za kijani nyigi zikiwa kwenye shelf, nilipouliza je anauza, aliniambia haziuziki, ila tunatoa bure kama nyongeza kwa mtu anayenunua kitu hapa. Nilijaribu kudadisi namna wavyozipata ikaonekana CCM...
 13. N

  Elections 2010 Wazee wetu wanatuangusha huko kijijini, Je tuwatose?

  Hivi majuzi nilitembelewa na mama yangu kutoka kijijini kwetu. nilitaka kujua hali ya kisiasa huko wilayani kwetu maana ni sehemu ya ngome ya Mzee Mapesa. aliniambia kuwa mchuano ni mkali mpaka kwenye udiwani. Nilifurahia maana hata serikali za vijiji vingi vinaongozwa na MAGEUZI (kama...
Top Bottom