Search results

 1. S

  Mbinu za kukabiliana na watu wasioelewa somo aka mazingira ya watu wengine

  Watoto watukutu mnaoshindwa kuwa na society skills tujifunze kwenye movie hii siyo kazI kutengeneza KAZI
 2. S

  Siasa za Dini: Neno la bwana ni kitabu cha Hesabu kinachotoa project ya Kufanya KAZI pamoja katika kuondoa Siasa Ngumu

  Kitabu cha dini ya kikristo yaani Bible kinatumika Sana katika Siasa za kila MTU anaukuhimu na mawazo yako yatatawala MILELE.. kwakuwa Leo ni siku ya jumapili ni Bora tujibonyeze kwenye kitabu cha Hesabu tukamsome Simon na population yake ambapo aliamua kuwapeleka vijana wake vitani ili kuondoa...
 3. S

  Siasa za maisha magumu na nini utataka baada ya hapo!?

  Hapo ndipo kila MTU alikuwa hapotezi muda kupelekea kwenye Siasa za KUPLAN kupelekea maisha ya mbele.. aliyefika mbele utajua kama unamradi wa matofari ilikuwa hupotezi muda maana IPO siku geti na bati tutayeyusha na kutengeneza mabati ya JAMII mtaa Kwa mtaa.. Tunamawazo Mazuri Ila yataishia...
 4. S

  Siasa za majaribio: IPO siku tutaelewa Siasa za Kwa nini Mhe. Magufuli aliwapa Hati Mabalozi wajenge wenyewe

  Tanzania inaongozwa Kwa story chafu ambazo wataalamu wa mambo wanaojua KUPLAN huzitumia kuharibu KAZI za nchi nyingine au kichwa cha MTU.. Tumekuwa tunashuhudia RAIS akijifanyia maamuzi yasiyo na makosa Kwa JAMII Kwa sababu tumempa thamana aongoze Nchi yetu.. Ni muda SASA alitoa Hati miliki Kwa...
 5. S

  Siasa za Uchumi wa wananchi katika nyimbo za Nigeria na falsafa ya "Nchi iliyopata MAENDELEO fedha haina samani"

  Afrika ni nchi kubwa ambayo kwa uhalisia wake inawatu wanaotumiana sana kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket" Hebu check wimbo huu unaweza sema alikuwa namwimbia mwanamke lakini kiuhalisia...
 6. S

  Siasa ya kujitoa: Hata CCM ilitakiwa kujitangaza kuwa imejitoa kwenye uchaguzi

  Jamii yoyote huongoza Kwa misingi ya Sheria na Sheria ya uchaguzi inasema Chama KAZI yake ni kuteuwa wagombea pekeyake . Vyama vyote vimefanya hivyo ni muda wa CCM kutangaza kujitoa ili WAIACHIE mifumo ifanye KAZI yake... KAZI kwako Polepole
 7. S

  Siasa za nyimbo tuwapongeze wasanii hawa kupelekea utamu wa siasa 2020

  Uteuzi wa wanasiasa katika nafasi ya Ukurungezi wa Halmashauri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala, Viti Maalumu, WABUNGE, Ubalozi wa nchi mbalimbali utasaidia kukutana na wanasiasa wenye jeuri ya FEDHA na Dharau ya maamuzi... Utamu WA Siasa upo hapa mwenye maoni atume Kwa makamu wa...
Top Bottom