Search results

 1. M

  The Only Thing We Have to Fear is Fear itself

  Mbowe Karibu sana, katika hii Forum. Kuna watu humu wamekuwa wakitoa masomo mazuri na ya maana kwa taifa letu na pia ushauri mzuri TENA WA BURE KWA VIONGOZI WA UPINZANI KAMA WEWE KWA KUWA NYIE MNA JUKWAA. KARIBU SANA UJIFUNZE TOKA KWETU NASI TOKA KWAKO. hONGERA SANA KWA KUAMUA KUNOA...
 2. M

  Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

  Mzee Es, hata mimi ninamheshimu sana huyu Mzee Mkono! Lakini hadi sasa hainingii akilini kwani ameamua kujiingiza katika hii kesi! ITAMUMALIZA KISIASA, NA GRAPH YA HESHIMA YAKE INAWEZA POROMOKA VIBAYA SANA! MAUAJI YA WAZI YALIYOFANYWA NA DITO NI YA KUTETEA KWELI. NINAKUBALIANA NA WEWE...
 3. M

  Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

  Lowassa jitume kabisa! Huko Nyamongo tunasikia naibu waziri wa madini wa wakati huo(Masha) alitoa vibali kwa barrick ili wawanyangánye wanach ardhi!! Barrick walishindwa kukubaliana na wanachi juu ya malipo ya ardhi yao. baada ya kuona hivyo hao barrick waliwasiliana na Wizara husika na hapo...
 4. M

  BEMBA wa DRC akileta Ukaidi nchi za SADC zimudhibiti asiachiwe kuua watu tena!

  Ugandan rebels in Congo are: the Lord’s Resistance Army (LRA), the Allied Democratic Forces (ADF), the People’s Redemption Army (PRA) and remnants of the West Nile Bank Front (WNBF). These groups are trying to team up to form an umbrella body to be based in Ituri district. The fact that the...
 5. M

  BEMBA wa DRC akileta Ukaidi nchi za SADC zimudhibiti asiachiwe kuua watu tena!

  Someni kwa wale wenye intereste na siasa za maziwa makuu. http://www.newvision.co.ug/D/8/459/534656 Post-election DRC: The Uganda-Rwanda dilemma Monday, 27th November, 2006 E-mail article E-mail article Print article Print article WON POLLS: Joseph Kabila WON POLLS: Joseph...
 6. M

  Ukiwaona Ditopile Kills a DalaDala Driver!

  Kwa kweli kitendo Mkono kuingia katika hii kesi kimenishangaza! Japo akina Ringo wameajiriwa na Kampuni yake? Tumekwisha!!!!!!!
 7. M

  Kashfa ya Richmond: The FACTS

  Majambazi makubwa baada ya kuona watanzania wanapiga kelele sana kuhusu ujambazi wa IPTL!! Ikabidi majambazi wakae chini na kusema inabidi sasa tutoke na Richayamondi!! ili aipil ife! inauma!!
 8. M

  Ni aibu kubwa kuwa ombaomba huku tukigawa mali kama njugu!!

  http://www.mwananchi.co.tz/mwananchisite/Mwananchi/Habari/Habari3.asp Serikali yafunga mgodi wa dhahabu Musoma Na Mathias Marwa, Musoma SERIKALI imesitisha shughuli za uzalishaji wa dhahabu kwenye mgodi wa Buhemba Gold Mine (BGM) katika Kata ya Buhemba, Wilaya ya Musoma Vijijini...
 9. M

  Does this [Interview] give answers on our mining contracts??

  http://www.mwananchi.co.tz/mwananchisite/Mwananchi/Habari/Habari3.asp Serikali yafunga mgodi wa dhahabu Musoma Na Mathias Marwa, Musoma SERIKALI imesitisha shughuli za uzalishaji wa dhahabu kwenye mgodi wa Buhemba Gold Mine (BGM) katika Kata ya Buhemba, Wilaya ya Musoma Vijijini...
 10. M

  Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

  Akina sumaye na rafiki yake BMW hata kama hatawafungulia kesi hivi karibuni, iko siku tu watanzania wataamuka tu! Kama mnasema madini yameisha yameenda wapi, na tumeisha sikia kuwa ndege zilukuwa zinatua zinachota na kuondoka!!!!! hivi ubinafsi huu utaisha lini...
 11. M

  Ukiwaona Ditopile Kills a DalaDala Driver!

  sipendi kuendeleza malumbano na wewe quartz. KAMA UNASEMA MADREVA WANAVUNJA SHERIA HATA MIMI NINAKUBALIANA NA WEWE KWA HILO TENA WANAUDHI SANA!! SASA NI NANI WA KUWABANA HAWA MADREVA! UNANATAKA KUITETEA SERKALI KUWA INAWABANA????!! BYE!
 12. M

  Ukiwaona Ditopile Kills a DalaDala Driver!

  Sheria za barabari hazifuatwi kwa sababu wamiliki wengi ni viongozi! Iliwahi kusemekana wenye daladala wengi ni viongozi hata hasa awamu iliyopita. Mdreva wanakuwa na kiburi kwa sababu anajua kwa mfano gari ni la RPC, au la waziri wa sheria kwa mfano! serikali iwe makini na iwabane waendesha...
 13. M

  Ukiwaona Ditopile Kills a DalaDala Driver!

  quart acha upuzi wako we! sis tumepotelewa na ndugu yetu wewe unakuja na msalahi ya kipuuzi. Tunathamini gari kuliko maisha ya mtu! Pia sheria zipo kama serkali yenyewe imeshindwa kuwabana madreva wakorofi na wahuni, ni nani wa kulaumiwa kutokana na ajari ni serikali kushindwa kazi au...
 14. M

  Wasi Wasi wa Udini

  Kitendo cha Uganda Somalia pamoja na Iran, Yemen, Libya etc kusemwa na UN kuwa inashiriki katika kuchagiza vita vya somalia NI MATOKEO YA KUJIUNGA NA OIC??? Haya sasa ngoja kwetu wsng wafanye jitihada za kutaka kujiunga na OIC!
 15. M

  Ukiwaona Ditopile Kills a DalaDala Driver!

  Ninaomba kuuliza hivi tanzania ina sheria mbili moja ya viongozi na ya pili ya watu wa KAWAIDA!!! http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2006/11/16/78483.html Viongozi hasa wa CCM acheni ulevi wa madaraka utatupeleka pabaya! Jirekebisheni jamani, msijisahau, wananchi wakiwageuka mtakuwa...
 16. M

  Wasi Wasi wa Udini

  zanzibar iachwe iungane na OIC iili kelele zipungue maana. Maana mkombozi wao wanaona ni OIC! Mimi ukiniuliza kuhusu muungano, nitasema zanzibar iachwe iwe nchi kamili. Na Tanganyika izaliwe tena na tusiwe na serikali ya tatu! Wapemba/zanzibar wote walioko Tanga na Dar nk warudishwe...
 17. M

  Ukiwaona Ditopile Kills a DalaDala Driver!

  sijui kwa kuwa wanajua huyu ana urafiki na mzee. http://www.mwananchi.co.tz/mwananchisite/Mwananchi/Habari/Habari0.asp
 18. M

  Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

  kwanza hii mada ya ni sawa na ile ya nyumba zserikali kurudishwa ipo. lakini tunafungua mada nyingi zinazofanya. Hii inakuwa ngumu kuweka data pamoja. Ningekuwa adimin. Ningeunganisha mada nyingi sana humu! na kuwa na chache but clear and having the same message...
 19. M

  Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

  wanamtandao hata humu wamo wanampiga vita sana! Lakini ya kwao hayasemwi!! Tunaelekea wapi? Mnadhani wote ni wajinga humu?kuwa mnaweza kutudanganya kama watoto?. Nyumba zirudishwe zote hizo za ndugu zake na zenu mlizonunua au walizonunua ndugu zenu.
 20. M

  Kashfa ya Richmond: The FACTS

  Mzee ES, hata mimi hainingii akili mwangu eti JK ana hisa katika hilo kampuni! Ili iweje? kama ni hela JK sasa anazo itakuwaje awe na tamaa ya aina hiyo. Na kama ni kweli basi dunia hii kweli imekwisha! watoto wake wame mfano wa kigwa wapate mali zao kwa uhalali. Wana shida gani ya kuanza...
Top Bottom