Search results

 1. Cool Gentleman

  United Kingdom statement on Zanzibar elections

  The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland is deeply concerned by the announcement of the Chairman of the Zanzibar Electoral Commission to nullify the elections. We note that all the international observers were impressed by the quality of the electoral process they witnessed. We...
 2. Cool Gentleman

  External Hard Disk Password Protection Recovery

  Sikutumia Bitlocker. Bitlocker si ni part of utilities kwenye Windows 7? Mimi nilidownload free online software ambayo siikumbuki.
 3. Cool Gentleman

  External Hard Disk Password Protection Recovery

  Mkuu ni kweli sikumbuki maana nili download free online software ya External HDD Protection. Nimejaribu kuichomeka kwenye Windows PC na kudownload free software mbalimbali nikitegemea naweza ku-unlock lakini sijaweza. Hakika sikumbuki hiyo software. Hakuna Universal Software au njia yoyote...
 4. Cool Gentleman

  External Hard Disk Password Protection Recovery

  Wakuu Kama kuna anayefahamu maujanja naomba anisaidie.
 5. Cool Gentleman

  External Hard Disk Password Protection Recovery

  Wakuu wa Kitengo hiki salaam sana. Nina External HDD ya TRANSCEND ya 500 MB ambayo niliwekea password kwa usalama wa data zangu. Sasa for some reason computer niliyokuwa natumia ambayo ilikuwa na Windows 7 ikawa formatted na hivyo nikashindwa kui-access external HDD. Mbaya zaidi sikumbuki ni...
 6. Cool Gentleman

  Mume Mwema Anapatikanaje?

  Kwamba kutafuta mchumba ni zaidi ya maandiko, lazima upate muda pia wa kuruhusu uhusiano wenu uweze kusomwa na kila moja. Hauji kwa maombi tu au kuonyeshwa tu na bwana. Swali la kimsingi ni je, wahusika wanapata muda wa kusomana, kutafakari na kuchukua hatua stahiki nkatika kutoa maamuzi?
 7. Cool Gentleman

  mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

  We acha tu. CG alikomaje?
 8. Cool Gentleman

  mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

  Unajua Mpenzi sio Mke, so naenda taratibu!
 9. Cool Gentleman

  Mume Mwema Anapatikanaje?

  Aiseee! Nimekuelewa!
 10. Cool Gentleman

  Ujue ni kwa nini wasichana wanakuwa na mahusiano na watu wazima

  Mandela kampita Graca Machel zaidi ya miaka 17 na dunia nzima ina appreciate uhusiano wao. wapenzi ya "kweli" hayajalishi umri.
 11. Cool Gentleman

  Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

  If you argue with a fool, people may not notice a difference. Does he even know that madiba ni rafiki mkubwa sana wa De Clerk na alikuwa ni Vice President wake? kabla ya hapo De Clark alikuwa ni Rais wa utawala wa makaburu.
 12. Cool Gentleman

  Post SMS za vichekesho na utani hapa

  Lakini Kumbuka japo Gardener Habashi na Kapteni wa Jahazi la Times FM; lakini hawezi kuwa capten wa boat iendayo Zanzibar.
 13. Cool Gentleman

  Research Assistance

  Faithful wife, bila ya shaka utafanikiwa. Mjini kuna makampuni mengi sana ya Consultancy wanahitaji watu wenye uwezo kama wako. Kitaaluma umesomea nini hasa? Na je, una uzoefu wowote?
 14. Cool Gentleman

  Tabia za akina dada zinazonikera!!

  Mmmh interesting!
Top Bottom