Search results

 1. Dharafu

  TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

  Hakika sisi ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarudi....pole kwa msiba mzito
 2. Dharafu

  Askari Polisi Afa Maji Akimkimbiza Mtuhumiwa

  Katika dini zote sio ukristo sio uislam mwenyezi mungu anasistiza watu wafanye kazi wapate halali yao kwa maana ya riziki zao.. mwenyezi mungu katika al Quran Kareem suratul jumaa asema na itakapokwisha swala tawanyikeni katika ardhi mkatafute fadhira za mwenyezi mungu pia hata katika biblia...
 3. Dharafu

  Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

  Mkuu nimefurahi sana hapa kusikia ukiowaona wengine wapo kwenye dream house zao roho yako inafurahi then inakupa nguvu zaidi ya kupambana bila shaka...ooh kama hivyo ndivyo jinsi ulivyo basi utabaki kuwa juu sana
 4. Dharafu

  Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

  umeandika vema sana mkuu...ili ni jambo la kuzingatia kwakweli kama kweli unaipenda nafsi yako, inakuaje mtu hajakufanyia lolote baya afu unajikuta tu eti unamchukia..huo ni ugonjwa mbaya sana wa nafsi..
 5. Dharafu

  Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

  As long as hakuna qualifications au entry characteristics za kutumia JamiiForums basi hakuna haja ya mtu kujikweza na kijiboresha mbele ya watu kuwa anatumia JamiiForums au Twitter kwa sababu kila mmoja anaweza kutumia muda wowote akitaka. Na hata kama pengine kungekuwa na rewards kwa users wa...
 6. Dharafu

  Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

  Binafsi situmii mtandao wowote wa kijamii isipokuwa WhatsApp na JamiiForums. Ila sizani kama mtu kutumia Instagram na Facebook ndio mizani ya kusema kuwa ana akili ndogo au uwezo mdogo wa kufikiri, au mtu kutumia Twitter na JamiiForums ndio mizani ya kumpima mtu kuwa ni great thinker. Kama ni...
 7. Dharafu

  Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza; Mvuvi Nigeria atafuna samaki mwenye thamani ya mabilioni ya shilingi bila kujua

  Upo sahihi mkuu sema kwenye "Pacific tu" ndio pameleta contradiction kwa watu
 8. Dharafu

  Nimeamini mwenye akili ni anayemaster mtaani, pamoja na akili zangu za darasani milioni 40 imepeperuka

  Mkuu if I'm not mistaken umesema kuwa unatarajia kuacha kazi mwakani 2022, by now una magoli tisa, vipi kuhusu management na supervision ya magoli yako hupati taabu maana unahitajika kazini pia magoli ni lazima uyasimamie maana ndio umeanza and building a thing is like a child
Top Bottom