Search results

 1. M

  Ushauri kwa Lowassa

  Lowasa nakushauri sana uachane mapema na mbio zako za kuutaka uraisi. Sababu kundi kubwa la viongozi wa CCM halikutaki, waliokushauri wamekudanganya. Jina lako litakatwa mapema kabla ya fainali!! Ukiangalia mpaka sasa hivi umeshatumia hela nyingi sana na mda mwingi sana kwa ajili ya kujisafisha...
 2. M

  Usibishane na John

  Mwalimu wake John alishaonywa kuwa asishindane kwa kupinga (bet) na John, isipokuwa kama mwalimu atakuwa na uhakika asilimia 100% kuwa atashinda. Siku moja darasani, John akapandisha mkono na akamwambia mwalimu kuwa nina uhakika najua kuwa wewe mwalimu umevaa chupi ya rangi fulani...
 3. M

  ISIS wamchoma akiwa hai rubani mateka wa Jordan

  Militants fighting for the Islamic State terror group in Syria and Iraq have claimed to have burned alive captured Jordanian pilot Moaz al-Kasasbeh while he was locked helpless in a cage. The footage, which is titled 'Healing the Believers' Chests' appears to show the captured airman...
 4. M

  Hivi Madaktari wanapenda Watu waishi healthy life

  Ni Ukweli Kuwa Kama hakuna wagonjwa, vile vile hakutakuwa na haja ya Kuwa na Madaktari...vile vile Kama hakutakuwa na magonjwa hakutakuwa na haja ha kuwa na mahospitali na healthy care Just imagine Kama kila mtu anaishi healthy life.... kweli kuna haja ya kuwa na Madaktari.???. Je...
 5. M

  CV ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema mbona ina Utata!!!

  CV ya Frederick Warema mbona siielewi sana!! Hasa ukiangalia mda aliosoma kuanzia O-Level mpaka alipopata diploma yake..Au kama alikuwa mtu mwenye ufauru mkubwa ..mfano A-level ilikuwa miaka 2 nk…Jeshi la kujenga Taifa hakwenda?? MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation...
 6. M

  Albinos in Tanzania: 'We're being killed like animals'

  9 December 2014 A new campaign launched in Tanzania aims to protect albino people after a rise in the number of them being murdered. In the last three years over 70 albinos have been killed, but only ten convictions have been made. There is a belief among some in Tanzania that the body parts...
 7. M

  Rais Kikwete aenda China akiwalilia Lupogo, Barongo

  RAIS Jakaya Kikwete ameanza ziara ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China huku akiwalilia Meja Jenerali Herman Lupogo (76) na Kapteni mstaafu John Barongo (72), ambao wamefariki dunia baada ya kulitumikia taifa kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais...
 8. M

  Maumivu katika Magoti

  Wana JF, tangu mwaaka jana ninasumbuliwa sana na maumivu ya magoti. Madaktari ambao nimewaona wameshindwa kunipa ufumbuzi. Maumivu huwa yananinza Mara ninapocheza mpira Mara kwa Mara. Maumivu yakinianza inaniwia vigumu hata kupanda ngazi. Naomba Msaada wenu wataalamu
 9. M

  Natafuta girl friend mjamzito

  Mwenzenu huwa nawazimia sana akina dada wajawazito. Hivyo naomba tuwasilane
 10. M

  Vigogo wagawana ardhi Masaki na Sea Cliff kinyemela?

  Jamani kuna usiri mkubwa sasa hivi wa kugawana viwanja katika eneo hili la Jeshi kalibu na nyumba za mawaziri Masaki na Sea cliff. Kwa habari nilizopata ni kuwa Mwinyi kesha pata eneo lake na viongozi wengine wakubwa wakubwa wameshagawana. Mpaka sasa hivi sijasikia kuwa serikali imewapa eneo...
 11. M

  Ndege nyingine yaanguka Khartoum

  Ndege ya aina ya cargo ya kirusi Antonov imeanguka Khartoum asubui hii masaa ya saa 1 na kuua crew wote saba. Ilianguka wakati ikiwa inapaa. bahati nzuri ilianguka uwanja ambao ulikuwa mtupu wa makazi ya watu. Uwanja wa Khartoum uko katikati ya mji wa Kharoum. Hii ni mara ya pili ndani ya...
Top Bottom