Search results

 1. ABINALA

  Imenikera. Hivi inawezekana ikawa ni kweli anachosema!?

  Nilimpata Mke wangu kwenye platform hii! Lakini amekuwa pasua kichwa mno Akikosa inabidi nimwombe msamaha Leo nimekuta chati ndefu ya kimahaba na mwanaume mwingine whatsapp. Nimemwomba simu yake kazingua. Nikaamua kumnyang'anya na kuisoma. Amenimind noma Nafanyaje sasa. Kwani hataki...
 2. ABINALA

  O need

  Hi my colleagues! I am on need of a sweet partner for deep insides! For anyone come inbox I am a male being
 3. ABINALA

  Msaada: Naomba kufahamu taratibu za mikopo taasisi za fedha

  Habari za wakati wana jamvi! Ninalo langu swali la kutaka kujua taratibu za mikopo kutoka taasisi za fedha. Nimewahi kukopa katika bank moja na bado ninalipa mkopo Niliwahi kusikia kuwa kuna issue ya kutop-up lakini sharti kuwe kuna ongezeko la mshahara kama ni Mfanyakazi. Kwa hali ya sasa...
 4. ABINALA

  Nampa Taraka

  Kama kichwa cha habari! Nimechoshwa na stress za ndoa Nataka kuwa huru kwa kumtariki Mke wangu. Sasa sijui muundo wa hiyo taraka msaada tafadhali Kwamaana sijawahi kufundishwa popote namna ya kuandika taraka zaidi ya barua,muhtasari n.k
 5. ABINALA

  Wanawake Tumieni Password

  No kweli kuwa sio jambo LA kukana/kupinga kwamba wanaume tunapaswa kulaumiwa juu ya sex before marriage na kusababisha watoto out of wedlock. Nyie akina Dada mnawaamini vipi wanaume? Hata mnadiriki kuitoa sadaka miili yenu kwa wanaume ambao hamna uhakika kuwa watawaoa? Mbaya zaidi unakubali...
 6. ABINALA

  Nimepata mke JF lakini bado nina hofu naye sana kuhusu ex wake

  Habari za majukumu ndugu zangu! Napenda kuwapongeza waliofungua/anzisha huduma hii ya jamii forum! Kwa wale ambao huuliza kama kweli unaweza kupata mwenza humu nawaambia jibu in NDIO kwa maana Mke wangu nilimpata hapa na kilichonifanya kuwa naye mbali na comments za watu kuwa hapa hakuna...
 7. ABINALA

  Marafiki Karibuni

  Friends are needed.As long as you can decide to have friends or not;friends are found ,and you can put criteria for your friends: Therefore I am asking for heterogeneous friends to share all life's concerns. You are warmly welcome pm me so that I can see you.I am 32 years old living in Kilimanjaro
 8. ABINALA

  The love of my soul

  Habari za wakati ndugu zangu, Ninapenda kuomba msichana urefu wa cm 160, mweupe kidogo, mcha Mungu, elimu form six na kuendelea, bikira. Mnyenyekevu, kabila lolote, asiye na hasira mbaya; asiye na makuu. Mimi ni mkristo; elimu degree; mweusi; urefu futi 5, mpole, najua kupenda, tafadhali mdada...
 9. ABINALA

  Nifahamisheni

  Je ni kweli kama mwanaume ni bikira ni lazima amwoe mwanamke bikira? na je bikira ni tiketi ya ndoa imara? Je kisaikoloj
 10. ABINALA

  Natafuta material wife

  Jamani MMU nahitaji mke mwema awe na sifa zifuatazo;bikra,elimu kuanzia form4,mkristo,mcha Mungu,mrefu kiasi,mweupe kias
 11. ABINALA

  Nimwacheje bila kumuumiza?

  Nimepata mpenzi wa kike JF,na tumeahidiana mengi ,baada ya kuonana sijampenda.Nifanyaje kumuacha bila kumuumiza?
 12. ABINALA

  Nifanyaje?

  Nina 29rs,sijawahi kungonoka,nasubiri siku ya honeymoon, sinapesa za mahari na harus,kisaikolojia naathirika nifanyaje?
 13. ABINALA

  Homa kali

  Kiganja mkono wa kushoto,wayo wa kushoto,nyuma ya bega la kushoto,kuna ganzi na kuwaka moto ni nini hii? msaada tafadhali.
 14. ABINALA

  Langu swali kuhusu wapenzi wa zamani

  Hi! wana MMU.Hivi ni kweli kuwa wanawake huwakumbuka (tu)daima wapenzi wao wa kwanza hata baada ya kuolewa(walowabikiri)
 15. ABINALA

  Langu jambo

  Hi! wana MMU,naombeni ushauri je! ni sahihi kumuoa mwanamke ambaye si bikra? na ukizingatia mimi sijawahi kungonoka.
 16. ABINALA

  Early In Early Out

  Yamenikuta!!! Kwaherini
 17. ABINALA

  Breaking heart!!!

  Baada ya uhitaji wa mke,naweka hadharani,nahitaji mke mwema jamani! awe mkristo,umri20-26,elmu 4m4-,mm n edctn officer2
 18. ABINALA

  ARVs

  Jamani wana MMU tuachane na ngono zembe,kushea vitu vyenye ncha kali na CARREERZ pia waathirika wajalini hiv free ppo!!!
 19. ABINALA

  Ufahamu!!!

  Naombeni jibu je!,ni matatizo gani haya,ninapomtongoza mwanamke akianza ongea sauti ya kimahaba mimi risasi ishafyatuka!
 20. ABINALA

  A Surrender!!!

  Nimeamini mke mwema anatoka kwa Mungu kwani nishasota humu muda mrefu hakuna kitu KWAHERINI HAPA PENU HAPANIFAI! LET IT
Top Bottom