Search results

 1. W

  Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

  Hawa wenzetu wameshapita kipindi cha "UJUHA" cha kuteketeza resources zao kwa ajili ya mtu, wao wapo ktk maendeleo zaidi na hawana kabisa muda wa kujipanga barabarani kwa masaa mawili kumsubiri mtu. Nchi nyingi za Africa, bado tuna huo Ujuha au kwa lugha ya mtaani Ushamba. Hatujipi kazi ya...
 2. W

  Kesi ya Mbowe isizuiwe watu kutaarifiwa

  Naomba kuuliza, hivi Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), halioni jinsi watawala wanavyotumia vyombo vya Dola kunyanyasa raia wake? Je Jeshi ni kulinda maadui wa Raia walio nje tu ya mipaka na wala si Maadui walio ndani ya Mipaka? Je Jeshi halijui hao wanaonyanyaswa ni Ndugu zao? Au jeshi nalo...
 3. W

  Vijana zaidi ya 500 wamekutwa wamehifadhiwa sehemu mbalimbali Mkoa wa Kilimanjaro wakifanya mafunzo yasiyojulikana

  Kumbe siku hizi uhuru wa kutembea na kuishi popote Tanzania bila kuvunja sheria haupo tena au mpaka tuombe ruhusa Polisi? Bila ruhusa tunaitwa wazurulaji? Mhhh hivi tunaviongozi gani Tanzania?
 4. W

  Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

  Kweli kabisa...Tume wataambiwa...piga ua galagaza....SSH lazima ashinde. Mchezo umeisha.
 5. W

  Rais Samia amenikosha sana kwa kutangaza azma yake, watoto wa mjini wanaita kupindua meza kibabe

  Hii ni kama vile tungo tata? Wataalamu wa Kiswahili naomba mdadavue!
 6. W

  Wafuasi nguli wa CCM waanza kunyukana humu jukwaani kuna nini tena?

  Wanatekeleza msemo wa kutumia Dola ili wabaki madarakani......labda na Mahakama nayo ni Dola yao kwahiyo hawana wasiwasi...Judge atapindua ushaidi uwe wa kweli.
 7. W

  Wito wa mpito kwa DPP: Wakili aliyemwandaa ACP Kingai aondolewe jopo la Mashtaka la akina Mbowe

  Ahsante Mzee Vuta ni kuvute. Hiyo Kesi imeandaliwa na Serikali ya Chama tawala. Je huko Chamani hii ndio Sera na Ilani yenu ya Uchaguzi kubambika watu Kesi, na Kuvielekeza vyombo vya Dola kuwaisaidia? Au ndio utekelezaji ya yule aliyesema "Tutatumia Dola Kubaki Madarakani"?
 8. W

  Kwanini Serikali haijengi Techinical College Kanda ya Ziwa badala yake wanarundika vyuo vyote Dodoma?

  Wazo zuri ila mpango huo haupo kwenye ILANI ya chama kilichoshika hatamu.
 9. W

  IGP Sirro viatu vimekupwaya mno, omba kupumzika

  Hawa viongozi wetu hawa!!! Dahhh......yaani hata kama wanania nzuri....hivi unatangaza mbinu za kukabiliana na adui hadharani? Kwanini usipandikize watu humo kimya kimya wakaanza kuangalia hicho unachokitaka? Kweli ombwe la uongozi Tanzania limekuwa too much sasa...ndio maana Kipanya...
 10. W

  Serikali: Jeshi la Polisi kurejesha mfumo wa zamani wa vidhibiti mwendo kwenye mabasi ili kupunguza ajali

  Mbona mnataka kuturudisha Ujimani?? Hivi mpaka leo hamjajua sababu ya ajali ni nini? Hao wanaoendesha magari ya abiria mmewachuja na kuona wanafaa kufanya hiyo Kazi? Mtaweka hivyo watu watavilegeza, then mtakuja na matuta barabara zote? Inaonyesha kabisa nyie mliopewa dhamana bado mnaishi...
 11. W

  #COVID19 Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

  Kwa nini iwe lazima? Kifo ni kifo tu uwe umechanja au hujachanja....
 12. W

  Hii kauli ya Makamu wa Rais ina maana gani?

  Kwahiyo miaka ya 80 walipotaka kufanya mambo yao..waliokuwepo walikuwa hawana Busara? Viongozi Tanzania bhana...inachosha kweli kweli..................dahhh
 13. W

  Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

  Kuongoza Nchi sio mchezo, unatakiwa kiongozi kuwa na vision kubwa na akili haswa...hembu assess viongozi wetu wanaotoa maamuzi, ndio utajua tuko wapi Tanzania...khy haya yatokeayo tusishangae!
 14. W

  Jakaya Kikwete: Rais Samia anaendesha nchi vizuri, tuendelee kumuunga mkono

  Muda wake uliisha huyu Mzee kimya, hatuhitaji kusikia lolote toka kwake, kwani sisi hatuwezi ku-assess utendaji wa Kiongozi?
 15. W

  Serikali: Mkopo tuliopewa na IMF tutautumia kujenga madarasa na kuimarisha Huduma za Jamii vijijini

  "mkopo wa zaidi ya dola za Marekani 500m" We msemaje wa Serikali, Hiyo uliyosema ndio kiasi gani? Kwanini hutoi takwimu iliyokamilika? Au ndio upenyo wa kupiga? Hembu uwe unautaabarisha Umma, kwa habari zilizokamilika.
 16. W

  Jenerali Ulimwengu: Sioni ajabu mapinduzi ya kijeshi Guinea. Yatafika haraka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

  Hongera Generali Ulimwengu. Kwa uzoefu wake wa Siasa za nchi hizo, na ukizingania amekuwa ndani ya siasa hizo kwa miongo takribani 4 hivi, anajua kabisa nini kinaenda kutokea soon. Watu wanasahau kuwa hao wanaofanya mapinduzi si ndugu wala wajomba au mashangazi wa watawala. Ndugu zao ni hao...
 17. W

  Sijaelewa kauli ya AU dhidi ya serikali ya mpito Guinea

  AU ni genge la Walafi wa Maslahi. Sijawahi kuwasikia wakikemia Viongozi wanaokiuka haki za msingi za Raia. Ila wakipinduliwa ndio wa kwanza kulaani na kuto tambua.. Nadhani ni sawa tu kutowatambua hao wafanya mapinduzi sababu lengo leo ni kuwapa Raia kile wanahitaji...wakati hao wa AU ni...
 18. W

  Nampongeza Rais Samia kwa kukubali kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

  Naomba kuuliza, hivi ktk historia na utamaduni hasa wetu wa Kitanzania, tuna Machief Wanawake?
 19. W

  Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

  Ukiacha ushabiki wa Kisiasa na Kivyama - Tundu Lissu ni Jamari wa mambo mengi hasa ya Kisheria. Ni binadamu wachache sana walio kama Lissu. Kwa kifupi is " a rare Gene"
Top Bottom