Search results

 1. N

  Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

  Kwa nini Mahakama ya rufaa isingeamua moja kwa moja aachiliwe huru kama kilikuwa na ukiukwaji mkubwa wa kisheria? Is this not another delay tactic?
 2. N

  Huyu Jamaa Aliyesimama Kushoto Kwa Rais Magufuli Ni Mlinzi?Je Yuko Sahihi Kwa Akifanyacho?

  Awe mlinzi au asiwe mlinzi. Uwepo wake na muonekano wake pale ni kichefuchefu, umetoa picha mbaya sana. He is disgusting!
 3. N

  I got it! Mheshimiwa Spika mnataka kutuloga!!?

  Imani yangu kwako MM imepungus sana. Nayasubiri kwa hamu majibu yako hapa kabla imani kidogo niliyobakisha juu yako haijaisha kabisa. Sad!
 4. N

  Najiuliza maswali kuhusu Waziri Mkuu atakayetokana na UKAWA

  Je hii inaeza kuwa ndio tafiri sahihi ya katiba? (wabunge) wengi = simple majority (wabunge) wengi Zaidi = absolute majority What would be the implication now 2@ Kiranga/ Pasco
 5. N

  Shibuda kufukuzwa CHADEMA

  Kama kuna kosa kubwa na la kiufundi CDM wanaweza kufanya ni kumfukuza Shibuda. Huwezi kuwa na wanachama wote wenye mawazo sawa kwenye chama chochote kile cha siasa duniani. Hata USA Republicans yupo Senetor wa Maine Susan Collins na mwenzake Olympia Snowe wanajulikana kama the most liberals in...
 6. N

  Swali la kizushi: Makao makuu ya DPP yako wapi na kwanini?

  Naombeni kufahamishwa: Hivi kuna umuhimu kweli wa hii ofisi? Mi nadhani hawa investigators (TAKUKURU etc.) should go on prosecuting by themselves. Otherwise mi naamini kabisa DPP yupo pale kisiasa zaidi.
 7. N

  FikraPevu: Waziri Chami ajibu mapigo sakata la TBS Bungeni

  Philemon, ukweli ni kwamba Chami anahusika na huu ufisadi au basi ni mzembe. Mbona Magufuli alimuondoa Mrema pale Tanroad na hakukuwa na lawama? Chami alishindwa nini kuwa wa kwanza kutoa taarifa kwa CAG na kwenye baraza la mawaziri kama alikuwa anaogopa kukiuka taratibu za kumfukuza Ekelege...
 8. N

  FikraPevu: Waziri Chami ajibu mapigo sakata la TBS Bungeni

  Analalamika hakupewa taarifa na CAG, ina maana yeye hajui nini kinachoendelea hapo wizarani? Nani alitakiwa kuwa na taarifa kwanza, yeye au CAG. Yaani uchafu ufanyike wizarani kwako halafu unalalamika hukupewa taarifa? Sasa wizara inaongozwa na nani? Tangu mwenyekiti mpya wa bodi ateuliwe na...
 9. N

  MwanaHalisi yamshambulia Sitta

  Is this what you guys mean by "Kubenea kanunuliwa? Tafakari! Rostam Aziz anacheza kama Pele | Gazeti la MwanaHalisi
 10. N

  Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

  Mwanakijiji inawezekana story unayoitumia kum-quote Balozi imeandikwa na "kanjanja". Amejikalia ofisini tu na kuweka maneno yake kwenye story nzima. Hata uandishi wenyewe si umeuona? Ni wa ajabu kweli. Inasikitisha kwa kuwa ndio media house zetu zilivyo. Kwa hiyo kwa maoni yangu matundu mengi...
 11. N

  Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

  Hi hawa jamaa (Kina Kusaga) hawawezi kumgundua Afro kutokana na hizi threads zake kweli?. Ikiwa ni hivyo, wasiwasi wangu ni kwamba watamla nyama akiwa hai!
 12. N

  Kauli za kisiasa zilizowahi kuwaudhi sana Watanzania

  Hii nimeipenda! Lol; mbavu zangu jamani! Asante Gabu!
 13. N

  Sababu 51 za Kikwete kutogombea 2010

  Hivi ni nani haswa tunayetaka achukue nafasi ya Kikwete? Nakubali kabisa Kikwete ana upungufu wake mkubwa tu. Lakini siko tayari kuona nchi inarudi enzi zile za kina Mkapa! Au hata za Mwinyi! Kama kuna kitu kinachonivutia mimi ni jinsi Tanzania inavyokuwa kidemokrasia. Kwa mara ya kwanza sasa...
 14. N

  Vigogo wapigana vikumbo harusi ya binti Lowassa

  Mwandishi wa habari hiyo anaweza kuwa bingwa wa udaku hapo Tz, yaani kaandika muda wa watu wote walivyotoka hapo Ukumbini! Hadi muda wa ukumbi kusafisha na kuondolewa viti kaandika! Tena ana macho makubwa sana kiasi cha kuona maandishi madogo ya Hitachi Halafu akashindwa kusema ilikuwa...
 15. N

  DPP amvaa Dk Hoseah, ataka mdahalo majalada kesi za kifisadi

  Tatizo la Feleshi amejipachika madaraka ya uhakimu na kutoa hukumu kabla kesi hazijaingia mahakamani. Feleshi ni kikwazo. Na kwa jinsi alivyojipachika madaraka sioni sababu yoyote ya kuwa na mahakama kwani ofisi ya DPP ndio yenye kuhukumu. Hata hivyo ukweli unajulikana. Anatafuta kila sababu...
 16. N

  Kwa nini ni KLM tu inaua KIA?

  Rekebisha typo kwenye heading ya habari kabla hujaposti! "tuinaua?" ndio nini?
 17. N

  Was Mkapa Wrong on This? Really?

  Ubinafsishaji nimzuri sana kama ukiondoa corruption! Ben aliingiza rushwa kwenye kila jambo hata lililo jema alilokuwa anafanya. Matokeo yake hata yeye mwenyewe anaona noma. Nilikuwa nasoma habari ya Liberia kwamba wanafanya majadiliano na makampuni yaliyoingia mikataba ya kifisadi wakati wa...
 18. N

  Tuhuma dhidi ya JK zaikoroga CCM

  Sio muoga. Hadi sasa JK hajaonyesha kujali. Ama kweli jamaa kichwa ngumu!
Top Bottom