Search results

 1. MgonjwaUkimwi

  Halima Mdee na wenzako bado milango iko wazi, ‘msinyee kambi’

  Kuomba radhi wakati haujafanya kosa ni utumwa na ndio kinachoitesa nchi yetu tangu awamu ya tano ianze. Kila anayeupinga utawala anatakiwa awe apologetic na approve inferior kwa mtawala. Ukomavu ni kusimamia kile unachokiamini hata kama dunia mzima itakupigia kelele ukibadirishe, ukomavu ni...
 2. MgonjwaUkimwi

  Halima Mdee na wenzako bado milango iko wazi, ‘msinyee kambi’

  Ebu nikumbushe bado Kafulila yupo NCCR, nini kilimuondoa baada ya radhi yake?
 3. MgonjwaUkimwi

  Halima Mdee na wenzako bado milango iko wazi, ‘msinyee kambi’

  Kati ya hao nani anavuma leo hii na kuishi bila woga? Nani kati yao anaweza kusimama akasema na kuheshimika? Nape aliyekimbia na kura zilizobeba maamuzi ya wananchi? Kinana au Makamba waliokaa kimya huku wakiacha mtu moja avunje kila msingi wa katiba ya nchi?
 4. MgonjwaUkimwi

  Kura ya maoni ACT - Wazalendo kuamua Serikali ya Umoja

  Umechelewa, wameshajiunga na jana walikuwa busy kuwashauri Chadema wasiwafukuze COVID-19 ili nao wahalalishe ulaji wa matapishi yao. Zitto na Maalim hawana ubavu wa kuvumilia njaa na wanajulikana vyema kwa kuwa kigeugeu. Wameshakiua chama chao bado tangazo la msiba tu.
 5. MgonjwaUkimwi

  Halima Mdee na wenzako bado milango iko wazi, ‘msinyee kambi’

  Siasa sio kama shule ya msingi kwamba unachapwa na kuambiwa uombe radhi. Mwanasiasa dhahifu tu ndio ataomba radhi baada ya kufukuzwa. Ukitaka uanasiasa wako ufe basi omba radhi baada ya kufukuzwa chama. Hapa pigia mstari neno KUFUKUZWA CHAMA. Ni wajinga tu wataendelea kung'ang'ania chama...
 6. MgonjwaUkimwi

  Kura ya maoni ACT - Wazalendo kuamua Serikali ya Umoja

  ACT Wazalendo walishafanya maamuzi tayari ya kukubali matokeo ya uchaguzi na hivyo serikali ya Mwinyi. Jana viongozi wa chama walikuwa wanawaomba viongozi wa Chadema kuwasamehe akina Mdee na kuruhusu ubunge wao. Ili kwa kufanya hivyo ACT wapate sababu ya kuweka wazi kukubali kwao kuingia...
 7. MgonjwaUkimwi

  Kura ya maoni ACT - Wazalendo kuamua Serikali ya Umoja

  Mauzauza mengine haya yako njiani. ACT wanaogopa kinachoendelea Chadema sasa hivyo wanapima upepo na kujaribu kuulainisha umma. Ni hivi Maalim, Dr Fakih, Mazrui, na Duni tayari wamo kwenye serikali ya Mwinyi na wamesha weka sahihi tayari. Wameshasahau vipigo na kutekwa sasa wanaingia wazima...
 8. MgonjwaUkimwi

  Bernard Membe yu wapi jamani?

  Alifanya kampeni mkoa moja tu na kushika nafasi ya tatu. Tena hapo ni baada ya Nape kukimbia na mabox ya kura za Lindi na Mtwara huku akiamuru za Ruvuma kukimbizwa. Kwa maana hiyo angekuwa wa pili. Angefanya nchi Zima angekuwa wa pili au angeongoza. Labda hii ilikuwa maana ya goli ya dk ya 89...
 9. MgonjwaUkimwi

  Maalim Seif: Tumepokea barua kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na tunaifanyia kazi

  Njaa za Zitto na Maalim kwa umoja wake ni hatari kuliko utawala haramu tulionao. Wanakataa matokeo ila wanakubali nafasi zinazotokana na uchaguzi haramu. Hawa sio wa kuwaamini.
 10. MgonjwaUkimwi

  Maalim Seif: Tumepokea barua kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na tunaifanyia kazi

  Zitto na Maalim ni wahuni ambao muda wowote wanaweza kuwageuka wananchi wao. Hawa sio wa kuwaamini hata kwa sekunde mbili. Kimsingi tayari Zitto na Maalim wamekubali matokeo na wako tayari kuingia kwenye serikali ya Mwinyi. Maalim na Zitto walimtosa kwa kebehi mgombea wao wa urais kupitia ACT...
 11. MgonjwaUkimwi

  Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo & Chadema undeni A Joint Electoral Intelligence Team (JEIT)

  Tatizo la ushirika wa ACT na Chadema ni kama ifuatavyo. Chadema wanataka kila ushirikiano utoe mgombea kutoka chadema kwenye kampeni kwasababu wao ndio chama kikubwa Tanzania na Cheney matawi na wagombea nchi azima. Wanasema Lisu anatosha kukusanya kura za huruma zinazotosha kuondoa CCM. ACT...
 12. MgonjwaUkimwi

  Kaka Cyprian huu sio utamaduni wa wastaarabu

  Ukijuwa anayemtuma mtumwa utashangaa aina ya vyombo tulivyonavyo nchini. Ukijuwa mmiliki wa gazeti linalotumika, mhariri na anayemlipa huyo "mtumwa" utagundua kwamba nchi iko mikononi mwa mafia wanaolindwa vyombo vya dola na katiba. Kila mpenda haki na mwenye nia njema na nchi anatakiwa sasa...
 13. MgonjwaUkimwi

  Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

  Lengo kubwa, kwa fikra zangu, kwenye mpango wa kuwapa vitambulisho ni kuwabana wenye maduka makubwa wanaosemekana kukwepa kodi kwa kuwapa machinga bidhaa. Kwenye mpango huu atabanwa machinga mwenye kitambulisho aonyeshe receipt ya manunuzi ya bidhaa zake. Na yule asiye na kitambulisho atakuwa...
 14. MgonjwaUkimwi

  Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

  Wakati LHRC inaendelea na mahadhimisho ya siku ya haki za binadamu, ghafla mkutano unaitwa vinaletwa vitambulisho vilivyotengenezwa miaka ya nyuma na vinavyo expire mwakani ambavyo awali ilionekana vingesababisha wenye maduka makubwa kukwepa kodi. Unganisha doti. Event, timing, and intentions.
 15. MgonjwaUkimwi

  Mr Slim is pretty lucky for having Mr Mango outside the house

  One thing I can say here. If the country can't get out the man from the green house in 2020 he will never let any other leader take over from him in his life time. The man, in addition to making the public fear him, is restructuring the party, the government, the judiciary and the parliament to...
 16. MgonjwaUkimwi

  Kweli CCM Wamevurugwa Wakavurugika, Oneni Hii!

  Ebu tuache haya mambo ya siasa yasiyo tuhusu tucheke kidogo na adithi ya kale inayo mhusisha MTUMWA, WATUMBO KUBWA, MBU, na MUKULUKULU. Mukulukulu na watu wake walimtuma Mtumwa kwa kumlipa sh 5m kila mwezi ili akeshe kumsaka na kumfukuza mbu anayemng'ata Mukukulu na kumfanya akose usingizi...
 17. MgonjwaUkimwi

  Ukitega mtego usikae hapo utanaswa: fundisho

  Ile nchi ikaona njia ya kumtega jasusi wake wa zamani ni kumtungia tuhuma mbalimbali za uhaini ili azikatae na kujitetea ili impe jukumu la kuilinda dhidi ya wabaya wa bwana mkubwa. Wakatunga kwamba alitaka kupindua nchi kwa jeshi, jasusi akakaa kimya, wakatunga alikwenda kukodi jeshi nchi ya...
Top Bottom