Search results

 1. Drop shipping Tanzania

  Story of Change Minyororo Ya Thamani

  Probably huna hela/mtaji mkubwa wa kufanya biashara, hiyo haitakiwi kukuzuia usitajirike Kuna namna 'nature' inaweza kukuAccomodate kwa kdg ulichonacho kupitia MINYORORO YA THAMANI 1. Kama kuna fursa ya kufungua restaurant, sio lazima ww ndo umiliki hiyo restaurant. Fukuzia deal ya kuuza...
 2. Drop shipping Tanzania

  Story of Change Uwe na kipaji kama Messi, Kiba ama uwe na bidii kama Ronaldo au Diamond Platnumz

  Karibuni Sana Marafiki zangu Damdam!! Kama hukubarikiwa kipaji huna option nyingine zaidi ya kuwa na bidii. Ukizaliwa na kipaji, its God given, huna option nyingine zaidi ya kutumikia hiko kipaji. Hutumii nguvu, yani effortlessly. Hutoki jasho kbs. Mwangalie Messi, mwangalie Kiba...
 3. Drop shipping Tanzania

  Story of Change Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

  Karibuni Sana kwenye JUKWAA LETU LA (Stories of Change) Tujifunze - Teulemike & Tubadilishane mitazamo. Naamini 99.9% umaskini unarithishwa sawa tu na utajiri unavyorithishwa. Na wala hii sio breaking news 'tajiri huongezewa, maskini hupungiziwa'~ BAADHI YA VITU NITAKAVYOWAFUNDISHA WANANGU...
 4. Drop shipping Tanzania

  Safari ya kwenda Ulaya

  Salute Wakuu; Matumaini yangu hamjambo, Wakuu Leo nataka ushauri kuhusu safari ya kwenda (London) Uingereza. Mimi wazazi wangu (Baba na Mama) wanaishi Huko London lakini kwa bahati Mbaya mimi mtoto wao mpaka Leo hawajanifanyia mpango ata wa kwenda kutembea but wao huja huku as Holiday...
 5. Drop shipping Tanzania

  Fursa: Biashara za kuuza sare za chama mikutanoni

  Habari wakuu, Mimi ni mjasiriamali mdogo nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza Flana na kofia (sare) za chama kama vile CCM na CHADEMA na ACT wazalendo kwenye mikutano Yao. Je Kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu hii biashara? Nawasilisha na Shukurani.
 6. Drop shipping Tanzania

  Usikate Tamaa, Jifunze haya kutoka Kwa Mengi na Bakhresa

  HABARI WAKUU, KARIBU KWENYE MADA; UKWELI ambao pengine una kushangaza ni kuwa matajiri wengi hupenda kusimulia nyakati zao za giza. Kipindi ambacho maisha yalikuwa magumu, yenye mateso, manyanyaso na taadhira. Upande wa pili, maskini wengi hujitahidi kwa kila namna kuficha aibu zao. Watu...
 7. Drop shipping Tanzania

  Kitu gani utakifanya endapo ukipata hela

  Habari wakuu!! KARIBU kwenye mada yetu ya Leo, Katika maisha kila mtu anakitu au jambo fulani ambalo wengi wetu tunatamani kufanya Leo nataka tujuzane au tufundishane kuhusu hilo na pia tushauriane. Kama kuna mtu utashare nae ndoto basi tupeane connections ili tuweze sote kufikia huko...
 8. Drop shipping Tanzania

  Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa

  Familia ya Said Salim Bakhresa Said Salimu Awadh Bakhresa ni mfanyabiashara mwenye mafanikio na uzoefu wa zaidi ya miaka 30 wa kusimamia kundi la kampuni za biashara. Yeye ni mwasisi na mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies. Alizaliwa mwaka 1949 na kukulia Zanzibar. Bakhresa Group ni...
 9. Drop shipping Tanzania

  Jeff Bezos mtu tajiri duniani: Namna alivyounda kampuni ya Amazon.com

  Namna ambavyo Jeff Bezos alivyounda kampuni ya Amazon na kuwa mtu tajiri zaidi duniani Miaka 25 iliyopita Jeff Bezos , aliona kuwa hapo baadae kuwa mambo yatabadilika , maduka yatapoteza umaarufu na yatalazimika kutoa burudani ili yasifungwe. Kutokana na wazo lake hilo alitengeneza kampuni...
 10. Drop shipping Tanzania

  Makampuni makubwa yenye nguvu zaidi Duniani

  1. Industrial and Commercial Bank of China Benki hii ni kubwa na yenye uwezo zaidi duniani ikijulikana kwa kifupi ICBC na ikiwa na raslimali za zaidi ya Dola tril. 3 na thamani ya masoko ya Dola bil. 215. Iko sehemu zote isipokuwa Afrika na Antarctica. 2. China Construction Bank Corporation...
 11. Drop shipping Tanzania

  Historia ya Joseph Kusaga

  Joseph M. Kusaga Joseph Kusaga ni mwanzilishi wa CLOUDS Entertainment Limited, alizaliwa na kulelewa Musoma, mji uliopo kwenye ufukwe wa Ziwa Victoria. Alihamia Dar es salaam akiwa na umri wa miaka 5 baada ya baba yake aliyekuwa mtumishi wa serikali kuhamishiwa kwenye jiji la biashara. Yeye ni...
 12. Drop shipping Tanzania

  Nukuu muhimu za Mo Dewji

  Nukuu muhimu za Mo Dewji Mara kwa mara, hutoa ushauri, na pia huwa hafichi upendo wake kwa klabu ya Simba FC ambayo ndiye mdhamini wake mkuu. Ijumaa wiki iliyopita, aliandika: "Kila jambo unaloogopa, Mungu ana mpango wake. Mungu ni mkuu kuliko hofu uliyonayo. Ana mamlaka na maisha yako ya...
 13. Drop shipping Tanzania

  Nifanyeje ili nifanikiwe kama Bakhresa?

  Habari Wakuu Naomba ushauri wenu mimi ninandoto yakua tajiri kama mfanyabiashara Said Salim Bakhresa. Je, nifanye nini ili nifanikiwe Kimaisha? Toa maoni yako hapo [emoji116][emoji116]
 14. Drop shipping Tanzania

  Siri 5 kubwa Za Mafanikio Bila Utegemezi

  Salute wakuu!! KARIBU: Siri 5 kubwa Za Mafanikio Bila Utegemezi Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye...
 15. Drop shipping Tanzania

  Jifunze haya toka kwa Bilionea Jack Ma

  Salute wakuu!! Jifunze haya toka kwa Jack Ma: Bilionea aliyekataliwa mara nyingi zaidi KARIBU Tujifunze kutoka kwa ‘Ma Yun’ maarufu kwenye ulimwengu wa biashara ya mtandao kama Jack Ma. Bilionea kutoka China mwanzilishi na mwenyekiti mtendaji wa Alibaba Group, moja ya familia ya biashara ya...
 16. Drop shipping Tanzania

  Ten Tanzanian multi-millionaires you should know

  Salute!! Ten Tanzanian Multi-Millionaires You Should Know The number of Tanzania’s centi-millionaires continues to grow substantially as economic growth in the country outstrips that of other countries in the East African region. Apart from the easily recognizable names like Mohammed Dewji...
 17. Drop shipping Tanzania

  Ronaldo atengeneza Tsh. Bilioni 2 kwa kila post ya udhamini (Instagram)

  Instagram ya Ronaldo: Atengeneza Tsh Bilioni 2 kwa kila post ya udhamini KARIBU Nyota wa klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo, ametakiwa kukodisha akaunti yake ya mtandao wa Instagram kwa dau nono kwa muda wa mwaka mmoja. Shirika kubwa la uwekezaji la Marekani lilimpigia simu nyota huyo na...
 18. Drop shipping Tanzania

  Sasa unaweza Kununua roboti kotoka Softbank

  Sasa unaweza kununua roboti kutoka Boston Dynamics kampuni inayomilikiwa na Softbank. Karibu Tuliandika mengi kuhusu roboti anayetengenezwa na kampuni ya Boston Dynamics. Kampuni ya Boston Dyanamics ishawahi kumilikiwa na Google kwa miaka mingi (2013 – 2017) kabla ya kuuzwa mwaka mwaka 2007...
 19. Drop shipping Tanzania

  Biashara Kumi (10) Unazoweza Kuanzisha na Kufanikiwa Kimaisha

  Salute wakuu !! KARIBU kwenye Jukwaa letu la Biashara, Uchumi na Ujasiriliamali. Leo nimekuandalia Biashara 10 ambozo ukizifanya zinaweza kukuleta mafanikio makubwa sana. Biashara Kumi (10) Unazoweza Kuanzisha na Kufanikiwa Kimaisha. Mwaka huu 2020 ni mwaka ambao moja ya malengo ambayo kila...
 20. Drop shipping Tanzania

  Aje Niaje humu ndani

  Ebwana Eeeeeee Hube nikaribisheni kwanza [emoji23] Tutakua pakua pamoja kwenye kupeana nyuzi mbali mbali, Nategemea ushirikiano wenu wana JF!!!
Top Bottom