Search results

 1. T

  Tatizo la Mo Dewji ni Ujanja Ujanja

  Wanaosubiri underdog ni mabingwa back to back miaka minne na wanaovunja mikataba wamekuwa wasindikizaji kwa kipindi chote hicho na wanashiriki michuano ya kimataifa kwa kubebwa! Kweli upeo wako wa kufikiri ni finyu kabisa!
 2. T

  Askofu Bagonza: Ukuu wa Katiba VS Ukuu wa Rais

  Hoja hujibiwa kwa hoja si kwa maandishi ya kimihemko na kijuha kama haya!!
 3. T

  Naiona Tanzania iliyopoteza muelekeo. Kama ni bichwa la treni limepoteza uelekeo

  Ekifile kifile...acha kutusumbua. Muache mwendazake apumzike.
 4. T

  Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

  Kwa combination hizi binafsi naona hazitoshi, wangeongeza na nyingine mbili ambazo ni KMC yaani Kiswahili, Mathematics na Chemistry na AFC yenye Agriculture, French na Chemistry. Au mnaonaje wadau?
 5. T

  Poleni wafanyakazi wenzangu, labda kuna kicheko huko mbele

  Mhusika wa kutangaza kupandisha watumishi madaraja ni waziri wa utumishi. Sent using Jamii Forums mobile app
 6. T

  Afande Msoma Qur'aan anaweza kuwa katupiwa jini tusiisingizie Corona

  Kila nafsi itaonja umauti. Haijalishi ni mfuasi wa Yesu (Issa Ibn Mariam), Muhammad SAW au ni pagan. Hivyo jiepushe na upotoshaji wako. Kudhihirisha hili ndio maana umeona wachungaji (mnaowaamini kuwa wameokelewa .....and they have a good faith in jesus christ wamekufa kwa vifo vya ghafla kama...
 7. T

  Afande Msoma Qur'aan anaweza kuwa katupiwa jini tusiisingizie Corona

  Hivi wote wanaopata umauti wa ghafla wanakuwa wametupiwa jini! Ndugu, kama Mwenyezimungu hakukujalia uwezo wa kutafakari kabla ya kuandika na kupost ujinga kama huu, ni bora kutoandika chochote na kukaa kimya!.. This is absolutely nonsense! Sent using Jamii Forums mobile app
 8. T

  Sauli Luxury Bus njia ya Mbeya naona ndio mfalme mpya Newforce hoi

  Mmiliki si Sauli Mbunge bali ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu wa Chunya. Ukiangalia logo katika uniform zao utaona ina chepe na sururu ambazo ni zana muhimu za uchimbaji zilizompa utajili. Sent using Jamii Forums mobile app
 9. T

  Sauli Luxury Bus njia ya Mbeya naona ndio mfalme mpya Newforce hoi

  Mmiliki si Sauli Mbunge bali ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu wa Chunya. Ukiangalia logo katika uniform zao utaona ina chepe na sururu ambazo ni zana muhimu za uchimbaji zilizompa utajili. Sent using Jamii Forums mobile app
 10. T

  Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

  Probably you wanted to mean "How" and not "why" Europe underdeveloped Africa. Sent using Jamii Forums mobile app
 11. T

  Dunia imepumzika, Usawa umerudi, Afrika imeshangaza Corona itaondoka kama ilivyokuja.. Bila tiba wala kinga

  Tafakuri yako ni nzuri mkuu but something to note is that global movement inategemea sana financial stability na economic strength ya mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla wake. Kwa hali ya kiuchumi ya wa Congo (DRC) in particular kama core point ya Ebola na Waafrika kwa ujumla, uwezo wao wa...
 12. T

  Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

  Kwani thamani ya damu ya binti huyu ni sawa na million 350? Sent using Jamii Forums mobile app
 13. T

  Mkuu wa Mkoa asitisha hotuba kupisha adhana

  Hili ni suala tu la Viongozi wa Serikali kuonesha utii kwa mambo ýanayohusu imani. Kwa vile huyu kiongozi ni muislamu na anafahamu taratibu za adhana ilikuwa ni lazima afanye alichokifanya. Katika tukio linalofanana na hili mwaka 1992 Rais, mstaafu wa Awamu ya II Mzee Mwinyi akiwa anahutubia...
Top Bottom