Search results

 1. pinochet

  TFF yaingiza mguu rasmi sakata la Yanga, yamtaka Katibu Mkuu aonyeshe mkataba

  Kanjubai anataka 10 kinyume na hapo hatoi mpunga, na anajua ndani ya miaka 10 amerudisha pesa yake na faida kibao, Hakuna muhindi fala
 2. pinochet

  Mpaka sasa katika VPL; Takwimu zinaongea.

  Hujaeleweka mkuu, au unamaanisha kutoka nje ya Dar??? Kama za ugenini kashacheza mbili...............nyie ndo wale mkiulizwa uwanjani kuna wachezaji wangapi wanacheza unajibu haraka 22, huku ukisahau mwamuzi wa kati na wasaidizi..........
 3. pinochet

  Rais Magufuli aitaka bodi ya Pamba kuhamia mikoa inayolima Pamba la sivyo watakuwa wamejifukuzisha!

  Bodi ya Korosho ipo Mtwara, nafikiri ipo sehemu sahihi
 4. pinochet

  Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

  JK yupo very cautious, anajua kinachokuja kutokea mbeleni, alisema mtanikumbuka, miezi nane tu, kila kitu utata mtupu
 5. pinochet

  Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

  Mkuu hiyo ni kweli kabisa.......sasa yaonekana naongea na vitu ambavyo havipo kwenye ilani ya chama cake.....
 6. pinochet

  Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

  Jamaa ana mihemuko kweli wakati kitaa hali mbaya sana, Labda ipo siku mambo yatakuwa poa......
 7. pinochet

  Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

  Nahisi yule jamaa mrefu sana wa border anamdanganya.......anyway time will tell, JK was brilliant for this......
 8. pinochet

  Waziri Jenister Mhagama atoa mwezi mmoja kwa wafanyakazi wa wizara yake kuhamia Dodoma

  Muda si mrefu watu wa Dar nao wataitwa wa mikoani...... Ila nahisi kama tunakurupuka hivi...... Ila nimeota tu...... [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 9. pinochet

  Msaada: Wadudu wamekula mbao za dari, paa linataka kudondoka. Mtaalamu wa dawa anisaidie ushauri

  Dragnet IPO nyingi sana, hii inatoka Uingereza na siyo USA, inasambazwa na kampuni ya Juanco, Metro pia ni dawa nzuri.....nyingine ni Lamdacyhalothrin etc
 10. pinochet

  UDART: Picha ya pikipiki ndani ya basi la Mwendo-kasi ni ya kutengeneza (photoshop)

  Dar Pekee ndo waanzilishi WA chips yai na mahindi ya kuchoma Kwa pilipili [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 11. pinochet

  Habari ya wanandoa kutumiwa picha za ngono ni uongo

  EFM wanawanyima usingizi kabisa Clouds FM
 12. pinochet

  Habari ya wanandoa kutumiwa picha za ngono ni uongo

  Kawahi kuandika uzi awe WA kwanza kutujuza, angetulia angetupatia habari iliyosimama
 13. pinochet

  Habari ya wanandoa kutumiwa picha za ngono ni uongo

  Hahahahahaha......lazima ujenge uzio wakutoulizwa viswali vya hapa na pale
 14. pinochet

  Waziri Ummy Mwalimu na Hamis Kigwangallah, hawajaitendea haki wizara ya Afya!!

  Meningitis ni ugonjwa mbaya wa ubongo.....
 15. pinochet

  Makonda aanza mipasho na kejeli dhidi ya Ukawa

  [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 16. pinochet

  Tamko la Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu uamuzi wa MCC kusitisha mahusiano na Tanzania

  Asante, ila kumbuka kutumia herufi kubwa panapohusika.........
 17. pinochet

  DC wa Iringa Richard Kasesela akila muhindi

  Hapa akipiga kazi na wananchi wake
Top Bottom