Search results

  1. mpapamwali

    Vyeti vyangu feki nifanyeje?

    Hi to everybody, Tafadhali kichwa cha uzi kinajieleza, Katika uhakiki wa kwanza nilipona sikugundulika kama nina vyeti feki. Nimesikia uhakiki unarudiwa upya, je nifanyeje? Ofisi naiona chungu sina amani moyoni.
Top Bottom