Search results

 1. Jc Simba

  Iran itajibu kukamatwa kwa meli yake ya mafuta

  Nimekuelewa sana kwamba watu wanaenda kuuuwawa huku tukishabikia tu bila sababu ya msingi
 2. Jc Simba

  Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

  Achana na hiyo habari maisha yaendelee au unateseka kwani?
 3. Jc Simba

  Maajabu ya awamu hii, CAG akabidhi ripoti ya ukaguzi March 28, 2019 kimya kimya na Ikulu haikutaka umma ujue juu ya makabidhiano kati ya rais na CAG

  Kama CAG ametoa taarifa maana yake tayari Serikali imetoa taarifa . Sina shaka na anayofanya Mh. Rais wangu John Pombe Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Jc Simba

  Profesa Juma Kapuya awahoji Watanzania: Mlitaka nioe Bibi?

  Hii ya Pro.nimeipenda sana inatuonyesha ni jinsi gani kuna tatizo la waoaji kwenye jamii hivyo mabinti wanalazimika kuolewa na MTU yoyote bila kuweka vigezo zaidi ya kigezo cha kuwa mwanamume.
 5. Jc Simba

  ARUSHA: Mwalimu alimcharaza viboko 12 Mwanafunzi hadi kumpasua kiganja

  Kuna waraka Wa viboko Na anatakiwa uchape viboko 4 kwa wakati Na kupumzishwa sasa 12 sio kizazi hiki utapata kesi tu.
 6. Jc Simba

  Serikali isitishe makato ya waalimu kupitia CWT

  Kuna chama kingine kinaitwa Chakamwata wanakata 1% ya mshahara tofauti Na Hawa
 7. Jc Simba

  Serikali isitishe makato ya waalimu kupitia CWT

  Kutokana Na madudu yanayofanyika Na chama cha waalimu CWT kwa matumizi ya fedha za chama chao bila utaratibu ni dhahiri sasa kuna haja ya Serikali kuingilia kati Na kusitisha makato yanayokatwa Na chama hicho ili kuruhusu uchunguzi. CAG ameonyesha kuna ubadhilifu mkubwa Wa fedha za chama hicho...
 8. Jc Simba

  Bwana harusi mtarajiwa afariki akienda kutoa mahari

  R.I.P Na pole sana ViVian duh
 9. Jc Simba

  Mke malaya, nimfanyaje?

  Brother pole sana kama umeyakuta Na unaambiwa ulichukua unatafuta maana Yake wewe ni zoba huwezi kumfanya lolote ila kwa mustakabali huo hapo kuna mambo mawili . 1_Unalazimisha mpenzi 2_Umeolewa wewe maana katika uhalisia sio mambo yanayovumilika kirahisi hayo . Kuwa mwanaume ni tofauti Na...
 10. Jc Simba

  Hongera kwa Mkuu Wa Mkoa Paul Makonda kwa kuwa mbunifu

  Mm sio Makonda ni JC Simba kama ilivyo wala sijawahi ongea Na Makonda nipo Arusha afadhali Mh.Gambo tunaonana kwenye Kazi ila alichowaza huyu mtu amenigusa ukikuta nimeponda nimeponda ukweli . Tuzungumze ukweli maana unafiki weka pembeni maana kwa hili amefanya vyema huyu ni kiongozi Na...
 11. Jc Simba

  Hongera kwa Mkuu Wa Mkoa Paul Makonda kwa kuwa mbunifu

  Ulichoongea ni kweli ila hapo mm nimempongeza tu kwa kujaribu kulimulika hili suala unajua kulizungumzia tu Na kulifanyia Kazi inaleta muamko Na kufanya wadau wengine kulifanyia Kazi . Hii ishu sio rahisi INA changamoto zake Na kikubwa nilicholenga ni kuhusu DNA ambayo kwetu sisi ni ngumu...
 12. Jc Simba

  Hongera kwa Mkuu Wa Mkoa Paul Makonda kwa kuwa mbunifu

  Hapo Mh. Hazungumzii ndoa anazungumzia matunzo ya watoto ambapo wengi ni kama wametelekezwa ndio maana sio ndoa maana huwezi kulazimisha watu kuoana .
 13. Jc Simba

  Hongera kwa Mkuu Wa Mkoa Paul Makonda kwa kuwa mbunifu

  Hiki hiki Kiwango cha chini ndio hicho kitasaidia malezi ya mtoto has a ukiwa mbali na wewe Na hicho ndio Makonda anachopambania maana hawezi toka nje ya sheria Na utaratibu Wa ustawi Wa jamii anachosisitizia ni kutuzwa kwa watoto. Mimi nimeongeza ushauri kuwa upimaji Wa DNA upewe nafasi maana...
 14. Jc Simba

  Hongera kwa Mkuu Wa Mkoa Paul Makonda kwa kuwa mbunifu

  Nimpongeze kwa dhati Mh.Paul Makonda kwa kuendelea kuwa mbunifu Na mchapakazi kinara kabisa kwenye Serikali hii ya awamu ya tano . Kwa kweli amejitahidi kuna Na mambo mengi mazito ya kiubunifu ya kuisaidia jamii yetu ya Tanzania . Kuanzia kwenye suala zima la kupambana Na madawa ya kulevya...
 15. Jc Simba

  Nguvu ya elimu katika medani za ujasusi na ulinzi: Tanzania tuna nini cha kujifunza ?

  Hapa kuna sehemu ya msingi ambayo umeigusa kiini cha Elimu yetu kuonekana kupwaya ni "kushindwa kuunganisha Elimu Na uhalisia Wa maisha yetu" Yaani Leo hii nimemaliza chuo kikuu Na Bachelor lakini siwezi kufanya chochote cha kuniingizia fedha nikaishi nabaki kulalama Na kuzunguka Na bahasha...
 16. Jc Simba

  Kilio cha Madaktari wanaomaliza internship Awamu ya Tano

  Hii Inchi wote wanalalama sio mhandisi,daktari,Mwalimu,yaani wote haieleweki sijui ni nn kinatokea.Ni nani anakula keki ya Taifa hili kama ndio wasomi wetu wanalalamika namna hii? Kuna shida sehemu hapa Kubwa sana .
 17. Jc Simba

  UGANDA: Mtu mmoja ajaribu kumshambulia Askofu kwenye Madhabahu kwa gogo wakati wa misa ya Pasaka

  Wale wanalindwa Na Mungu ndio maana yule jamaa hakufanikiwa alijikwaa mwenyewe pale Na ikawa ameshindwa kutekeleza azma Yake.
 18. Jc Simba

  Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...

  Kwa kweli kuna changamoto Kubwa sana kwani hata kama ni kwa kufanya biashara itachukua muda kabla ya kufikia kuweza kujaza bidhaa kwenye hayo mabehewa ya mizigo. Ifahamike kwamba kama ujenzi umefanyika bila kulenga maeneo husika ambayo mizigo ya wafanyabiashara ni ya kutosha basi ni changamoto...
 19. Jc Simba

  Mzimu Wa Gadafi unavyompa shida Sarkozy Ufaransa.

  Gadafi alikua kichwa Na Hela ilishakaa sehemu Yake ingawaje maono yake naona tayari wachina wameanza kuyafanyia Kazi kwa kutumia fedha yao kununulia mafuta ghafi
 20. Jc Simba

  Tiangong-1: Chombo cha China kuanguka duniani kikiwaka moto

  Hizi za kuchimbia makondoo wanazo wahindi sana,wanazitumia tutamuuliza Mshana Jr. Ili nasi tuweze kutumia hii.
Top Bottom