Search results

 1. LE GAGNANT

  Juma ubao, toma toma, matimila.

  Wadau wa muziki wa wa dansi. Kuna nyimbo nimezikumbuka za siku nyingi kama kuna anayeweza kuweka hapa jamvini itakuwa faraja iliyoje kwangu, maana sijui jinsi ya kuzipata ukizingatia siku hizi bongo fleva imetawala. 1. Mwanaidi:uliimbwa na bendi ya toma toma. 2. Alimasi: Uliimbwa na bendi ya...
 2. LE GAGNANT

  Je, TBC hawaruhusiwi kusoma habari za CHADEMA?

  Enock Mbwigane leo asubuhi wakati wa kusoma magazeti, alikumbana na title kwenye gazeti la jambo leo "CHADEMA yabadili mbinu ya kuingia ikulu". Akataka kuisoma halafu akasita kaliweka gazeti kando na kuchukua gazeti jingine, nako kakuta kichwa cha juu kinamuhusu Mbowe kasema nunua mwenyewe...
 3. LE GAGNANT

  Kesi za viongozi wa CHADEMA

  Kuna kesi kadhaa zilifunguliwa dhidi ya viongozi wa CHADEMA. Moja ya kesi hizo ni ile inayohusu kuandamana Arusha na nyinginezo. Lakini ni muda sasa haijasikika kutajwa mahakamani. Je ni janja ya watawala kuzichelewesha kesi hizo kuzitolea hukumu kwa manufaa yao kisiasa? Watawala wanaweza...
 4. LE GAGNANT

  Salum mkambala na gazeti la chama

  Huyu mtangazaji wa magic fm anaposoma vidokezo vya magazeti asubuhi huwa anapenda sana kusoma gazeti la uhuru. Basi utamsikia ninalo gazeti kongwe, gazeti la chama. Hivi kusema gazeti la chama ana maana gani? Yeye ina maana hajui kuwa sasa mambo ya kusema chama na serikali hayapo? Kwa kuwa sasa...
 5. LE GAGNANT

  Mch. Lusekelo na siasa

  Mchungaji Antony Lusekelo kwenye kipindi chake cha chanel ten usiku huu, kasema CCM ni chama cha ukombozi. Ameonesha kujipendekeza sana kwenye chama hiki. Aidha amedai mvua za el nino zilizotabiriwa na mamlaka ya hali ya hewa hazitakuwepo, kwa mujibu wa maono yake.
 6. LE GAGNANT

  Nyumba za wadaiwa sugu Tanesco kupigwa mnada

  SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema kuwa linaandaa utaratibu wa kupiga mnada nyumba za watu na kampuni kubwa binafsi ambazo wamiliki wake ni wadaiwa sugu wa shirika hilo. Shirika hilo sasa limetoa wiki mbili kwa wadaiwa hao kulipa malimbikizo ya madeni yao kabla hatua ya kufidia...
 7. LE GAGNANT

  Mbotela na yalomkuta jaramogi kwa kenyatta

  HEBU SIKIA HII!
 8. LE GAGNANT

  David cameron na chelsea

  david cameron akishangilia ushindi wa chelsea huku mama merkel akionekana kanuna
 9. LE GAGNANT

  Which jobs have more women than men?

  Most journalists are women. Most authors are women. Most teachers, lab technicians, therapists, editors, librarians, public relations officers and insurance underwriters are women. In fact, it is arguable that women now hold a greater proportion of Britain's professional jobs than...
 10. LE GAGNANT

  Ali mfuruki aungana na wakenya

  MFANYABIASHARA MAARUFU NCHINI BWANA ALI MFURUKI AMEUNGANA NA WAFANYABIASHARA WA KENYA WALIOWEKEZA TANZANIA KULALAMIKIA HASARA WANAZOPATA NCHINI. ANASEMA BIASHARA NI NGUMU TANZANIA KULIKO ILIVYO KATIKA NCHI NYINGINE ZA UKANDA HUU WA AFRIKA MASHARIKI. ANASEMA BIASHARA ALIZOWEKEZA KENYA NA UGANDA...
 11. LE GAGNANT

  Lema apigwa stop kukampeni Meru

  KUNDI LA WAZEE WA MERU WAMEMTAKA BW GODBLESS LEMA KUTOSHIRIKI KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO KUZIBA NAFASI IIYOACHWA WAZI NA MAREHEMU J SUMARI ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO HILO KWA TIKETI YA CCM. SABABU WANASEMA ALITOA MATAMSHI WAKATI WA KUAGA MWILI WA MAREHEMU KWAMBA "SASA SUMARI AMEKUFA HILI...
 12. LE GAGNANT

  Binti wa marehemu whitney

  KAMA WALIVYO BABA NA MAMA BINTI NAYE KAPOTELEA KWENYE KUBWIA BWIMBWI. Bobbi Kristina Brown to be told to go to rehab by family reportedly. Bobbi Kristina Brown's issues are reportedly more severe than previously believed. Whitney Houston's family plans to tell...
 13. LE GAGNANT

  Pop star Shakira attacked by Cape Town sea lion

  Colombian pop superstar Shakira was attacked by a sea lion as she tried to photograph and pet a group of the animals during a vacation in Cape Town, she said Wednesday on her Facebook page. "I thought to myself how cute they were so I decided to get a bit closer than all of the other tourists...
 14. LE GAGNANT

  Ibrahim babangida akana kuhusika na boko haram

  MTAWALA WA ZAMANI WA KIJESHI WA NIGERIA, JENERALI IBRAHIM BABANGIDA, AMEKANA KUHUSIKA KUFADHILI KUNDI LA KIGAIDI LA BOKO HARAM LINALUHUSIWA NA MASHAMBULIO MENGI YA HIVI KARIBUNI KAT NA KASKAZINI MWA NCHI HIYO. Gen Babangida was reacting to claims made by Sheikh Sani Haliru, a suspected Boko...
 15. LE GAGNANT

  Man shoots nail into brain without noticing

  A suburban Chicago man accidentally shot a 3.25in (8.25cm) nail into his skull but is recovering after doctors successfully removed it from the centre of his brain. Dante Autullo, 34, was in his workshop when a nail gun recoiled near his head. But he had no idea the nail had entered his brain...
 16. LE GAGNANT

  Ombi la kuongeza ukubwa wa eez

  KULNGANA NA GAZETI LA HABARILEO LA TAREHE 19 JAN 2011, TANZANIA imewasilisha ombi katika Umoja wa Mataifa (UN), kudai eneo la nyongeza lenye ukubwa wa maili 150 nje ya eneo la sasa la maili 200 za Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari. http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=25789 KULINGANA NA United...
 17. LE GAGNANT

  "shikamoo" nchini kenya

  Hakuna salamu ya "shikamoo" kwa waswahili wa Nairobi, kiswahili chao kinachukua sana tafsiri ya moja kwa moja ya Kingereza kwa maneno mengi. Ni Mombasa pekee nimebahatika kupata salamu ya "shikamoo"
 18. LE GAGNANT

  Military invention

  A military invention is an invention that was first created by a military.There are many inventions that were originally created by the military but are now used by civilians. 1. Aircraft tracking radar. 2. Walkie-talkie. 3. Night vision. 4. Microwave. 5. Internet. 6.Jet Engines. Nani kasema...
 19. LE GAGNANT

  Some quotes of muhamad ali

  “Age is what you think it is. You are as old as you think you are.” “Frazier is so ugly that he should donate his face to the US Bureau of Wildlife.”
 20. LE GAGNANT

  Miti ya maajabu

Top Bottom