Search results

 1. Super AMOLED

  Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

  Simu zenye plastic body na zenye MTK siku hizi hazinishawishi kabisa, huwa naumia simu kali ila plastic body.
 2. Super AMOLED

  Ali Kiba hatendewi haki, Watanzania tuache ukatili

  Kwani likizo hii umeenda kwa Bibi, umebaki nyumbani kupambana tuition, upo uswahilini kwenye kamari ya bonanza, upo mtaani na waimbaji wa Singeli, au upo toilet!!!
 3. Super AMOLED

  Waraka wa Shura ya Maimamu Tanzania kuhusu kuachiwa Masheikh wa Uamsho

  Sio kwamba wewe ndiyo utafurahi!!! Kama Serikali imekosa ushahidi ulikuwa wapi kwenda kutoa ushahidi!
 4. Super AMOLED

  Kuachia wahalifu kwa muda mfupi ni hatari inayokuja nchini

  Vipi angekua Mzee wako wamuache afie huko!!!
 5. Super AMOLED

  Picha: Shamila (Shamy_BK) ndio mrembo mwenye shepu kwasasa bongo

  Umenukuu ile ngoma ya Chibonge
 6. Super AMOLED

  Hizi ndio starehe mbili kubwa duniani kote kwa mwanaume

  Unawakosea sana wanaomiliki aifoni(iPhone) na wenye ist, huwa wanajikuta wapo kwenye starehe, hivyo ningeomba wakumbukwe kwenye orodha.
 7. Super AMOLED

  Processors(SoC) za simu bora zinazofanya simu kuwa nzuri(2021)

  Maajabu mengine!!! Watengenezaji wa hizo SoC wanamiliki MTK, na wabunifu wana SoC nzuri kuliko watengenezaji, je ni mambo ya b'ness au kuna nini!!
 8. Super AMOLED

  Watanzania mnaopenda kuja Norway kutafuta maisha chukua ushauri huu, kazi nyingi ni za bandarini

  "Ndugu yangu dunia nzima hakuna pesa Ila inategemea wewe unaitafuta vipi."
 9. Super AMOLED

  Ujasusi wa kiuchumi: Katika hili kenya imetupiga bao

  Wasiwasi wako tu, Tanzania tutamove kivyetuvyetu sio kuangalizia alichofanya jirani, tunafanya tunachokiweza sio tunachokiona na kukisikia
 10. Super AMOLED

  Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

  Mkuu tutumie kilichopo au tuendelee kumsubiri DSTV!! Je umeupitia mkataba ukaona hakuna nafasi ya huyo DSTV na wengine kupewa nafasi ndani ya hiyo miaka 10!! Nadhani sote tunaolalamika muda wa mkataba ni mrefu ikiwemo mimi tungesubiri ufafanuzi wa hili jambo toka kwa wahusika.
 11. Super AMOLED

  Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

  Umesahau kuzungumzia uhusiano uliopo kati ya mkataba wa Azam na changamoto za timu ndogo za kwenye ligi yetu. Ugetuletea mahesabu na muelekeo wa ligi kwenye hiyo miaka 10 ya mkataba tuone itakavyokuwa, maana kuzungumzia upande mmoja tu wa Azam inakuwa kama yeye ndiyo mnufaika pekee.
 12. Super AMOLED

  DRC: Mlima Nyiragongo wa huko Goma waalipuka Volcano

  Kama movie vile kumbe ndiyo hivyo, poleni wana Goma
 13. Super AMOLED

  Jambo baya ambalo halisemwi na kukemewa wakati wa Ramadhan

  Heri yako wewe ambaye unafunga na umejiepusha na kuzuga
 14. Super AMOLED

  Naomba ufafanuzi kuhusu kipara kwa wanaume na wanawake

  Mara nyingi ni kwa wanaume, na ni kwa sababu ya punyeto
 15. Super AMOLED

  Tumieni mitishamba ili kuleta heshima kwenye mahusiano yenu

  Muda mwingine performance ya mwanaume inategemea na appearance ya mwanamke, kama mwanaume ana allergy na kijani njano unadhani ataperform vipi!!!
Top Bottom